Inatosha nasema tena inatosha. Ni mda sasa watanzania kuacha kushabikia ulimbukeni na kukemea hiki serekali inachokifanya.
Democracy maana yake ni mtu kuwa na uhuru wa kutoa maoni bila kujali anatoa dhidi ya nani. Gwajima kuongea suala la utekaji hayo ni maoni yake na hajavunja sheria yoyote ya nchi, nashangaa sana watu wanamshambulia kuwa anavunja amani na utulivu nchini.
Hivi kati ya utekaji na utoaji maoni ni kipi kinahatarisha amani na nchi? Si bure hata serekali inapata kiburi cha kufanya huu ujinga kwa kuona kuwa bado kuna watu wanawaunga mkono, ni mda sasa wa sisi kama raia kusimama na kupasa sauti kukemea huu uonevu mama no matter what.
Gwajima katoa maoni yake kama raia wa tanzania na ana haki ya kuskilizwa, hajainua bunduki kuingia mtaani kuua watu. Maoni yake yaheshimike