Ujumbe huu unaonekana kama anamtaja Kikwete, lakini unaonyesha ni kama anautoa kwa walio na madaraka sasa.
Ni sawa na neno la mahubiri mazishini kuhusu uzinzi, haliwezi kuwa anafundishwa marehemu bali wanao mzika marehemu. Ni vyema watafakari.

Kwani wengine ni wajinga kama nyie mnaoshindwa kutambua ujumbe huu umeenda kwa nani mpaka mtajiwe?Kajamaa kanatamani kubadili hayo maneno yatamke JMP lkn ndio hivyo kanaishia kusinoneka.
Pole sana mleta mada..
Endeleeni kumoigania Membe hadi 2020
Wakristo hawana unafiki jembe wanaita jembe.......Askofu Gwajima kamtaja Kikwete na Kova mkuu Chakaza usikariri!
Bwashee usikariri!Hii nayo ni thread? Kuna kitu cha kujenga katika hii mada?
Unataka tujadili watu na maisha yao wanayoishi?
Upuuzi!
Jamvini kumeingiliwa humu mkuu!!!!Hii nayo ni thread? Kuna kitu cha kujenga katika hii mada?
Unataka tujadili watu na maisha yao wanayoishi?
Upuuzi!
Hawa watumishi na mitume uchwara hawana shukrani kabisa.Nimemsikia askofu Gwajima akisema viongozi wa kisiasa wakiondoka madarakani wanaexpire na kurudi kuwa raia wa kawaida. Ametoa mfano wa Rais mstaafu Kikwete na afande Kova ambao wamerudi uraiani baada ya kustaafu.
Gwajima amesema kwa sasa wastaafu hawa Kikwete anayeishi Msoga na Kova anayeishi gongolamboto hawana tofauti na yeye kimaisha.
Ndio namwambia tu labda kwa afande Kova lakini mstaafu Kikwete hatafanana naye kamwe.
Niishie hapo!
rudia tena kuisikiliza hiyo hotuba y gwajima, labda utelewa. Pia wakati unaisikiliza isikilize kama mtanzania uatelewazaidi, usisikilize kama mwanaccm maana hutaambulia kitu..Nimemsikia askofu Gwajima akisema viongozi wa kisiasa wakiondoka madarakani wanaexpire na kurudi kuwa raia wa kawaida. Ametoa mfano wa Rais mstaafu Kikwete na afande Kova ambao wamerudi uraiani baada ya kustaafu.
Gwajima amesema kwa sasa wastaafu hawa Kikwete anayeishi Msoga na Kova anayeishi gongolamboto hawana tofauti na yeye kimaisha.
Ndio namwambia tu labda kwa afande Kova lakini mstaafu Kikwete hatafanana naye kamwe.
Niishie hapo!
SawaHawa watumishi na mitume uchwara hawana shukrani kabisa.
Hawajui Historia ya makanisa ya Kiroho hapa Tanzania.
Hawajui kuwa kama sio Mzee Ruksa na hatimaye Mzee Kikwete haya makanisa ya binafsi yasingechanua hapa Tanzania.
Wangeyasikia tu kwenye BBC na kwenye CNN.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Mzee Ruksa na JK wamesadia sana ustawi was Dini zote bila kubagua.
Mwacheni Mzee Kikwete apumzike zake wala musimbughudhi kwa maneno ya Kejeli.