Gwajima; Ujumbe Huu ni wa Mfalme wa Kale au Tuliyenaye?

Hawa watumishi na mitume uchwara hawana shukrani kabisa.
Hawajui Historia ya makanisa ya Kiroho hapa Tanzania.

Hawajui kuwa kama sio Mzee Ruksa na hatimaye Mzee Kikwete haya makanisa ya binafsi yasingechanua hapa Tanzania.
Wangeyasikia tu kwenye BBC na kwenye CNN.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Mzee Ruksa na JK wamesadia sana ustawi was Dini zote bila kubagua.

Mwacheni Mzee Kikwete apumzike zake wala musimbughudhi kwa maneno ya Kejeli.
Hapo ujumbe kapewa JIWE aache kujitweza na atambue kuwa cheo ni dhamana!Maana ipo siku atakaa benchi
 
Askof Gwajima anamchukia Sana Mh. Jakaya Kikwete chukia imevuka Mipaka japo Sijui alimfanyia kitu gani

Akina Askof Pengo angalau waliachana Na kumsema sema Kikwete walipogundua Kikwete kajiepusha kujibishana nao

Gwajima hajui Kuwa stahiki Za Rais aliepo Madarakani ukiachana Na zile Za Safari Asilimia 80% yake ndio anakula Jakaya

Gwajima hajui Kuwa Kamishna KOva alifikia cheo Cha juu kabisa Cha Muundo ndani ya Jeshi la Polisi Cha Full Kamishna cheo kinachomuhakikishia pato la uhakika mpaka Siku anakufa AU Sheria kubadilishwa

Nakumbuka Gwajima alimshambulia Sana Jakaya Kuwa hataki kukabidhi Uenyekti wa CCM Kwa Magufuli mpaka Kikwete akaja kufafanua mbele ta Rais Dodoma Kuwa Kwa Mara tatu alipeleka ombi la kukabidhi Uenyekti lakin Rais Magufuli akamwambia asuburi kwanza

'Sikung'ang'ania Urais ndio Nije kung'ang'ania Uenyekiti wa CCM?'- Jk

Tujifunze kuachana Na chuki Kwa Mtu asiekuwa Na time Na Wewe Kwa Kuwa Ni kupoteza Muda wako
 
Hawa watumishi na mitume uchwara hawana shukrani kabisa.
Hawajui Historia ya makanisa ya Kiroho hapa Tanzania.

Hawajui kuwa kama sio Mzee Ruksa na hatimaye Mzee Kikwete haya makanisa ya binafsi yasingechanua hapa Tanzania.
Wangeyasikia tu kwenye BBC na kwenye CNN.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Mzee Ruksa na JK wamesadia sana ustawi was Dini zote bila kubagua.

Mwacheni Mzee Kikwete apumzike zake wala musimbughudhi kwa maneno ya Kejeli.

Pengo aliwahi kupeleka ombi Kwa Rais Kikwete wadhibiti utitiri wa Makanisa haya ya kiroho lakin Jakaya akampotezea kuheshimu uhuru Wa watu kuabudu
 
rudia tena kuisikiliza hiyo hotuba y gwajima, labda utelewa. Pia wakati unaisikiliza isikilize kama mtanzania uatelewazaidi, usisikilize kama mwanaccm maana hutaambulia kitu..
Mkuu labda wewe ndio unifafanulie maana umeshaingiza siasa!
 
Askof Gwajima anamchukia Sana Mh. Jakaya Kikwete chukia imevuka Mipaka japo Sijui alimfanyia kitu gani

Akina Askof Pengo angalau waliachana Na kumsema sema Kikwete walipogundua Kikwete kajiepusha kujibishana nao

Gwajima hajui Kuwa stahiki Za Rais aliepo Madarakani ukiachana Na zile Za Safari Asilimia 80% yake ndio anakula Jakaya

Gwajima hajui Kuwa Kamishna KOva alifikia cheo Cha juu kabisa Cha Muundo ndani ya Jeshi la Polisi Cha Full Kamishna cheo kinachomuhakikishia pato la uhakika mpaka Siku anakufa AU Sheria kubadilishwa

Nakumbuka Gwajima alimshambulia Sana Jakaya Kuwa hataki kukabidhi Uenyekti wa CCM Kwa Magufuli mpaka Kikwete akaja kufafanua mbele ta Rais Dodoma Kuwa Kwa Mara tatu alipeleka ombi la kukabidhi Uenyekti lakin Rais Magufuli akamwambia asuburi kwanza

'Sikung'ang'ania Urais ndio Nije kung'ang'ania Uenyekiti wa CCM?'- Jk

Tujifunze kuachana Na chuki Kwa Mtu asiekuwa Na time Na Wewe Kwa Kuwa Ni kupoteza Muda wako
Huyu Gwajima aliutamani hata ujumbe wa kamati kuu ya Chadema!
 
Nimemsikia askofu Gwajima akisema viongozi wa kisiasa wakiondoka madarakani wanaexpire na kurudi kuwa raia wa kawaida. Ametoa mfano wa Rais mstaafu Kikwete na afande Kova ambao wamerudi uraiani baada ya kustaafu.
Gwajima amesema kwa sasa wastaafu hawa Kikwete anayeishi Msoga na Kova anayeishi gongolamboto hawana tofauti na yeye kimaisha.

Ndio namwambia tu labda kwa afande Kova lakini mstaafu Kikwete hatafanana naye kamwe.
Niishie hapo!
Inategemea ameyasema hayo katika muktadha upi, lbda kwa kua Kikwete hasumbuliwi na wananchi kuhusu shida zao, hapigiwi kelele kuwa serikali yake inahujumu mafao ya wafanyakazi, hatamaniwi kupigiwa kura ya kutokua na imani naye same to Kova hapigiwi kelele za askari wake kunyanyasa raia, hasumbuliwi na nyumba mbovu za askari, haimlazimu kufanya drama za majambazi kukimbia na kuacha silaha zao aina ya Ak47 zipatazo 20 na risasi 4006.nk
Lbda na mchungaji aliongea kwa muktadh huo.
 
Askof Gwajima anamchukia Sana Mh. Jakaya Kikwete chukia imevuka Mipaka japo Sijui alimfanyia kitu gani

Akina Askof Pengo angalau waliachana Na kumsema sema Kikwete walipogundua Kikwete kajiepusha kujibishana nao

Gwajima hajui Kuwa stahiki Za Rais aliepo Madarakani ukiachana Na zile Za Safari Asilimia 80% yake ndio anakula Jakaya

Gwajima hajui Kuwa Kamishna KOva alifikia cheo Cha juu kabisa Cha Muundo ndani ya Jeshi la Polisi Cha Full Kamishna cheo kinachomuhakikishia pato la uhakika mpaka Siku anakufa AU Sheria kubadilishwa

Nakumbuka Gwajima alimshambulia Sana Jakaya Kuwa hataki kukabidhi Uenyekti wa CCM Kwa Magufuli mpaka Kikwete akaja kufafanua mbele ta Rais Dodoma Kuwa Kwa Mara tatu alipeleka ombi la kukabidhi Uenyekti lakin Rais Magufuli akamwambia asuburi kwanza

'Sikung'ang'ania Urais ndio Nije kung'ang'ania Uenyekiti wa CCM?'- Jk

Tujifunze kuachana Na chuki Kwa Mtu asiekuwa Na time Na Wewe Kwa Kuwa Ni kupoteza Muda wako
Wewe ndo unachuki na gwajima, gwajima alikuwa anamuonya kichaa jiwe kuwa kuna siku hii kazi ya urais ataiacha na atabak kuwa raia Wa kawaida. Nashanga naona umetoa povu kama lote
 
Mie nazungumzia trend ya Gwajima wakati Wewe unazungumzia incidence unadhan kuna kitu utaambulia Kwenye comment yangu?
 
Wewe ndo unachuki na gwajima, gwajima alikuwa anamuonya kichaa jiwe kuwa kuna siku hii kazi ya urais ataiacha na atabak kuwa raia Wa kawaida. Nashanga naona umetoa povu kama lote
Hata mie nmemshangaa sana jamaa alivokurupuka
 
Hivi Gwajima anahabari kuwa Kile kiti Magogoni kimewahi kukaliwa na watu weusi watano tu kati ya watu milioni 200 waliowahi kuzaliwa na kufa toka mwaka 1920 hadi leo hii Jakaya akiwemo?
 
Pengo aliwahi kupeleka ombi Kwa Rais Kikwete wadhibiti utitiri wa Makanisa haya ya kiroho lakin Jakaya akampotezea kuheshimu uhuru Wa watu kuabudu
Huu ni uongo mkubwa!! Kanisa Katoliki halina sera hiyo. Huko nchi za kiarabu Kanisa linapambana pawe na uhuru wa kuabudu si kwa Kanisa Katoliki tu bali Ukristo kwa ujumla.
 
Hii sihitaji Wewe kukubali Au kukataa

Wewe unajua chanzo Cha chuki ya Gwajima Kwa Pengo?
 
Askof Gwajima anamchukia Sana Mh. Jakaya Kikwete chukia imevuka Mipaka japo Sijui alimfanyia kitu gani

Akina Askof Pengo angalau waliachana Na kumsema sema Kikwete walipogundua Kikwete kajiepusha kujibishana nao

Gwajima hajui Kuwa stahiki Za Rais aliepo Madarakani ukiachana Na zile Za Safari Asilimia 80% yake ndio anakula Jakaya

Gwajima hajui Kuwa Kamishna KOva alifikia cheo Cha juu kabisa Cha Muundo ndani ya Jeshi la Polisi Cha Full Kamishna cheo kinachomuhakikishia pato la uhakika mpaka Siku anakufa AU Sheria kubadilishwa

Nakumbuka Gwajima alimshambulia Sana Jakaya Kuwa hataki kukabidhi Uenyekti wa CCM Kwa Magufuli mpaka Kikwete akaja kufafanua mbele ta Rais Dodoma Kuwa Kwa Mara tatu alipeleka ombi la kukabidhi Uenyekti lakin Rais Magufuli akamwambia asuburi kwanza

'Sikung'ang'ania Urais ndio Nije kung'ang'ania Uenyekiti wa CCM?'- Jk

Tujifunze kuachana Na chuki Kwa Mtu asiekuwa Na time Na Wewe Kwa Kuwa Ni kupoteza Muda wako
Gwajima ni kenge kama kenge wengine tu
 
Wewe ndo unachuki na gwajima, gwajima alikuwa anamuonya kichaa jiwe kuwa kuna siku hii kazi ya urais ataiacha na atabak kuwa raia Wa kawaida. Nashanga naona umetoa povu kama lote
Akiwa raia wa kawaida atakuwa kama wewe?

Onyo la kizembe sana
 
Back
Top Bottom