Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,560
Sijui unazungumza katika nyanja zipi lakini ukweli ni kuwa wanakuwa wa kawaida sana!Hamna msafara tena,hakuna walinzi lukuki tena!Kwa akili za kingumbaru, Rais akistaafu atakuwa kama mimi
Sijui unazungumza katika nyanja zipi lakini ukweli ni kuwa wanakuwa wa kawaida sana!Hamna msafara tena,hakuna walinzi lukuki tena!Kwa akili za kingumbaru, Rais akistaafu atakuwa kama mimi
Kabla ya Utawala wa Mzee ruksa haya makanisa ya kiroho hayakuruhusiwa na walioyaanzisha walipata tabu sana.Pengo aliwahi kupeleka ombi Kwa Rais Kikwete wadhibiti utitiri wa Makanisa haya ya kiroho lakin Jakaya akampotezea kuheshimu uhuru Wa watu kuabudu
Rais mstaafu anakula 100% anayekula 80% ni Waziri mkuu mstaafu
Maneno yako mengi mno, lakini ukweli mmeshindwa kumuelewa Gwajima kabisa.Askof Gwajima anamchukia Sana Mh. Jakaya Kikwete chukia imevuka Mipaka japo Sijui alimfanyia kitu gani
Akina Askof Pengo angalau waliachana Na kumsema sema Kikwete walipogundua Kikwete kajiepusha kujibishana nao
Gwajima hajui Kuwa stahiki Za Rais aliepo Madarakani ukiachana Na zile Za Safari Asilimia 80% yake ndio anakula Jakaya
Gwajima hajui Kuwa Kamishna KOva alifikia cheo Cha juu kabisa Cha Muundo ndani ya Jeshi la Polisi Cha Full Kamishna cheo kinachomuhakikishia pato la uhakika mpaka Siku anakufa AU Sheria kubadilishwa
Nakumbuka Gwajima alimshambulia Sana Jakaya Kuwa hataki kukabidhi Uenyekti wa CCM Kwa Magufuli mpaka Kikwete akaja kufafanua mbele ta Rais Dodoma Kuwa Kwa Mara tatu alipeleka ombi la kukabidhi Uenyekti lakin Rais Magufuli akamwambia asuburi kwanza
'Sikung'ang'ania Urais ndio Nije kung'ang'ania Uenyekiti wa CCM?'- Jk
Tujifunze kuachana Na chuki Kwa Mtu asiekuwa Na time Na Wewe Kwa Kuwa Ni kupoteza Muda wako
Nimemsikia askofu Gwajima akisema viongozi wa kisiasa wakiondoka madarakani wanaexpire na kurudi kuwa raia wa kawaida. Ametoa mfano wa Rais mstaafu Kikwete na afande Kova ambao wamerudi uraiani baada ya kustaafu.
Gwajima amesema kwa sasa wastaafu hawa Kikwete anayeishi Msoga na Kova anayeishi gongolamboto hawana tofauti na yeye kimaisha.
Ndio namwambia tu labda kwa afande Kova lakini mstaafu Kikwete hatafanana naye kamwe.
Niishie hapo!
we nawe mshamba mshamba tu kama mkolomije mwenzio bashite.Unataka kujilinganisha na Nguli mtoto wa mjini?.Nyuzi nyingine hizi