Gwajima: Siwezi kuwasahau Dr. Slaa, Lowassa

Gwajima: Siwezi kuwasahau Dr. Slaa, Lowassa

Tafuta audio yake usikilize.

utakuta jamaa anaongea kwa wema tena kwa reference za 1994 na 1995.

Haya unayoyaandika hapa jukwaan ni uzushi na upumbavu wako.
 
Kweli huyu jamaa mwenye huu uzi ni mpumbavu sana, ngwajima hakutangaza Rais, kasema wale ni marafiki zake zake tena wa kitambo hicho, mwingine wa 1995 na mwingine miaka ya tisini hivyo hivyo, akili zimeganda sana
 
Leo, Jumatatu ya PASAKA, takribani Magazeti yote yamepambwa na vichw vya habari vinavyomnukuu JOSEPHAT GWAJIMA akisema: "SITAWAACHA LOWASSA, SLAA".
Ameyasema hayo wakati wa ibada ya Pasaka, aliyoiongoza akiwa kwenye kile na hoja yake ikiwa ni kiwa anasikia UVUMI kuwa aliitwa kuhojiwa na POLISI kwa sababu aliwakaribisha LOWASSA na SLAA kanisani kwake.

Labda GWAJIMA amechanganyikiwa. Namkumbusha kuwa alitwa kuhojiwa na Polisi kwa sababu alimtukana Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo kuu la Dar es Salaam, Muhadhama Polycarp Kardinari Pengo.

Jambo la Msingi Kabisa kutokana na hii kauli yake iliyopamba vichwa vya Magazeti ya leo: Ni wazi Kabisa Kauli hii inalenga kumaanisha kuwa hatawaacha LOWASSA na SLAA katika mbio za Urais. Kama ni kweli basi amewaangamiza kisiasa. Gwajima kwa matukio ya hivi karibuni ni Mchafu sana na hawezi kuwasaidia chochote wagombea wake kufikia malengo yao.

RAIS CHAGUO LA WATANZANIA ATATOKA KWA MUNGU NA SIYO KWA WACHUNGAJI WACHAFU KAMA GWAJIMA.

Utajibeba hata Aliyepo sasa kuna mchunga kondoo alinena ni chaguo la Mungu ila tunachokiona sasa majuto ni mjukuu kwa ufupi tu ndani ya ccm hata ashuke malaika hakuna.atakae weza kuirudisha hii nchi kwenye mstari mimi ninayejitambua najua chama ni taasisi inayoongozwa na watu wengi mfumo uliopo ccm kwa sasa sio ule wa miaka ya sabini wa ujamaa azimio la Arusha halipo lipo la zanzibar ambalo misingi yake ni dhulma, rushwa, ukoloni mambo leo na umimi amini hivyo hata mumuweke malikia pale hawezi eidha awe dikteta awafunge woote na kuwafilisi mali viongozi wenu wote kuanzia rais mstaafu , mawaziri wake wastaafu, na waliopo na wengine pamoja na familia zao manake zina ukakasi wa rushwa ama aendeleze mfumo uliopo sasa wa ombwe la walonacho na wasionacho ambao mwisho wake unajua kitatokea nini ila kwa mtu mwenye hofu ya Mungu kwa hali ilivyo sasa hatathubutu kuubeba huu msalaba ndani ya ccm watu mna mikataba na watu mnaowaita wawekezaji wakati ni wanyonyaji wa miaka mia moja:what: wengine miaka hamsini na ukiangalia watu walioingia hiyo mikataba wapo kwenye miaka sabini na kuendele ina maana wanajua kabisa hata siku bomu likilipuka hawatakiwepo ccm kilikufa na mwenyewe.
 
Watanzania zamani tulikuwa na raha sana tuliishi bila hofu yeyote ile lkm kwa sasa ni mungu tu ndio ameamua kutubariki.
Jana kwenye ibada karibu makanisa yote yalikuwa yanalindwa kitu ambacho ni kizuri lkn sio mazoeya yetu.
Hili la katiba nalp ni la kuomba mungu sijui kama tutavuka salama
 
Siku zote watanzania hatukuwa na amani bali tuna ustahimilivu na woga umetutawala mana nchi saiv ishageuzwa km danguro la walanguzi ambapo watu wako huru kijifanyia watakayo kiasi ata cha kuchukua uhai wa mwenzako bila yeyote kujali.
Hivyo hata la katiba litapita salama 7bu ya uoga wetu na si amani yetu mana tumejaa makovu ya kila aina ila tunayamezea (uvumilivu nadhan huwa na nwisho tukichoka hatutoridishwa nyuma)
 
Tuliishi kwa amani na tukijali utu.lkn leo tunatukuza dini kuliko mungu.tunahubiri udini,ukabila na umaarufu tu.
 
Zamani yenu si yetu, tulilala milango wazi, tulianika nguo uani usiku kucha na hakuna hata uwa / uzio (Kariakoo) mpaka baada ya Azimio La Arusha amani ikaanza kutoweka, ikafikia mpaka tukachimbishwa mahandaki na tukaanza kujijengea jela uwa / uzio / ma grill ya vyuma majumbani mwetu.
 
Japo kila kitu kina ubaya na uzuri, zaman kidogo hali ya maisha yalikuwa yanakiuahueni kidogo watu licha ya kulala juu ya miti, kupanga foleni kununua sukari, kukimbia kodi n.k ila watu waliishi kwa utulivu lakn saiv hali tofauti kidogo, licha ya ugumu wa maisha kuongezeka maradufu, pia ata usalama wetu saiv upo kiganjani mwa watu ambao wanaamua lini wachukue uhai wako bila kusikia kauli yoyote ya wenye mamlaka zaid wanalalamika kwann yametokea kana kwamba hawana nyenzo za kuyazuia
 
Imenikumbusha mbali,zamani mtu ulikuwa unatoka home unaenda kwa jirani nyumba ya pili kupiga stori lakini leo hili halipo tena,tunakataa majirani huku tukiwa busy whatsapp kutafuta majirani wa mbali,ndio ukweli,binadamu anahitaji kusalimia na kusalimiwa.Sasa leo tunajifanya jirani wako si chochote na bora yule wa face book ila tunasahau likitokea la kutokea huyo unayemwona si chochote ndo wa kwanza kukuattend,iwe nyumba inawaka moto ama vinginevyo,ubinafsi umetawala watu majirani wanaamua tu kudevelop chuki ambazo wala hata hazieleweki ilimradi tu ukauzu,tubadilike jamani,hata vitabu vya mafundisho vimesema ndugu yako ni jirani yako was karibu yako iwe nyumbani,kazini ama kwenye basi
 
Zamani kulikua hamna njaa labda mijini watu wa vijijini karibu kila nyumba watu walikuwa wanafuga
Wananchi walikuwa na mzao mdhuri tena ya kibiashara na ya chakula
Vijijini watu walikuwa na uwezo wa kutisha pombe na kuchinja nyama kila kaya mwishowe mwa weak and
Viwanda vilikuwepo
Upendo kati ya mwenye nacho na asiyekuwa nacho yalikuwepo
Watu walisoma pamoja bila kujali kama ni mtoto wa kiongozi
Kila mtanzania alikuwa ni mlinzi,polis,mwajeshi ilikuwa raha kweli kweli
 
Back
Top Bottom