Gwajima: Siwezi kuwasahau Dr. Slaa, Lowassa

Gwajima: Siwezi kuwasahau Dr. Slaa, Lowassa

Zamani kulikua hamna njaa labda mijini watu wa vijijini karibu kila nyumba watu walikuwa wanafuga
Wananchi walikuwa na mzao mdhuri tena ya kibiashara na ya chakula
Vijijini watu walikuwa na uwezo wa kutisha pombe na kuchinja nyama kila kaya mwishowe mwa weak and
Viwanda vilikuwepo
Upendo kati ya mwenye nacho na asiyekuwa nacho yalikuwepo
Watu walisoma pamoja bila kujali kama ni mtoto wa kiongozi
Kila mtanzania alikuwa ni mlinzi,polis,mwajeshi ilikuwa raha kweli kweli

Zama zile ulikuwa hujui hata DINI ya jirani yako.Wakati wa sikukuu tulialikana bila kujali IMANI ZETU.
 
Ni kweli mkuu

Sijui kama atatokea kiongozi mmoja muadilifu akajitahidI japo kidogo tu kuturudisha kule tulikotoka.Tukapata viongozi wakaokuwa WATUMWA wa WATANZANIA na si WAHESHIMIWA.
 
Zamani gani unakusudia ile ya kulala juu ya miti kukimbia kodi au ya uzururaji au kukamatwa usiku ma kupotezwa

Ni here kodi ya kichwa kuliko hii ya sasa hivi
Vat asilimia kumi na nane
Kodi ya mapato asilimia mia na makodi mengine mengi sana kwa sasa bado tunalipa kodi nyingi kuliko dhamani kilichobadilika ni mbinu ya kututoza hiyo kodi
Zamani tulikuwa hatuibiwi mali asili zetu
Tulikuwa hatuhibiwi fedha zetu,matajiri walitozwa kodi kuliko masikini
Tulipewa daftari bure,viatu,elimu bure,afya bureeeeeeerrr
Afya bureeeeeee
Elimu bureeeeeee
Tulikopesha nyumba
Tulijengewa nyamba
 
Sijui kama atatokea kiongozi mmoja muadilifu akajitahidI japo kidogo tu kuturudisha kule tulikotoka.Tukapata viongozi wakaokuwa WATUMWA wa WATANZANIA na si WAHESHIMIWA.

Dr anaweza. Kwa kuwa ni mkali huwa hataki masihara kwenye ujinga
 
Watanzania zamani tulikuwa na raha sana tuliishi bila hofu yeyote ile lkm kwa sasa ni mungu tu ndio ameamua kutubariki. Jana kwenye ibada karibu makanisa yote yalikuwa yanalindwa kitu ambacho ni kizuri lkn sio mazoeya yetu. Hili la katiba nalp ni la kuomba mungu sijui kama tutavuka salama
Its funny kwamba waumini w akulindwa ni upande mmoja hasi siku watakapoanzana wenyewe kwa wenyewe.....ila naamini sikukuu za kuangalia mwezi zikianza utasikia watakapotofautiana kitakachfuatia.
 
Sijui kama atatokea kiongozi mmoja muadilifu akajitahidI japo kidogo tu kuturudisha kule tulikotoka.Tukapata viongozi wakaokuwa WATUMWA wa WATANZANIA na si WAHESHIMIWA.
Mkuu ninapo sema hakuna msafi ccm ninaimanisha maana kila mtu yupo juu ya mwingine
 
Imenikumbusha mbali,zamani mtu ulikuwa unatoka home unaenda kwa jirani nyumba ya pili kupiga stori lakini leo hili halipo tena,tunakataa majirani huku tukiwa busy whatsapp kutafuta majirani wa mbali,ndio ukweli,binadamu anahitaji kusalimia na kusalimiwa.Sasa leo tunajifanya jirani wako si chochote na bora yule wa face book ila tunasahau likitokea la kutokea huyo unayemwona si chochote ndo wa kwanza kukuattend,iwe nyumba inawaka moto ama vinginevyo,ubinafsi umetawala watu majirani wanaamua tu kudevelop chuki ambazo wala hata hazieleweki ilimradi tu ukauzu,tubadilike jamani,hata vitabu vya mafundisho vimesema ndugu yako ni jirani yako was karibu yako iwe nyumbani,kazini ama kwenye basi

kweli mkuu
 
Hakika matendo yake na kauli yake lol!.. He 's such the devil person, my main doubt why unamtegemea mungu then unataka bastola ikulinde, so mungu na bastola kipi kina nguvu?... This guy ol laaaa..
 
Hakika matendo yake na kauli yake lol!.. He 's such the devil person, my main doubt why unamtegemea mungu then unataka bastola ikulinde, so mungu na bastola kipi kina nguvu?... This guy ol laaaa..
Mbona unaoga lakini taulo linachafuka? Ukweli utakuweka huru
 
Kova nakuamulu hao wahuni wakikusanyika...kumsindikiza muhuni mwenzao virungu vinawahusu.
 
Natamani agombee urais

Taifa la mataahira, hata kichaa anatukuzwa! Mtu hana kanisa anasali kwenye eneo la kujibanza, waumini hawafiki 200 nao ni wale wagonjwa na waganga wa kienyeji wanaotaka kuokoka, sadaka kwa wiki moja haifiki milioni 1. Sasa mataahira hayajiulizi Hammer na helicopter ametoa wapi? Kama siyo Mdau wa Madawa ya Kulevya??? Watanzania amuke muache ujinga. Madhara ya Madawa ya kulevya hata MTOTO wako anaweza kuanza kubwia, ndipo utakoma NA kiherehere CHA kutukuza wauza unga.
 
Kwanini unashitakiwa kwa kosa fulani harafu unahojiwa kwa mambo mengine, polisi ni wala rushwa wanataka kumtisha Gwajima wanadhani atatoa rushwa, wameshindwaaaa kabisaaaaa Hingera gwajima ni kosa kuhoji mambo ambayo mtu hajasitakiwa nayo, nani kawaloooogaaa nyinyi vilaza wa division 4????

Usizungumze hivyo Polisi sio vilaza, hata uwe Profesor utakaa, wakisha maliza kukuhoji ndio utajua ulikuwa ulikuwa unahojiwa nini
 
Taifa la mataahira, hata kichaa anatukuzwa! Mtu hana kanisa anasali kwenye eneo la kujibanza, waumini hawafiki 200 nao ni wale wagonjwa na waganga wa kienyeji wanaotaka kuokoka, sadaka kwa wiki moja haifiki milioni 1. Sasa mataahira hayajiulizi Hammer na helicopter ametoa wapi? Kama siyo Mdau wa Madawa ya Kulevya??? Watanzania amuke muache ujinga. Madhara ya Madawa ya kulevya hata MTOTO wako anaweza kuanza kubwia, ndipo utakoma NA kiherehere CHA kutukuza wauza unga.

Ha ha ha ha Mapolu bwana...
 
Last edited by a moderator:
Taifa la mataahira, hata kichaa anatukuzwa! Mtu hana kanisa anasali kwenye eneo la kujibanza, waumini hawafiki 200 nao ni wale wagonjwa na waganga wa kienyeji wanaotaka kuokoka, sadaka kwa wiki moja haifiki milioni 1. Sasa mataahira hayajiulizi Hammer na helicopter ametoa wapi? Kama siyo Mdau wa Madawa ya Kulevya??? Watanzania amuke muache ujinga. Madhara ya Madawa ya kulevya hata MTOTO wako anaweza kuanza kubwia, ndipo utakoma NA kiherehere CHA kutukuza wauza unga.

Unafki siyo mzuri
 
Back
Top Bottom