Gwajima: Siwezi kuwasahau Dr. Slaa, Lowassa

Gwajima: Siwezi kuwasahau Dr. Slaa, Lowassa

Nndug zangu Waislaam.

Salaam ziwe juu yenu.

Leo sina maneno mengi sana ila kubwa nalotaka kuwajuza ni kwamba katika hili la mahakama ya kadhi litoshe kuwa funzo kwa kutowapa turufu wanasiasa kwa namna yeyote ile.

Pamoja na ubaya wa CCM katika hili lakin amin nawaambia kwamba hawa chadema chini ya Dr Slaa ndiyo wabaya zaid wa kuwapa trust katika hili.

Mfano hao ni huu uhusiano wa karibu wa huyu Padre Wilbroad Slaa wa chadema na Askofu Gwajima aliejinasibu kuwa ni Rafiki yake slaa wa karibu tokea zama na zama.

Gwajima kwa maneno yake machafu amekuwa kinara wa kuwakashifu waislam na kuwakebehi ikiwa ni pamoja na kuingilia mambo hayo kwa wazi wazi.

LEO HII ANAPOKUJA KUSIMAMA NA KUSEMA KWAMBA PADRE SLAA NI MTU WAKE WA KARIBU NA HUU UKARIBU WA SLAA KWA GWAJIMA HADI KUFIKIA HATUA YA KWENDA KUOMBEWA NI ISHARA TOSHA KWAMBA LAO NI MOJA.

SLAA na chadema KWA WAISLAM NI CHUI ALIEVAA NGOZI YA KONDOOO.

Hilo tuweni nalo makin sana.

Acha kuipigia CCM kampeni kwa mgongo wa matakwa ya watanzania na waislamu!
 
Chadema ni wabaya zaidi kwa waislam.

Kanisa katoliki limejificha vilivyo ndani ya chadema hilo liko wazi.

Najua maneno haya ni machungu kwa baadhi ya watu ila ukweli ndiyo huo.

Slaa ni Chadema yenyewe.

Slaa na Gwajima na maaskofu ni pete na kidole.

Maaskofu hao hao ndio vinara wa kuingilia mambo ya uislam.

Unadhani Slaa Padre huyu akiingia ikulu si ndiyo tumekwisha mazima??

Padre Slaa na Chadema mkae mkijua fika kwamba Tunawajua zaid ya mnavyodhania.

Hata mkijificha nyuma ya ukawa.
Ulisoma Mzumbe ilipokuwa shule ya wenyevipaji (Special school)! halafu ukatoka mtupu kama ulivyoingia! Naona bora ungebaki kwenye shule yenu ya kata (Vihokoli) ungejifunza kuchimba visima !
 
Ulisoma Mzumbe ilipokuwa shule ya wenyevipaji (Special school)! halafu ukatoka mtupu kama ulivyoingia! Naona bora ungebaki kwenye shule yenu ya kata (Vihokoli) ungejifunza kuchimba visima !

Kamwambie mumeo slaa.

Nchi hii haitakuja kuongozwa na padre hata siku moja.
 
Kwanini Gwajima tuu...wakati misikitini kila siku Pengo anatukanwa sana.Au ndio kuwakaanza kwa mafuta yao wenyewe?

We dada toa mfano hai. Ni msikiti gani unamtukana Pengo?
mbona nyie wachaga wa kigalatia mnahara sana jukwaani?
Hizo pombe za kienyeji zitawaua.
 
We dada toa mfano hai. Ni msikiti gani unamtukana Pengo? mbona nyie wachaga wa kigalatia mnahara sana jukwaani? Hizo pombe za kienyeji zitawaua.
Kwani wapi mlikuwa mkisema ndie anaongoza Ikulu ktk mfumo Kristu.
 
Kwani wapi mlikuwa mkisema ndie anaongoza Ikulu ktk mfumo Kristu.

Wacha kuniimbia taarabu wewe.
Taja huo MSIKITI Pengo aliotukanwa.

Mwanamme una tabia za kike huna aibu wewe? Nyie ndio wale wanamme mnaokaa jikoni kuwapikia wanamme wenzenu.
We si umesema Miskiti Inamtukana Pengo?
Leta jina la msikiti hapa acha upumbavu
 
Wacha kuniimbia taarabu wewe. Taja huo MSIKITI Pengo aliotukanwa. Mwanamme una tabia za kike huna aibu wewe? Nyie ndio wale wanamme mnaokaa jikoni kuwapikia wanamme wenzenu. We si umesema Miskiti Inamtukana Pengo? Leta jina la msikiti hapa acha upumbavu
Doooooooooooh...umechoka hakuna kinachohusiana na unachotaka changia.
 
Back
Top Bottom