Gwajima: Sina appointment na Bashite

Gwajima: Sina appointment na Bashite

7344a817a6648d52d122a0fd63cf992d.jpg
Lkn leo ilibaki kidogo mchungi gwajima ateleze kauli yake,awe makini sana asije kuharibu heshima yake
 
Gwajima hasipokuja kuliamsha dude kuhusu ishu ya Bashite na Star tv, mvuto wake utapungua.
 
This dude is a faker,just as i suspected!!hana taarifa mpaka aunge aunge weeee
Video ya Diamond akijiunga Freemason hajaiweka till now pamoja na dogo kuthubutu kumwambia aweke,
Kukwepa kodi Sahara Media sio tuhuma mpya so hakua na cha kusema weekend hii zaidi ya kuvutia 'rumor mongers' wapya kanisani kwake apate sadaka zaidi
FAKE PASTOR!
 
Gwajima hasipokuja kuliamsha dude kuhusu ishu ya Bashite na Star tv, mvuto wake utapungua.

Umenena vema mkuu. 'mvuto' sio 'heshima'!heshima hana muda tu sasa tangu aongope kuhusu misukule miaka ile
Na usiwe na matumaini sana na hii ishu ya Sahara Media sababu HAIPO na atakachosema hakitakua kipya sababu tuhuma hizi zilishakuwepo before
He's a gospel enterpreneur, a Faker!!
 
Ngwajima ni tapeli sasa kwanini alisema atasema urai wa Antony Dialo wakati hana data? mara ooh ntasema elimu na mishahara ya watangazaji wa star tv kumbe huna data....oooh ntamlipua Bashite kumbe huna data....
Hakika Ngwajima umbea utakumaliza na utapeli utakupeleka pabaya.....endelea kupiga hela za waumini

Dude limebuma, ogopa watumishi wanaotumia madude katika utumishi wao.
 
Back
Top Bottom