Gwajima: Sina appointment na Bashite

Gwajima: Sina appointment na Bashite

Decree Holder

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
2,559
Reaction score
3,749
7344a817a6648d52d122a0fd63cf992d.jpg
 
Ngwajima ni tapeli sasa kwanini alisema atasema urai wa Antony Dialo wakati hana data? mara ooh ntasema elimu na mishahara ya watangazaji wa star tv kumbe huna data....oooh ntamlipua Bashite kumbe huna data....
Hakika Ngwajima umbea utakumaliza na utapeli utakupeleka pabaya.....endelea kupiga hela za waumini
 
haya maneno uchunguzi/mchakato/ upembuzi unaendelea tumefundishwa na CCM
 
Ngwajima ni tapeli sasa kwanini alisema atasema urai wa Antony Dialo wakati hana data? mara ooh ntasema elimu na mishahara ya watangazaji wa star tv kumbe huna data....oooh ntamlipua Bashite kumbe huna data....
Hakika Ngwajima umbea utakumaliza na utapeli utakupeleka pabaya.....endelea kupiga hela za waumini
Data zipo ila hazijakamilika!
Be patient!
 
Ngwajima ni tapeli sasa kwanini alisema atasema urai wa Antony Dialo wakati hana data? mara ooh ntasema elimu na mishahara ya watangazaji wa star tv kumbe huna data....oooh ntamlipua Bashite kumbe huna data....
Hakika Ngwajima umbea utakumaliza na utapeli utakupeleka pabaya.....endelea kupiga hela za waumini
Mimi sio mkristu ila katika maaskofu hapa Tanzania naona huyu hanaga unafki kabisa huwa anasimamia anachokiamini kuanzia katiba mpya mpaka uwajibikaji wa serikali na wabunge pia!!!!

Kma ni mpotoshaji basi mumfungulie kesi mahakamani ya uchochezi au kupotosha umma ili kma hana data mumfunge jela otherwise kwa wapenda haki na ukweli gwajima wanamuelewa sana
 
Siku zote unapiga bla bla kumbe huna data anza kujitathmini na uache ushilawadu
 
Mm ninacho shanga ni jinsi wapinzani hasa chadema wanavyo geuzwa kama chapati, wanaacha kujadili mambo ya maana wanamjadili.
 
Mkuu;
Usipoutema upumbavu wako hapa huwa unachacha mdomoni au?? Pole zako. Chadema na kuliamsha dude wapi na wapi?? Kweli, afadhali chadema hawakuingia magogoni, wengi mngelikufa BP.
 
Back
Top Bottom