Gwajima ni Ndesamburo mpya hazuiliki

Gwajima ni Ndesamburo mpya hazuiliki

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,293
Reaction score
13,960
Marehemu Ndesamburo alikuwa hazuiliki kwasababu alikuwa tajiri na pesa yake haikutegemea serikali alikuwa na viwanda muhimu na biashara za utalii pesa yake ilikuwa ndefu huwezi kuizuia na nyingine inabaki huko huko wanakotoka wazungu wageni wake

Gwajima anapesa kwanza za kanisa na misaada kutoka makanisa ya nje kuanzia japan, korea na USA. Alivyo genious pesa nyingi inabaki huko huko. Hivyo msije kufikiri kakurupuka ana plan a,b mpaka z kwa kila tukio. Yeye imefika wakati ni mkubwa kuliko mbunge au uchawa. Gwajima tofauti na Ndesamburo amapenda sifa hivyo hawezi kubaki na wabunge 300 ambao anajua wengi vilaza. CCM wakimtoa watakuwa wamemsaidia zaidi ili ionekane kafukuzwa

Gwajima kavutiwa sana na ujasiri wa Lissu na Heche na kaona upepo uko wapi
 
Media zetu zilivyo za kijinga kesho hii press ya huyu mjinga itapambwa kwenye magazeti yote
 
Back
Top Bottom