Naam kweli kabisa lakini sio kuzaana bila mpangilio. Sasa kama ni kitu kizuri kwa nini anakataa na kusema kasingiziwa. mchungaji akisema uongo wengine tuseme nini. Mchungaji akitelekeza mtoto wengine tufanye nini. Mchungaji akiwa mzinzi wengine tuweje? Ombi moja tu DNA MUBASHARA baasi!