Mmemchoka na nani?Huyo nae tumeshamchoka kila siku kuligeuza kanisa lake no sehemu ya kutafutia kiki za kipumbafu sijui na waumini wake wanapata huduma ya kidogo saa ngapi, na hivi sasa anakaa kusubiria tukio flani ili aibuke..... amegeuka kuwa mchungaji wa matukio sasa
kusikia bwana wako Diallo ataumbuliwa umeshapaniki Tuliza akili tujue ni namna gani halipi kodi wakati Rais anahimiza watu walipe kodiNaomba mpelekee huu ujumbe katika inst yake:.... Huyu jamaa sijui kawalisha nini waumini wake maana sijui kama kweli ni mchungaji ama askofu yeye kila kukicha kuingia katika siasa. Huyu anatakiwa sana kushughulikia anajifanya anaipenda nchi mpaka aguswe pabaya ndiyo mapenzi ya nchi yanakuja. Mbona anakaa kimya kumvaa JPM anataka kutuambia hana madhambi ya JPM? ama anaogopa kikanisa chake kitaishia kama cha mwenzake wa Mwenge!!!!
Jamani kama huyu ndiye kiongozi wa kiroho waumini wake wanakuwaje?Wanamchokoza wenyewe... Wacha tushuhudie mtanange....
Sema umemchoka wewe usitusemeeHana jipya huyo nae tumemchoka
Hapana kwa kweliAnatumia vizuri madhabahu kukemea maovu, na kama makanisa yapo kiroho na kimwili na ndio maana yanasajiliwa kimwili. Na kama wachungaji wote wangetumia madhabahu kama anavyoitumia Gwajima nchi hii ingekaa vizuri!
Leta neno acha majungu,hiyo huduma yako inaitwaje?
Mh!Jumapili Roman yangu mtanisamehe, naenda kula ubuyu kidogo Ufufuo na Uzima
Wanajisikia amani ya moyo mana wanapata upako na kujifunza yale waliyokuwa hawayafahamu,kama hili la mkwepa kodi wa Star TV..wakati huohuo Rais anasisitiza watu walipe kodiJamani kama huyu ndiye kiongozi wa kiroho waumini wake wanakuwaje?
Eeeeh! Mkuu, mbona kama sijakuelewa vile!Wanajuana hao ni wasukuma wote wanagawana mapato ya kanisa lao.
Kwa mtazamo wangu mimi madhabahu inakosewa.Nani anakudanganya kuwa hivi vita ni vya kimwili?
Mtumishi wa Mungu hapaswi kuwa muoga, Gwajima is the real definition of how the Bishop should go...!
Viva Gwajima.
Mgogoro wenye fursaBashite amemuongezea Gwajima sadaka za week hii bila yeye mwenyewe kujua wala kupenda.
Ni bonge la shushushuhahah kazi ipo ajabu gwajima anaweza kupekenyua mpaka mivunguni mwa watu lakini kesi mahakmani utakuta mtu kaiba bata kitaa lakini kesi inapigwa kalenda miaka kumi hahaha tz ni kiboko aisee