Gwajima kujibu tuhuma za Bashite na kuelezea ukwepaji kodi wa Sahara Media

We huna insta si subscribe insta umchane uone balaa Lake,unaandika huku kwenye fake ID, mfuate kwa kutumia Facebook account yako ndio utajua balaa LA bishop atashusha data za ukoo wako wote
 
Huyo nae tumeshamchoka kila siku kuligeuza kanisa lake no sehemu ya kutafutia kiki za kipumbafu sijui na waumini wake wanapata huduma ya kidogo saa ngapi, na hivi sasa anakaa kusubiria tukio flani ili aibuke..... amegeuka kuwa mchungaji wa matukio sasa
Mmemchoka na nani?
Nenda kule MMU ndio akili yako inatosha hoja nzito za kitaifa huziwezi.

Bishop Dr anatafta kiki au anachokozwa? Tulia mshedede ukuingie.
 
Naomba mpelekee huu ujumbe katika inst yake:.... Huyu jamaa sijui kawalisha nini waumini wake maana sijui kama kweli ni mchungaji ama askofu yeye kila kukicha kuingia katika siasa. Huyu anatakiwa sana kushughulikia anajifanya anaipenda nchi mpaka aguswe pabaya ndiyo mapenzi ya nchi yanakuja. Mbona anakaa kimya kumvaa JPM anataka kutuambia hana madhambi ya JPM? ama anaogopa kikanisa chake kitaishia kama cha mwenzake wa Mwenge!!!!
kusikia bwana wako Diallo ataumbuliwa umeshapaniki Tuliza akili tujue ni namna gani halipi kodi wakati Rais anahimiza watu walipe kodi
 
Anatumia vizuri madhabahu kukemea maovu, na kama makanisa yapo kiroho na kimwili na ndio maana yanasajiliwa kimwili. Na kama wachungaji wote wangetumia madhabahu kama anavyoitumia Gwajima nchi hii ingekaa vizuri!
Hapana kwa kweli
japo nitafurahia ubuyu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
2cbc4a45c9080142809c888a0cb8e553.jpg
Leta neno acha majungu,hiyo huduma yako inaitwaje?
 
Jamani kama huyu ndiye kiongozi wa kiroho waumini wake wanakuwaje?
Wanajisikia amani ya moyo mana wanapata upako na kujifunza yale waliyokuwa hawayafahamu,kama hili la mkwepa kodi wa Star TV..wakati huohuo Rais anasisitiza watu walipe kodi
 
Atapiga sana sadaka j pili hii.. Huyu jamaa ni bonge la entrepreneur
 
Back
Top Bottom