Gwajima kujibu tuhuma za Bashite na kuelezea ukwepaji kodi wa Sahara Media

Hapo hamna kesi !! Mama huyo ajitokeze na mtoto then Gwajima akamatwe mtoto baba uake wapelekwe kwa mkemia Mkuu for DNA analysis!!! Simpooooooo!!!
Rijali anasambaza mbegu..hata mfalme Suleiman alikuwa na wanawake 900
 
Yanauhusiano gani na kazi yake? Afanye alichotumwa na Mungu akifanye, amemshindwa yule wa south anakimbilia huku. Kubwa la SHILAWADU hill.
Maisha yako yanakuwa determined na SIASA za mtu mmoja, jitambue. wafanyakazi 10,000 or so maisha yao yamekuwa determined na mtu mmoja tu! Hivyo dini na siasa ni kitu kimoja. akija mwenda wazimu, hata dini hazitakuwepo!
 
Simpendi Bashite ila Gwajima anakosea.Madhabahu imekuwa jukwaa lake la kupigana vita vyake vya kimwili...!!
Nani anakudanganya kuwa hivi vita ni vya kimwili?

Mtumishi wa Mungu hapaswi kuwa muoga, Gwajima is the real definition of how the Bishop should go...!

Viva Gwajima.
 
uchaguzi 2015 kuna watu walitumia media houses ili Habari za ccm zisisikike au zisikike negatively tu ila star TV na dialo waliamua kusimamia ukweli, so star TV sio ya kupelekwa pelekwa kizombi wanajielewa sana. ataje na CV za watangazaji wa clouds na Itv na media zote
 
Back
Top Bottom