Gwajima amkimbia Dk. Slaa

Gwajima amkimbia Dk. Slaa

DSC00228.jpg

Kagazeti kachokozi haka.
 
Lowassa: "Siwezi kuhama CCM, ambaye anaona
hafai ahame yeye"
Mbowe: "Lowassa ni fisadi na yuko katika list of
shame".
Slaa: "Hatupokei makapi ya CCM"
Leo hii they all have same mindset!?
Hahaha...Tanzania nchi yangu nakupenda sana,
ila ukombozi wako bado sana!
"POLITICS IS A DIRTY GAME LEAVE IT TO US
WHO KNW HOW TO PLAY IT..... " chinua achebe
 
Kwa dizaini ya waandishi wa habari kama wajana walio kamatwa huko chadema, sina haja ya kusoma magazeti...bora mia nane yangu niweke nikale chapa moja na maharage ya jero...
 
Mimi nitamla 0713 - mwambie tu aingie kwenye anga zangu aone - hata wewe ukipenda jaribu uingie kwenye anga zangu - naweza kukula 0713 bila wasiwasi wowote.

Kama unamvyomla mama yako mzazi. Mwana mjaa laana wewe.
 
Huyo ni tapeli tu.

Na yule babu aliyeacha upadri nae hajijuwi hajitambui.

Wote waongo tu, wanageukana kwa pesa tu.
 
Lowassa: "Siwezi kuhama CCM, ambaye anaona
hafai ahame yeye"
Mbowe: "Lowassa ni fisadi na yuko katika list of
shame".
Slaa: "Hatupokei makapi ya CCM"
Leo hii they all have same mindset!?
Hahaha...Tanzania nchi yangu nakupenda sana,
ila ukombozi wako bado sana!
"POLITICS IS A DIRTY GAME LEAVE IT TO US
WHO KNW HOW TO PLAY IT..... " chinua achebe

1442066219350.jpg
 
Back
Top Bottom