Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,639
Sasa Ile bendera ya Israel inaonyesha nini kuhusu imani yake Gwajima.?
Waisraeli anadhani wana Dini gani?
Askofu Gwajima anataka aonekane kwamba yeye peke yake ndiye mtetezi wa wanyonge.
Hao Waisraeli ndio wanaishambulia Gaza sasa hivi?
Nani anapenda kuona Wagaza wanashambuliwa namna ile?
Gwajima analeta multiple personality ambapo anataka awe na persona ya kuwa mtu mpole kumbe siyo sahihi hata kidogo.
Pia soma Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
Si ndio huyu Gwajima alikuwa akiongoza Kanisa la ufufuko na ibada za maiti? Au ni Gwajima mwingine? Unadhani ni mtu mzuri huyo anayehangaika na maiti?
Tatizo la Gwajima ni kukosa mantiki .Kuunganisha utekaji wa raia na kufukuzwa kazi kwa viongozi wa vyombovya Usalama.
Kwa argument ambazo Hazina mashiko anawachanganya akili simple folks ambao wanatazama wasomi ili wajue jambo la kufanya,na jambo la kusema.