GE2025 Gwajima amekata pumzi, anatafuta pa kushika

GE2025 Gwajima amekata pumzi, anatafuta pa kushika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
wewe ni miongoni mwa watanzania wajinga kabisa kuwahi kutokea . ulaaniwe kwa hiki unachokifanya.
kama hata gwajima hujamuelewa basi una shida mahali tena kubwa sana?
amekuambia maraisi wa tanzania kila anayechaguliwa ana muelekeo tofauti hapo pumzi imekata vipi?
ametaja makundi ambayo hayatawapigia kura kwa ujinga wenu hapo pumzi imekata vipi
ujinga wako ni kujificha kwenye kivuli cha dini ili uwe CHAWA MNENE
Gwajima anachochea uwasi wa kikabila na wa kidini. Kama una akili timamu utamuelewa. Hii ni baada ya kushindwa kuchochoe uwasi wa kijeshi.
 
Wewe mleta uzi ni mjinga, mpuuzi, akili mgando imeJaa mavi
Akili kuu ni ile ya kuzaliwa. Gwajima anasahau kuwa hata ubunge aliopata haukutokana na uaskofu Wala usukuma wake bali njama tu za CCM dhidi ya wapinzani zilimpatia ubunge. Leo hii anaona eti yeye ana watu wanaoweza kuinyima kura CCM. Kama sio upuuzi wake ni nini? Anadhani CCM inategemea kura za wasukuma na waskristo tu.
 
Minofu ikaka zaidi ya amani uliyokuwa nayo? Tumia amani hii, ardhi, barabara,

Hakuna mtu anaetekwa bila kuwa na sifa ya kutekwa. Mbona Heche anaekosoa lakini hakutekwa? Mbona wewe hukutekwa? Mbona mm sijatekwa? Mbona mkeo hakutekwa? Yani ndani ya nchi wapo wanahitaji kuishi kwa uhuru wao, kuonywa, kushitakiwa na wapo wanaohitajika kufa kwa manufaa ya wengi. Hayo ni mawazo yangu mm kavulata.

Kwamfano, anaetafuta mercenaries kuja kuipindua nchi adhabu yake ni nini? Anaepanga njama ya kumuua Rais adhabu yake ni nini?
Hakuna mtu mwenye mamlaka ya kuteka/ kuua wenzake uo ni Uharifu wa binadamu .
Kinachotakiwa kumkamata na kumpeleka Mahakamani ili jamii ijue uovu wake na ikithibitika aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria zetu.
Kuuwa/ kuteka watu ni laana.
 
Wewe mleta uzi ni mjinga, mpuuzi, akili mgando imeJaa mavi
Unapenda tu kusikia ujinga ndio kwako habari njema.

Cheo cha RAIS mnafananisha na wakusanya Sadaka na tonetone mitaan !!

SAMIA SULUHU HASSAN NI RAIS WA Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025 to 30 mengine ni mapambioo tu
 
Gwajima, Mpina na Polepole wote wanazo sifa zinazorandana. Wote ni wasukuma/wanyamwezi, ni waskristo na walipewa vyeo vikubwa na JPM (msukuma).

Wanachosahau ni kitu kimoja kuwa ndani ya CCM na serikali wapo wasukuma na waskristo wengine wengi sana bado. Hivyo, kama ukimkata Mpina kugombea kisesa yuko msukuma mwingine atagombea kisesa. Kama kanisa la Gwajima limefungiwa Yako makanisa mengine Yako wazi hayajafungiwa.

Akili za Gwajima ni kwamba kinachompata yeye kinawahusu wasukuma wote, waskristo wote na wanaCCM wote. Hivyo woote hawa watamuunga mkono yeye kwenye ugomvi wake na Samia.

Akili za kipuuzi kama hizí alikuwa nazo Gashagwa (mkikiyu) aliyekuwa naibu Rais wa Kenya aliyeondolewa kwa upuuzi wake wa kikabila. Rais Ruto alimteua mkikiyu mwingine kuchukua nafasi ya Gashagwa. Hivyo wakikuyu wachache tu wakamuunga mkono Gashagwa na wengi wakamuunga mkono naibu Rais mpya ambae ni mtoto wao pia.

Gwajima anahesabu idadi ya wasukama na idadi ya waskristo nchini na kudhani kuwa wooote wataungana nae kwenye ujinga wake na kusahau kuwa wapo wasukuma na waskristo wengine kama Biteko, Kasheku Msukuma na wengine wengi bado wanagombea na wako serikalini na ndani ya CCM. Eti Leo hii kanisa la katoliki na kanisa lake la uzima na ufufuo ni kitu kilekile tu. Anasahau kuwa watu wanakumbuka namna alivyomshambulia Kadinali Pengo.

Wanatapatapa, amekata punzi.
Umenena kweli, mfa maji haachi kutapatapa
 
Umeniwahi mkuu hata Mimi baada ya kusoma tu huo utumbo hapo juu nikajikuta hilo Neno limenijia akilini... Kuna wakati najiuliza Nyerere alipigania uhuru wa kazi Gani? Angefanya tu ishu zingine
Uhuru!!! Uhuru sio ujinga. Hata Marekani hakuna uhuru wa kijinga wa Kila kitu. Ndiyo maana wana gereza la gwantinamo. Ndiyo maana hata Trump alipigwa risasi sikioni. Wahuni wanastahili kutekwa wako duniani kote. Gwajima anasema wale wote waliokatwa kwenye kura za maoni hawastahili kuipigia kura CCM, waumini wote waskristo hawastahili kuipa kura CCM na watu wote wa kisesa hawatakiwi kuipa kura CCM. Huu kama sio upungufu wa akili ni nini? Kuna uchaguzi ambao hauna kukatana ili abaki mgombea mmoja?

Gwajima kafungiwa duka lake ndio maana anatafuta Kila aina ya msaada. Idadi yao inajulikana na njia zao pia.
 
Hakuna mtu mwenye mamlaka ya kuteka/ kuua wenzake uo ni Uharifu wa binadamu .
Kinachotakiwa kumkamata na kumpeleka Mahakamani ili jamii ijue uovu wake na ikithibitika aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria zetu.
Kuuwa/ kuteka watu ni laana.
Wewe hukuwepo wakati JPM anawaangiza polisi "kuwanyang'anya" majambazi silaha zao kabla hawajawanyang'anya polisi silaha zao? Gwajima hakumsikia JPM akiwapa polisi amri haramu ya kuwaua majambazi bila kufikishwa mahakamani?

Gwajima kama anadhani kuwa wasukuma na waskristo wote wanamuunga mkono atakuwa anajitekenya mwenyewe. Yule mgombea wa Kisesa ni msukuma na mkristo pia, sio lazima awe Mpina milele. Kwani kabla ya Mpina mbunge wao alikuwa nani? Kuna wakati hata Mimi nilikuwa nikiamini kuwa maisha bila Nyerere hayawezekani,, lakini kumbe zilikuwa ni akili za kijinga tu, Nyerere hayupo lakini Tanzania ipo na maisha yanaendelea.
 
Uhuru!!! Uhuru sio ujinga. Hata Marekani hakuna uhuru wa kijinga wa Kila kitu. Ndiyo maana wana gereza la gwantinamo. Ndiyo maana hata Trump alipigwa risasi sikioni. Wahuni wanastahili kutekwa wako duniani kote. Gwajima anasema wale wote waliokatwa kwenye kura za maoni hawastahili kuipigia kura CCM, waumini wote waskristo hawastahili kuipa kura CCM na watu wote wa kisesa hawatakiwi kuipa kura CCM. Huu kama sio upungufu wa akili ni nini? Kuna uchaguzi ambao hauna kukatana ili abaki mgombea mmoja?

Gwajima kafungiwa duka lake ndio maana anatafuta Kila aina ya msaada. Idadi yao inajulikana na njia zao pia.
Ok kwanza nimependa sana jinsi unavyonijibu hoja unaonekana umestaharabika sana hongera sana

Lakini naomba tujiulize Kwa pamoja Kwa hoja za Gwajima anazotoa dhidi ya serikali anapaswa kuskilizwa ama apuuzwe?
 
Kufunga Kanisa la Gwajima hakuondoi watu kutekana.

Gwajima ni Sauti ya umma msiendelee kukaza shingo fanyieni kazi mapungufu aliyo sema.
Ata kama mtafanikiwa ku mnyamazisha Gwajima haita wasaidia, Kitendo cha kuteka/kuua watu na kubambikia watu kesi vitaendelea kukemewa na makundi mbali ya watu.
 
Ameshtuka usingizini kakuta kanyea kambi anahaha kurudi
 
Ok kwanza nimependa sana jinsi unavyonijibu hoja unaonekana umestaharabika sana hongera sana

Lakini naomba tujiulize Kwa pamoja Kwa hoja za Gwajima anazotoa dhidi ya serikali anapaswa kuskilizwa ama apuuzwe?
Shida yake Gwajima ni kwamba hana jipya linaloshangaza watu. Kutekwa sio jambo zuri hata kidogo lakini watu kutekwa sio jambo geni Tanzania, Africa na duniani. Viwango vyetu vya kutekana na kuuana sio kikubwa kuliko nchi nyingine za Afrika na duniani. Viwango ni vidogo kwenye awamu hii kuliko awamu iliyopita hapa nchini. Mtu akiwa Kenya, Somalia, Ethiopia, DRC, Sudan, Nigeria, Niger, Rwanda, Burundi, Marekani, Ukraine, Urusi, Syria, Iraq akisikia kuwa Tanzania tunalalamika sana kuhusu utekaji wanatuona kama vile tumevimbiwa na mihogo ya kuchemsha. Kuna watu wanashindwa hata kuabudu kwa kuogopa kutekwa na kuuawa.
 
Eti amekata Punzi, una haraka ya nini mwamba? au wewe ni Chamaki nchanga
 
Hatuna sababu ya sisi kutekana, ata uko unapo ona Kuna viwango vya juu vya kutekana na uvunjaji mkubwa wa Haki za binadamu kulianza taratibu.
Kwanini tufikie uko!!
Hii Nchi Chama kimoja kinaongoza tangu tumepata Uhuru Sasa kwanini mna lazimisha machafuko bila sababu yoyote ya Msingi!!
 
Shida yake Gwajima ni kwamba hana jipya linaloshangaza watu. Kutekwa sio jambo zuri hata kidogo lakini watu kutekwa sio jambo geni Tanzania, Africa na duniani. Viwango vyetu vya kutekana na kuuana sio kikubwa kuliko nchi nyingine za Afrika na duniani. Viwango ni vidogo kwenye awamu hii kuliko awamu iliyopita hapa nchini. Mtu akiwa Kenya, Somalia, Ethiopia, DRC, Sudan, Nigeria, Niger, Rwanda, Burundi, Marekani, Ukraine, Urusi, Syria, Iraq akisikia kuwa Tanzania tunalalamika sana kuhusu utekaji wanatuona kama vile tumevimbiwa na mihogo ya kuchemsha. Kuna watu wanashindwa hata kuabudu kwa kuogopa kutekwa na kuuawa.
Nashukuru sana Kwa namna unavyonisaidia kutanua ubongo... Lakini katika haya yote bado viongozi wetu wanaweza japo kusema jambo maana Kwa tamaduni yetu haya mambo ni mageni sana kutofautisha na Hizo nchi ulizozitaja hapo juu taharuki inapozidi kua kubwa hata uongo ni rahisi kupewa nafasi
 
Eti amekata Punzi, una haraka ya nini mwamba? au wewe ni Chamaki nchanga
Jikite kwenye hoja sio kutetea kama tetele. Maofisa usalama ndiyo wenye taaluma ya kulinda Dola, mkuu wa Dola na raia. Wanajua mengi kwa ukubwa wetu. Tumewasomesha sana ndani na nje ya nchi, tuwaache wafanye kazi zao walizosomea. Ukiwazingua watakuzingua pia.
 
Pole sana,nakuskitikia
Gwajima akate pumzi😂😂
Ametoa ushauri wa bure, mkishupaza shingo he will be back after 10 days

Hapo ndo tutajua km amekatwa pumzi , tuweke akiba ya maneno
Wacha uchaguzi upite kwanza
 
Back
Top Bottom