Shida inaanzia pale ambapo hakuna anaetaka kudadavua kuwajua Hawa wanaotekwa wamefanya nini hadi watekwe na nani hasa amewateka, Hakuna dola inayoua raia wake walipakodi wake innocent kiholela tuMleta mada hoja zako zimesambaa kama tapishi ila sishangai sana kauli hizi kutolewa na shabiki andazi wa Yanga.
Ninapoweza kukubaliana na wewe ni kuwa Gwajima siyo mtu wa kumsikiliza bila kujalisha anachotetea au kupinga.
Gwajima, Polepole wote wapo kwenye kazi maalumu.
Mods, kwa nini hii mada mmeiacha kwenye jukwaa la michezo au ndiyo harakati za kuendelea kulazimisha siasa katika michezo baada ya kuona mmepuuzwa?
Kwa kusoma comments zako hapo juu, wala sina muda kuendelea kujadiliana na wewe jambo lolote. Wewe na watu wa aina yako ni watu wa hovyo.Shida inaanzia pale ambapo hakuna anaetaka kudadavua kuwajua Hawa wanaotekwa wamefanya nini hadi watekwe na nani hasa amewateka, Hakuna dola inayoua raia wake walipakodi wake innocent kiholela tu
Kama huna hoja kaa kimya Sasa na hata milele uangalie namna nchi inavyopiga hatua chini ya mwanamama shupavu aliedhaniwa legelege kwa sauti yake. Walioko tangu awamu ya kwanza hadi Sasa wanajua hali ya amani na usalama, huduma za umeme, maji, shule, afya, usafiri, ukusanyaji Kodi, utekaji, mauaji, kubambikiwa kesi, hali ya kisiasa na uhuru wa habari vilikuwaje kwenye Kila awamu.Kwa kusoma comments zako hapo juu, wala sina muda kuendelea kujadiliana na wewe jambo lolote. Wewe na watu wa aina yako ni watu wa hovyo.
Dola hailindwi kwa njia moja. Maadui wanatofautiana pia kwa ubaya na mbinu. Tuwaachie wenye ujuzi wa kulinda Dola wafanye kazi zao tunazowalipa kwa Kodi zetu wazifanyie, Tusiwaamulie kipi na nini cha kufanya kwenye kutunza amani yetu. Tisidhani sisi ni tofauti sana DRC, Sudan, Somali, Burundi Rwanda huko walikopogana na kuuana.Hakuna mtu mwenye mamlaka ya kuteka/ kuua wenzake uo ni Uharifu wa binadamu .
Kinachotakiwa kumkamata na kumpeleka Mahakamani ili jamii ijue uovu wake na ikithibitika aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria zetu.
Kuuwa/ kuteka watu ni laana.
Polepole ni msukuma? Toa mkundu wako hapa
Kutekwa sio kwa Kila mtu kazi ya Gwajima kwa waumini baada ya kukusanya fedha (sadaka) zao ingekuwa kuwaorodheshea mambo yote ambayo yanaweza kusababishwa mtu atekwe sio tu na watu wa usalama bali hata na raia wenzake mtaani ili wayaache. Akemee kwa nguvu habari za kutembea na wake na waume za watu, kudhulumiana, kumtukana Rais, kula njama za kuiangusha Dola, kuchochea uasi na mapinduzi, nk. Maana mtu hawezi kutekwa hivihivi tyuuu kama nyiwa wasiokuwa na mwenyewe. Hata Mimi hapa nilitaka kutekwa baada ya kumtia mimba mke wa askofu wangu kanisani, nikahama mji kabisaa na kanisa watu wa Lugoba wanajua hili.Kufunga Kanisa la Gwajima hakuondoi watu kutekana.
Gwajima ni Sauti ya umma msiendelee kukaza shingo fanyieni kazi mapungufu aliyo sema.
Ata kama mtafanikiwa ku mnyamazisha Gwajima haita wasaidia, Kitendo cha kuteka/kuua watu na kubambikia watu kesi vitaendelea kukemewa na makundi mbali ya watu.
Hawa hapa. Eti nchi haitatawalika kwa watu kuzuiwa kushiriki uchaguzi Sasa lakini wakati ule wagombea wote walipoenguliwa na CCM haikuwa tatizo. Mnahanyahanya kwakweliMaponjoro hivi ni wengi kumbe
Umeamua ufunguke. Nyie ndio mlijiunga JF kwa mikakati maalumu.Kama huna hoja kaa kimya Sasa na hata milele uangalie namna nchi inavyopiga hatua chini ya mwanamama shupavu aliedhaniwa legelege kwa sauti yake. Walioko tangu awamu ya kwanza hadi Sasa wanajua hali ya amani na usalama, huduma za umeme, maji, shule, afya, usafiri, ukusanyaji Kodi, utekaji, mauaji, kubambikiwa kesi, hali ya kisiasa na uhuru wa habari vilikuwaje kwenye Kila awamu.
Vumbi linatimka Kila Kona ya nchi kwa miradi mbalimbali inayotekelezwa na mama mwenye hofu ya kweli ya Mungu. Udini unawasumbua, wekeni mbali shingo zenu kwa ustawi wa taifa letu hadi awamu iishe.
Huyu mama anahangaishwa na shida za wananchi badala ya kuhangaishwa na dini, kabila na Kanda za watu. Anahangaika na wapi Kuna shida zaidi sio wapi Kuna kabila Gani na dini ipi.
HujitambuiKwenye michezo Kuna siasa pia, GSM kachangia CCM 10b na Yanga 100m. Wewe jibu hoja tu kama umelewa mada.
Mm n mwananchi w kawaida tu sema tu nisiyeweza kudanganywa kwasababu yoyote ile. Kwakuwa nimetembea nchi nyingi za Africa najua Tanzania tuko wapi kiusalama na kimaendeleo kulinganisha na wengine. Pia naweza kugundua hotuba hii maana yake nini kwakuwa niliziona awamu zote na matukio yake. Samia is one of the best presidents not only Tanzania but also in Africa. She is a "thiefless", honest, and transparent ever. Waliomzunguuka na kujifanya wanamsaidia ndio wanaoweza kumsukuma kwenye tope kwa kujua au kutokujua, lakini hata hao nafahamu kuwa walifanya hivyo kutokana na ugeni wa Samia kwenye kiti kile, lakini hawatafanya hivyo miaka 5 ijayo kama atapita, maana uzoefu anao Sasa mtaona kivumbi cha mama ambacho Afrika nzima itakuna kichwa.Umeamua ufunguke. Nyie ndio mlijiunga JF kwa mikakati maalumu.
hukumsikia JPM akitoa amri majambazi na wauaji wa tembo wauawe hapohapo? Shida yenu iko hapo, mko selective, wewe huwezi kumtabiria kifo mkuu wa nchi na amirijeshi mkuu halafu kila mtu aamini kuwa ni utabiri tu. Wewe kumwambia kitu Mungu ni afya ya akili, lakini Mungu kukuambia kitu wewe ni ugonjwa wa akili.Hakuna mtu mwenye mamlaka ya kuteka/ kuua wenzake uo ni Uharifu wa binadamu .
Kinachotakiwa kumkamata na kumpeleka Mahakamani ili jamii ijue uovu wake na ikithibitika aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria zetu.
Kuuwa/ kuteka watu ni laana.
Watanzania wa leo siyo wa miaka 47 ingawa wapo ambao bado mmeshikilia bongo zao. Mlijipenyeza JF kwa muda ili mtengeneze profile ili mtakapokuja kuleta maoni yenu na mitazamo ya hovyo ionekane ni 'organic'. Wenye macho tunawaona na kuwajua vizuri tu washenzi nyie.Mm n mwananchi w kawaida tu sema tu nisiyeweza kudanganywa kwasababu yoyote ile. Kwakuwa nimetembea nchi nyingi za Africa najua Tanzania tuko wapi kiusalama na kimaendeleo kulinganisha na wengine. Pia naweza kugundua hotuba hii maana yake nini kwakuwa niliziona awamu zote na matukio yake. Samia is one of the best presidents not only Tanzania but also in Africa. She is a "thiefless", honest, and transparent ever. Waliomzunguuka na kujifanya wanamsaidia ndio wanaoweza kumsukuma kwenye tope kwa kujua au kutokujua, lakini hata hao nafahamu kuwa walifanya hivyo kutokana na ugeni wa Samia kwenye kiti kile, lakini hawatafanya hivyo miaka 5 ijayo kama atapita, maana uzoefu anao Sasa mtaona kivumbi cha mama ambacho Afrika nzima itakuna kichwa.