GE2025 Gwajima amekata pumzi, anatafuta pa kushika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Watanzania wa leo siyo wa miaka 47 ingawa wapo ambao bado mmeshikilia bongo zao. Mlijipenyeza JF kwa muda ili mtengeneze profile ili mtakapokuja kuleta maoni yenu na mitazamo ya hovyo ionekane ni 'organic'. Wenye macho tunawaona na kuwajua vizuri tu washenzi nyie.

Kwa kauli ulizotoa katika uzi huu hauna hadhi ya kujadiliana na mtu yoyote mwenye akili timamu kuhusu jambo lolote la kisiasa, kiuchumi, kimichezo, nk.
Mzee Warioba anafahamu kuwa ni samia aliyeviruhusu vyama vya siasa kurudi kazini kwa mujibu wa katiba baada ya kuzuiwa kufanya hivyo na akina Polepole na Mzee Warioba akiwa kimya kabisa kwa woga wa kusema neno na kuambiwa anawashwawashwa. Eti sasa hivi anaona uchungu kuona chadema haishiriki uchaguzi. Kama mkongwe aliyeshiriki kutuletea Katiba mbaya kiasi hiki alipaswa kuwaonya vijana juu ya matumizi ya lugha na juu ya ukuu wa Rais kwa mujibu wa Katiba yao hii badala ya kusubiri wameshitakiwa. Mzee Warioba alipaswa kuwaonya chadema kuhusu kugomea kwenda kutia sahihi maadili ya uchaguzi badala kuanza kuisumbua tume ya uchaguzi iwape chadema muda mwingine wa peke yao kwenda kusaini. Mzee wetu nae anajichosha sana bila sababu.
 
Gwajima, Mpina na Polepole wote wanazo sifa zinazorandana. Wote ni wasukuma/wanyamwezi, ni waskristo na walipewa vyeo vikubwa na JPM (msukuma).

Wanachosahau ni kitu kimoja kuwa ndani ya CCM na serikali wapo wasukuma na waskristo wengine wengi sana bado. Hivyo, kama ukimkata Mpina kugombea kisesa yuko msukuma mwingine atagombea kisesa. Kama kanisa la Gwajima limefungiwa Yako makanisa mengine Yako wazi hayajafungiwa.

Akili za Gwajima ni kwamba kinachompata yeye kinawahusu wasukuma wote, waskristo wote na wanaCCM wote. Hivyo woote hawa watamuunga mkono yeye kwenye ugomvi wake na Samia.

Akili za kipuuzi kama hizí alikuwa nazo Gashagwa (mkikiyu) aliyekuwa naibu Rais wa Kenya aliyeondolewa kwa upuuzi wake wa kikabila. Rais Ruto alimteua mkikiyu mwingine kuchukua nafasi ya Gashagwa. Hivyo wakikuyu wachache tu wakamuunga mkono Gashagwa na wengi wakamuunga mkono naibu Rais mpya ambae ni mtoto wao pia.

Gwajima anahesabu idadi ya wasukama na idadi ya waskristo nchini na kudhani kuwa wooote wataungana nae kwenye ujinga wake na kusahau kuwa wapo wasukuma na waskristo wengine kama Biteko, Kasheku Msukuma na wengine wengi bado wanagombea na wako serikalini na ndani ya CCM. Eti Leo hii kanisa la katoliki na kanisa lake la uzima na ufufuo ni kitu kilekile tu. Anasahau kuwa watu wanakumbuka namna alivyomshambulia Kadinali Pengo.

Wanatapatapa, amekata punzi.
Sasa Gwajima anakemea utekaji,vipi wewe unauunga mkono?Tuanzie hapo
 
Bado unadhani nina muda wa kukupa kujadiliana na wewe? Nilitaka tu kukuexpose wewe na wenzako mlio humu mkishirikiana na moderators wa JF.

Mfahamu tunawaona na kuwajua vizuri tu, kaeni mkijua mfumo mnaoulinda siyo sustainable, utakuja tu kuanguka hata kama ni miaka 20 au 50 ijayo. Mnatwanga maji kwenye kinu ila mnachokilinda hakijawahi kudumu. Sanasana mnachelewesha tu kile ambacho lazima kije kutokea.
 
Sasa Gwajima anakemea utekaji,vipi wewe unauunga mkono?Tuanzie hapo
Ni mnafiki kwakuwa utekaji haukuanza awamu hii tu. utekaji ni mbaya sana kwa vyovyote vile lakini lazima ukemewe kila siku 24/7 kwa siku 365. Gwajima hakufanya hivyo kwenye awamu zilizopita ambazo zilikuwa na matukio mengi sana ya kupoteza wanasiasa, majambazi na majangili wa mano ya tembo.

Hawa wahuni wana hofu kuwa safari hii huenda watatekwa kutokana na sababu wanazozifahamu walizofanya. Huenda afande CDF aliwataja wahuni wote waliokuwa wanapanga njama ya kuchakachua katiba,
 
Sasa Gwajima anakemea utekaji,vipi wewe unauunga mkono?Tuanzie hapo
Hakemei utekaji bali anaogopa kutekwa. Utekaji ulikuwepo na upo dunia nzima bali mara hii anajiona kama mtu anaestahili kutekwa, ndiyo sababu ya kelele zote hizi.
 
Akitekwa utafaidikaje? nimekuuliza wewe binafsi unaunga mkono utekaji?
 
Uko nyuma sana kwenye politics. Watu wenye sifa za kutekwa ni watu wenye uwezo pia wa kusababisha hata vita ya wenyewe kwa wenyewe, watu kuchukiana na pengine hata kufanya mapinduzi ya serikali/dola. Kule Rwanda unaweza kutekwa hata ukiwa nje ya Rwanda.
 
Watanzania wa leo siyo wa miaka 47 ingawa wapo ambao bado mmeshikilia bongo zao. Mlijipenyeza JF kwa muda ili mtengeneze profile ili mtakapokuja kuleta maoni yenu na mitazamo ya hovyo ionekane ni 'organic'. Wenye macho tunawaona na kuwajua vizuri tu washenzi nyie.

Tunaojua mifumo ya kijamaa inavyofanya kazi, tunajua jinsi mnavyofanya kazi. Nawafahamu kwa tabia, vitendo, sura na hadi majina.

Kwa kauli ulizotoa katika uzi huu hauna hadhi ya kujadiliana na mtu yoyote mwenye akili timamu kuhusu jambo lolote la kisiasa, kiuchumi, kimichezo, nk.
Mimi simpendi mtu anaewadanganya vijana kwa faida yake. Gwajima anasema ilikuwa vibaya sana kuwakata watia nia kwasababu CCM itakosa kura kutoka wafuasi wa wagombea waliokosa uteuzi, na anashauri haya yatokee kama CCM haitatimiza matakwa yake. Gwajima anajuwa kuwa uchaguzi wa 2015 walijitokeza wagombea 42 kutaka kuteuliwa na CCM kugombea nafasi ya urais kupitia tiketi ya CCM. Lakini pamoja na kulipia sh 1,000,000 ya fomu lakini wote walikatwa akabakia Magufuli tu, na watu waliipa kura CCM. Mimi siwezi kuvumilia upotoshaji wa vijana kwa faida ya kijinga ya mtu.
 
Nyansembe, unalazimisha mazungumzo na mimi wakati nimeshakwambia siko interested.
 
Uzi nimeanzisha mm wewe ndo umeshobokea, nani anakulazimisha wakati wewe n pointless
 
Gwajima, Mpina na Polepole wote wanazo sifa zinazorandana. Wote ni wasukuma/wanyamwezi, ni waskristo na walipewa vyeo vikubwa na JPM (msukuma).

Wanachosahau ni kitu kimoja kuwa ndani ya CCM na serikali wapo wasukuma na waskristo wengine wengi sana bado. Hivyo, kama ukimkata Mpina kugombea kisesa yuko msukuma mwingine atagombea kisesa. Kama kanisa la Gwajima limefungiwa Yako makanisa mengine Yako wazi hayajafungiwa.

Akili za Gwajima ni kwamba kinachompata yeye kinawahusu wasukuma wote, waskristo wote na wanaCCM wote. Hivyo woote hawa watamuunga mkono yeye kwenye ugomvi wake na Samia.

Akili za kipuuzi kama hizí alikuwa nazo Gashagwa (mkikiyu) aliyekuwa naibu Rais wa Kenya aliyeondolewa kwa upuuzi wake wa kikabila. Rais Ruto alimteua mkikiyu mwingine kuchukua nafasi ya Gashagwa. Hivyo wakikuyu wachache tu wakamuunga mkono Gashagwa na wengi wakamuunga mkono naibu Rais mpya ambae ni mtoto wao pia.

Gwajima anahesabu idadi ya wasukama na idadi ya waskristo nchini na kudhani kuwa wooote wataungana nae kwenye ujinga wake na kusahau kuwa wapo wasukuma na waskristo wengine kama Biteko, Kasheku Msukuma na wengine wengi bado wanagombea na wako serikalini na ndani ya CCM. Eti Leo hii kanisa la katoliki na kanisa lake la uzima na ufufuo ni kitu kilekile tu. Anasahau kuwa watu wanakumbuka namna alivyomshambulia Kadinali Pengo.

Wanatapatapa, amekata punzi.
Somehow you are right if Gachagwa comes as a reference
 
Akili ya Mpina anadhani watu wa Kisesa hawapendi mtoto wao mwingine wa kisukuma zaidi ya Mpina tu. Kufikiria kama hivi ni dalili ya ugonjwa wa akili. Gashagwa anadhani watu wa mlima wooote wanamtaka gashagwa tu.
 
Sawa Michael, endelea na kibaru

Kama unasapoti kufungiwa Kanisa Kwa sababu kuna makanisa mengine ya kikristo basi wewe ni bonge la Fala.
Lile sio kanisa bali ni saccos. Waumini wameshikiliwa mateka mule, wanasema na kufanya kile watakachoamuriwa na Gwajima kusema na kutenda hata kama wanafunja sheria za nchi.

Gwajima ana hofu na wanaoichangia CCM lakini hana hofu na tone tone la chadema.
 
Watanzania wa leo siyo wa miaka 47 ingawa wapo ambao bado mmeshikilia bongo zao. Mlijipenyeza JF kwa muda ili mtengeneze profile ili mtakapokuja kuleta maoni yenu na mitazamo ya hovyo ionekane ni 'organic'. Wenye macho tunawaona na kuwajua vizuri tu washenzi nyie.

Tunaojua mifumo ya kijamaa inavyofanya kazi, tunajua jinsi mnavyofanya kazi. Nawafahamu kwa tabia, vitendo, sura na hadi majina.

Kwa kauli ulizotoa katika uzi huu hauna hadhi ya kujadiliana na mtu yoyote mwenye akili timamu kuhusu jambo lolote la kisiasa, kiuchumi, kimichezo, nk.
Mimi nimejitolea kuongea na vijana ambao hawajui mambo mengi kuhusu vita ya ubongo inayotokana na exposures zao kuwa ndogo dhidi ya propaganda za wahuni wanaotafuta ulaji kwakutumia ujinga wa vijana ambao wana kesho nyingi sana. Afrika yote iko hoi kwa kunyonywa lakini mhuni anamdanganya kijana kuwa Tanzania ndiyo iko hoi kupitiliza. Mjinga anamdanganya kijana kuwa Tanzania ina kila kitu na kuanza kuorodhesha vitu lakini tuko masikini sana kwasababu ya Samia, nonsense!!! Wahuni hawa hawataki kuwapa code vijana hawa ni kwanini tuko maskini karibu bara lote la Afrika, na wala hawasemi ni vipi wao wakiingia ikulu mishahara itakuwa mikubwa, majeshi yatapata mishahara na silaha za kisasa,
walimu wataboreka na rasilimali zetu tutazivuna na kuziuza kwa bei ya soko. Wanawadanganya vijana kwa kuwapa false hopes badala ya kuwaambia adui yao mkuu ni ukosefu wa mitaji, teknolojia, na masoko ya uhakika kwa rasilimali zetu.

Mwehu anakwambia anaomba Mungu timu za Simba na yanga zife ili vijana wote waende kwenye maandamano yake kuunga mkono ujinga wake huku watoto wake yeye wakiwa nje ya nchi.
 
Wala haitaji akili kufahamu kuwa alikuwa na agenda
 
Kama ukiniuliza mm nitakwambia Gwajima ni mtu hatari kwa Taifa kuliko Lissu. Ningeshauri Lissu aachiwe akamatwe Gwajima.

Gwajima anapanda aina mbili za miche ya mimea hatari sana. Kwanza anapanda mche wa jeshi wajihishi kuwa wanaonewa ili ikiwezekana wagawanyike, na pili anapanda mmea wa waskristo wajihisi kuwa wanaonewa, hivyo waungane dhidi ya waislam, Hii ni miche mibaya sana kwa amani na umoja.
 
Huu uzi unachafua hali ya hewa ktk jukwaa letu pendwa la michezo. Napendekeza upelekwe jukwaa husika la siasa. Cc. Active
 
Gwajima, Mpina na Polepole wote wanazo sifa zinazorandana. Wote ni wasukuma/wanyamwezi, ni waskristo na walipewa vyeo vikubwa na JPM (msukuma).

Wanachosahau ni kitu kimoja kuwa ndani ya CCM na serikali wapo wasukuma na waskristo wengine wengi sana bado. Hivyo, kama ukimkata Mpina kugombea kisesa yuko msukuma mwingine atagombea kisesa. Kama kanisa la Gwajima limefungiwa Yako makanisa mengine Yako wazi hayajafungiwa.

Akili za Gwajima ni kwamba kinachompata yeye kinawahusu wasukuma wote, waskristo wote na wanaCCM wote. Hivyo woote hawa watamuunga mkono yeye kwenye ugomvi wake na Samia.

Akili za kipuuzi kama hizí alikuwa nazo Gashagwa (mkikiyu) aliyekuwa naibu Rais wa Kenya aliyeondolewa kwa upuuzi wake wa kikabila. Rais Ruto alimteua mkikiyu mwingine kuchukua nafasi ya Gashagwa. Hivyo wakikuyu wachache tu wakamuunga mkono Gashagwa na wengi wakamuunga mkono naibu Rais mpya ambae ni mtoto wao pia.

Gwajima anahesabu idadi ya wasukama na idadi ya waskristo nchini na kudhani kuwa wooote wataungana nae kwenye ujinga wake na kusahau kuwa wapo wasukuma na waskristo wengine kama Biteko, Kasheku Msukuma na wengine wengi bado wanagombea na wako serikalini na ndani ya CCM. Eti Leo hii kanisa la katoliki na kanisa lake la uzima na ufufuo ni kitu kilekile tu. Anasahau kuwa watu wanakumbuka namna alivyomshambulia Kadinali Pengo.

Wanatapatapa, amekata punzi.
Kavulata isije kuwa wewe na genge lenu la akina Chiembe,Tlaltaaah na washirika wenu ndio mliokata pumzi tu?
 
Back
Top Bottom