GE2025 Gwajima amekata pumzi, anatafuta pa kushika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,255
Reaction score
16,185
Gwajima, Mpina na Polepole wote wanazo sifa zinazorandana. Wote ni wasukuma/wanyamwezi, ni waskristo na walipewa vyeo vikubwa na JPM (msukuma).

Wanachosahau ni kitu kimoja kuwa ndani ya CCM na serikali wapo wasukuma na waskristo wengine wengi sana bado. Hivyo, kama ukimkata Mpina kugombea kisesa yuko msukuma mwingine atagombea kisesa. Kama kanisa la Gwajima limefungiwa Yako makanisa mengine Yako wazi hayajafungiwa.

Akili za Gwajima ni kwamba kinachompata yeye kinawahusu wasukuma wote, waskristo wote na wanaCCM wote. Hivyo woote hawa watamuunga mkono yeye kwenye ugomvi wake na Samia.

Akili za kipuuzi kama hizí alikuwa nazo Gashagwa (mkikiyu) aliyekuwa naibu Rais wa Kenya aliyeondolewa kwa upuuzi wake wa kikabila. Rais Ruto alimteua mkikiyu mwingine kuchukua nafasi ya Gashagwa. Hivyo wakikuyu wachache tu wakamuunga mkono Gashagwa na wengi wakamuunga mkono naibu Rais mpya ambae ni mtoto wao pia.

Gwajima anahesabu idadi ya wasukama na idadi ya waskristo nchini na kudhani kuwa wooote wataungana nae kwenye ujinga wake na kusahau kuwa wapo wasukuma na waskristo wengine kama Biteko, Kasheku Msukuma na wengine wengi bado wanagombea na wako serikalini na ndani ya CCM. Eti Leo hii kanisa la katoliki na kanisa lake la uzima na ufufuo ni kitu kilekile tu. Anasahau kuwa watu wanakumbuka namna alivyomshambulia Kadinali Pengo.

Wanatapatapa, amekata punzi.
 
Wenzenu wanakula minofu halafu nyie mnatupiwa mifupa na makombo halafu mnambweka kwa furaha😂
 
Pole sana,nakuskitikia
Gwajima akate pumzi😂😂
Ametoa ushauri wa bure, mkishupaza shingo he will be back after 10 days

Hapo ndo tutajua km amekatwa pumzi , tuweke akiba ya maneno
 
Gwajima, Mpina na Polepole wote wanazo sifa zinazorandana. Wote ni wasukuma/wanyamwezi, ni waskristo na walipewa vyeo vikubwa na JPM (msukuma).

Wanachosahau ni kitu kimoja kuwa ndani ya CCM na serikali wapo wasukuma na waskristo wengine wengi sana bado. Hivyo, kama ukimkata Mpina kugombea kisesa yuko msukuma mwingine atagombea kisesa. Kama kanisa la Gwajima limefungiwa Yako makanisa mengine Yako wazi hayajafungiwa.

Akili za Gwajima ni kwamba kinachompata yeye kinawahusu wasukuma wote, waskristo wote na wanaCCM wote. Hivyo woote hawa watamuunga mkono yeye kwenye ugomvi wake na Samia.

Akili za kipuuzi kama hizí alikuwa nazo Gashagwa (mkikiyu) aliyekuwa naibu Rais wa Kenya aliyeondolewa kwa upuuzi wake wa kikabila. Rais Ruto alimteua mkikiyu mwingine kuchukua nafasi ya Gashagwa. Hivyo wakikuyu wachache tu wakamuunga mkono Gashagwa na wengi wakamuunga mkono naibu Rais mpya ambae ni mtoto wao pia.

Gwajima anahesabu idadi ya wasukama na idadi ya waskristo nchini na kudhani kuwa wooote wataungana nae kwenye ujinga wake na kusahau kuwa wapo wasukuma na waskristo wengine kama Biteko, Kasheku Msukuma na wengine wengi bado wanagombea na wako serikalini na ndani ya CCM. Eti Leo hii kanisa la katoliki na kanisa lake la uzima na ufufuo ni kitu kilekile tu. Anasahau kuwa watu wanakumbuka namna alivyomshambulia Kadinali Pengo.

Wanatapatapa, amekata punzi.
Kama unasapoti kufungiwa Kanisa Kwa sababu kuna makanisa mengine ya kikristo basi wewe ni bonge la Fala.
 
View: https://youtu.be/2rtN7sXKDPA?si=-DUNiUOkklGNvQ-o
 
Rais Ruto alimteua mkikiyu mwingine kuchukua nafasi ya Gashagwa
Mkikuyu gani? Kithure kindiki ni mmeru sio mkikuyu.
Wakikuyu wameshamkataa Ruto, serikali inashikiliwa na mjaluo Odinga ambaye ndio defacto makamu wa Rais.
 
Gwajima na ukabila wapi na wapi?
Tatizo lilianzia pale Gwajima alipohoji utekaji na upoteaji wa raia
Kumbuka wanaotekwa na kupotea si wasukuma na wakristo pekee bali makabila na imani zote.
Gwajima alikuwepo pia kwenye awamu zilizopita ambazo watu walikuwa wanamiminiwa risasi 16 lakini hakuhoji kama hivi anavyohoji Sasa. Huko nyuma maiti zilikuwa zinaokotwa kama njugu kwenye fukwe lakini hakuhoji, Azori na wengine wengi walipotea wakati wa Magufuli hakuhoji. Akina ulimboka walitekwa huko magwepande alikaa kimya. Ndio maana watu wanampuuza Gwajima.

Anadhani wasukuma wooooote ni wajinga kama yeye, na anadhani waskristo woooooote hawajui kwanini kanisa lake limefungwa. Ndiyo maana nasema wanaosali kwa gwajima lazima wajihoji na kujitathimini wenyewe kama askofu wao anazo akili au la

Gwajima anajua wote wanaotekwa wanatekwa kwasababu gani na anajua pengine nani atafuata. Tumefundishwa kuwa kama unajua kuwa una makosa mbinu kubwa ya kujikinga dhidi ya kuumizwa kwa siri ni kujitokeza mwenyewe kupiga kelele hadharani kuwa wanataka kuniua. Hicho ndicho wanachofanya akina Gwajima baada ya njama zao na idadi yao kamili kugundulika. Hawana namna nyingine zaidi ya kupiga kelele hizi, wamegundulika nini walikuwa wanapanga hasa baada ya kifo cha JPM.
 
Ivi wewe Kavulata unapata wapi nguvu ya kumlalamikia Gwajima wakati alicho kieleza Gwajima ni kwaajili maslahi ya Watanzania wote!!

Watu si tuna shuhudia waki tekwa na ku uwawa au wewe haouni, Watu wanao hoji jukumu la Serikali kulinda watu wake na mali zao wengi si wana tekwa na ku uwawa!!

Kama Dola inashindwa kulinda watu wake, wengine wanafikia kushushwa kwenye mabasi na kwenda ku uwawa U nunio wewe unaona ni jambo la kawaida!!!

Watu wanapo ishauri serikali isikope hovyo kwakua inashindwa kusimamia utekelezaji wa iyo mikopo na fedha za umma kupotea bila matokeo yaliyo kusudiwa wanaonekana maadui na ku uwawa wewe Kavulata una ona sawa!!

Hata kama Gwajima haku Pinga kipindi kilicho pita juu ya matukio ya hovyo Ina maanisha kwa kupinga kwake uovu kwasasa anakosea!!

Mitume Paul kabla ya kukutana na Yesu na ku badilishwa alikua aki ua wakristo tena muuaji kwelikweli.

Ali ua Wayahudi wengi ila baada ya kubadishwa na Yesu mwenyewe, Ndie alikua Moja ya watu hodari wa Kanisa la kwanza katika ku ueneza ukristo.

Paulo zamani Sauli ameandika Nyaraka nyingi zilizo Fanya Ukristo kukua Duniani mpaka Leo.

Gwajima yupo sahihi kukemea uovu ata kama katika serikali iliyopita alikaa kimya, Kwasasa Mungu ameamua kumtumia kama Muongeaji/Mkemeaji ili ujumbe uwafikie watawala wabadilike.

Kwa namna hali ilivyo ya kutekana na ku uana bila kufikia ukomo ina maana Dola inakosa majibu kwa Wananchi na Uhalali wa kuongoza watu wake.

Sisi Wananchi tutakua pamoja na yoyote anaye sema na kupinga ukatili unao endelea haijalishi uyo mtu uko nyuma alikua na rekodi Mbaya kiasi Gani.
Aijalishi kabila lake Dini yake au Rangi yake kikubwa ni ku kuupinga na ku uondoa uovu ulio tamalaki Nchini.

Nyie mnao ona mambo Yako kawaida endeleeni kukaa kimya ila msikatishe tamaa wanao Kemea uovu.
 
Ukiangalia kwa jicho lingine kwanini asingeongelea Bungeni kwa dhamana ya wananchi.
 
Anaweza kuongelea Bungeni au Nje ya Bunge maana ukiondoa ubunge wake katiba Ina mruhusu kutoa mawazo yake kama Mwananchi.

Tuki ondoa uchawa na kujipendekeza anacho ongea Gwajima Yuko sahihi.
 
Sasa nani atakaye chukuwa hatua kama yeye analijua alafu halipeleki mahamani
 
Gwajima, Mpina na Polepole wote wanazo sifa zinazorandana. Wote ni wasukuma/wanyamwezi, ni waskristo na walipewa vyeo vikubwa na JPM (msukuma).

Wanachosahau ni kitu kimoja kuwa ndani ya CCM na serikali wapo wasukuma na waskristo wengine wengi sana bado. Hivyo, kama ukimkata Mpina kugombea kisesa yuko msukuma mwingine atagombea kisesa. Kama kanisa la Gwajima limefungiwa Yako makanisa mengine Yako wazi hayajafungiwa.

Akili za Gwajima ni kwamba kinachompata yeye kinawahusu wasukuma wote, waskristo wote na wanaCCM wote. Hivyo woote hawa watamuunga mkono yeye kwenye ugomvi wake na Samia.

Akili za kipuuzi kama hizí alikuwa nazo Gashagwa (mkikiyu) aliyekuwa naibu Rais wa Kenya aliyeondolewa kwa upuuzi wake wa kikabila. Rais Ruto alimteua mkikiyu mwingine kuchukua nafasi ya Gashagwa. Hivyo wakikuyu wachache tu wakamuunga mkono Gashagwa na wengi wakamuunga mkono naibu Rais mpya ambae ni mtoto wao pia.

Gwajima anahesabu idadi ya wasukama na idadi ya waskristo nchini na kudhani kuwa wooote wataungana nae kwenye ujinga wake na kusahau kuwa wapo wasukuma na waskristo wengine kama Biteko, Kasheku Msukuma na wengine wengi bado wanagombea na wako serikalini na ndani ya CCM. Eti Leo hii kanisa la katoliki na kanisa lake la uzima na ufufuo ni kitu kilekile tu. Anasahau kuwa watu wanakumbuka namna alivyomshambulia Kadinali Pengo.

Wanatapatapa, amekata punzi.
wewe ni miongoni mwa watanzania wajinga kabisa kuwahi kutokea . ulaaniwe kwa hiki unachokifanya.
kama hata gwajima hujamuelewa basi una shida mahali tena kubwa sana?
amekuambia maraisi wa tanzania kila anayechaguliwa ana muelekeo tofauti hapo pumzi imekata vipi?
ametaja makundi ambayo hayatawapigia kura kwa ujinga wenu hapo pumzi imekata vipi
ujinga wako ni kujificha kwenye kivuli cha dini ili uwe CHAWA MNENE
 
Wenzenu wanakula minofu halafu nyie mnatupiwa mifupa na makombo halafu mnambweka kwa furaha😂
Minofu ikaka zaidi ya amani uliyokuwa nayo? Tumia amani hii, ardhi, barabara,
Ivi wewe Kavulata unapata wapi nguvu ya kumlalamikia Gwajima wakati alicho kieleza Gwajima ni kwaajili maslahi ya Watanzania wote!!

Watu si tuna shuhudia waki tekwa na ku uwawa au wewe haouni, Watu wanao hoji jukumu la Serikali kulinda watu wake na mali zao wengi si wana tekwa na ku uwawa!!

Kama Dola inashindwa kulinda watu wake, wengine wanafikia kushushwa kwenye mabasi na kwenda ku uwawa U nunio wewe unaona ni jambo la kawaida!!!

Watu wanapo ishauri serikali isikope hovyo kwakua inashindwa kusimamia utekelezaji wa iyo mikopo na fedha za umma kupotea bila matokeo yaliyo kusudiwa wanaonekana maadui na ku uwawa wewe Kavulata una ona sawa!!

Hata kama Gwajima haku Pinga kipindi kilicho pita juu ya matukio ya hovyo Ina maanisha kwa kupinga kwake uovu kwasasa anakosea!!

Mitume Paul kabla ya kukutana na Yesu na ku badilishwa alikua aki ua wakristo tena muuaji kwelikweli.

Ali ua Wayahudi wengi ila baada ya kubadishwa na Yesu mwenyewe, Ndie alikua Moja ya watu hodari wa Kanisa la kwanza katika ku ueneza ukristo.

Paulo zamani Sauli ameandika Nyaraka nyingi zilizo Fanya Ukristo kukua Duniani mpaka Leo.

Gwajima yupo sahihi kukemea uovu ata kama katika serikali iliyopita alikaa kimya, Kwasasa Mungu ameamua kumtumia kama Muongeaji/Mkemeaji ili ujumbe uwafikie watawala wabadilike.

Kwa namna hali ilivyo ya kutekana na ku uana bila kufikia ukomo ina maana Dola inakosa majibu kwa Wananchi na Uhalali wa kuongoza watu wake.

Sisi Wananchi tutakua pamoja na yoyote anaye sema na kupinga ukatili unao endelea haijalishi uyo mtu uko nyuma alikua na rekodi Mbaya kiasi Gani.
Aijalishi kabila lake Dini yake au Rangi yake kikubwa ni ku kuupinga na ku uondoa uovu ulio tamalaki Nchini.

Nyie mnao ona mambo Yako kawaida endeleeni kukaa kimya ila msikatishe tamaa wanao Kemea uovu.
Hakuna mtu anaetekwa bila kuwa na sifa ya kutekwa. Mbona Heche anaekosoa lakini hakutekwa? Mbona wewe hukutekwa? Mbona mm sijatekwa? Mbona mkeo hakutekwa? Yani ndani ya nchi wapo wanahitaji kuishi kwa uhuru wao, kuonywa, kushitakiwa na wapo wanaohitajika kufa kwa manufaa ya wengi. Hayo ni mawazo yangu mm kavulata.

Kwamfano, anaetafuta mercenaries kuja kuipindua nchi adhabu yake ni nini? Anaepanga njama ya kumuua Rais adhabu yake ni nini?
 
Ni kwanini

Nijuavyo Mimi Dola lazima lilindwe, mkuu wa Dola lazima alindwe na raia lazima walindwe dhidi ya wachache, wahuni, na wageni. Utawala unalindwa kwa nguvu zote. Walifanya hivyo warumi, wagiriki, waajemi na falme zote. Ndiyo maana hata Yesu aliuawa na wanasiasa pale msalabani. Ukicheza na dola utakufa tu kutegemeana unacheza mchezo gani

Hata Marekani inahangaishwa na deni la China ambalo ni kubwa sana kulipa, sembuse sisi. Tz tulikopa ili kupigana na Idd Amini lakini wahuni hawalisemi hilo, sembuse Hawa wanaokopa ili kujenga bwawa la umeme na reli?
 
Minofu ikaka zaidi ya amani uliyokuwa nayo? Tumia amani hii, ardhi, barabara,

Hakuna mtu anaetekwa bila kuwa na sifa ya kutekwa. Mbona Heche anaekosoa lakini hakutekwa? Mbona wewe hukutekwa? Mbona mm sijatekwa? Mbona mkeo hakutekwa? Yani ndani ya nchi wapo wanahitaji kuishi kwa uhuru wao, kuonywa, kushitakiwa na wapo wanaohitajika kufa kwa manufaa ya wengi. Hayo ni mawazo yangu mm kavulata.

Kwamfano, anaetafuta mercenaries kuja kuipindua nchi adhabu yake ni nini? Anaepanga njama ya kumuua Rais adhabu yake ni nini?
Duuh...
 
Back
Top Bottom