MUSSA ALLAN JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 18,925 Reaction score 13,279 Apr 8, 2017 #101 Daudi Mchambuzi said: Huenda hii ni fursa ya baba yake Diamond kupelekwa kwenye matibabu na Gwajima Click to expand... Mkuu umewaza mbali. Kesho baba yake Diamond anaweza kupandishwa madhabahuni.
Daudi Mchambuzi said: Huenda hii ni fursa ya baba yake Diamond kupelekwa kwenye matibabu na Gwajima Click to expand... Mkuu umewaza mbali. Kesho baba yake Diamond anaweza kupandishwa madhabahuni.
dlnobby JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 2,514 Reaction score 3,349 Apr 8, 2017 #102 team west said: Gwajima siyo mchungaji Ni tapeli Click to expand... Afu bashite tumuite IS au
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,243 Apr 8, 2017 #103 Askari Muoga said: wachungaji fake Click to expand... Yes hawa feki ndiyo wana uthubutu wa kusema ukweli
Askari Muoga said: wachungaji fake Click to expand... Yes hawa feki ndiyo wana uthubutu wa kusema ukweli
mikumiyetu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 1,312 Reaction score 947 Apr 8, 2017 #104 Tukutane maeneo ila msisahau kubeba sadaka
dlnobby JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 2,514 Reaction score 3,349 Apr 8, 2017 #105 Askari Muoga said: wachungaji fake Click to expand... Vs vyeti feki
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,272 Apr 8, 2017 #106 MKWEPA KODI said: Atasaidia bashite kuweka vyeti vyake hadharani Click to expand... Amepaza sauti zetu vyema...pale ambapo hatuwezi kusema yeye kasema
MKWEPA KODI said: Atasaidia bashite kuweka vyeti vyake hadharani Click to expand... Amepaza sauti zetu vyema...pale ambapo hatuwezi kusema yeye kasema
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,029 Reaction score 52,507 Apr 8, 2017 #107 Hance Mtanashati said: Msichafue hali ya hewa Hance Mtanashati anapita Click to expand... hance upo raisi wa wambea ? wapi warumi
Hance Mtanashati said: Msichafue hali ya hewa Hance Mtanashati anapita Click to expand... hance upo raisi wa wambea ? wapi warumi
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,880 Reaction score 129,907 Apr 8, 2017 #108 Rais2020 said: Kama huyaamini hayo subiri kesho akinena. Click to expand... Lets assume ni kweli kasema hivyo? Mlengwa ni nani na kamsema nini?
Rais2020 said: Kama huyaamini hayo subiri kesho akinena. Click to expand... Lets assume ni kweli kasema hivyo? Mlengwa ni nani na kamsema nini?
MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,693 Reaction score 21,767 Apr 8, 2017 #109 yello masai said: Hahhaaa kweli kila siku linakuja jipya. Siku nikipoteza smartphone sijui itakuaje. Maana naona wasiokuwa na smartphone hawaifaidi hii nchi Click to expand... Mimi ikipotea nauza figo nanunua nyingine
yello masai said: Hahhaaa kweli kila siku linakuja jipya. Siku nikipoteza smartphone sijui itakuaje. Maana naona wasiokuwa na smartphone hawaifaidi hii nchi Click to expand... Mimi ikipotea nauza figo nanunua nyingine
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 Apr 8, 2017 #110 Shunie said: hahahah mtto wa tandale kesho zamu yake kikaangoni Click to expand... Kachokoza moto acha umuwakie
Shunie said: hahahah mtto wa tandale kesho zamu yake kikaangoni Click to expand... Kachokoza moto acha umuwakie
dlnobby JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 2,514 Reaction score 3,349 Apr 8, 2017 #111 data said: Wanaosali hapo kanisani wapimwe akili.... Click to expand... Sio tuonyeshe vyeti
agata edward JF-Expert Member Joined Nov 25, 2014 Posts 6,641 Reaction score 9,412 Apr 8, 2017 #112 Rais2020 said: Hii ni Mara ya Pili na ya mwisho Kuku quote. Nahangaika na MTU ambaye kichwani ni Bashite. Click to expand... Hongera kwakujitambua wewe ni kilaza sasa itafute kweli ikuweke huru
Rais2020 said: Hii ni Mara ya Pili na ya mwisho Kuku quote. Nahangaika na MTU ambaye kichwani ni Bashite. Click to expand... Hongera kwakujitambua wewe ni kilaza sasa itafute kweli ikuweke huru
seph0408 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2011 Posts 1,180 Reaction score 703 Apr 8, 2017 #113 izzo said: Ni wakati wa Serikali kurudi kwenye masijara na kuangalia usajili wa kanisa la Ngwajima kama alisajili kama kanisa au tawi la kisiasa la ....... Click to expand... Au alisajili kama mtetea wanyonge....au alisajili kama helicopter...au alisajili kama bwawa wa samaki, au hakusajili ila alisajiliwa....nadhani ndio mawazo yako...nimekuongezea ufurahi
izzo said: Ni wakati wa Serikali kurudi kwenye masijara na kuangalia usajili wa kanisa la Ngwajima kama alisajili kama kanisa au tawi la kisiasa la ....... Click to expand... Au alisajili kama mtetea wanyonge....au alisajili kama helicopter...au alisajili kama bwawa wa samaki, au hakusajili ila alisajiliwa....nadhani ndio mawazo yako...nimekuongezea ufurahi
shushushu VIP JF-Expert Member Joined Jul 24, 2016 Posts 4,800 Reaction score 4,319 Apr 8, 2017 #114 Bashite mission zake nying zinaishia njian na ya roma imeishia njian
My hair my crown JF-Expert Member Joined Feb 5, 2016 Posts 929 Reaction score 2,599 Apr 8, 2017 #115 Gwajima bana.
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 23,905 Reaction score 31,686 Apr 8, 2017 #116 Miss Natafuta said: hance upo raisi wa wambea ? wapi warumi Click to expand... daaaah
Gullam JF-Expert Member Joined Dec 1, 2013 Posts 5,239 Reaction score 3,933 Apr 8, 2017 #117 idawa said: Mbona hajamtaja kwa baya, Gwajima anahangaika tu....Anataka apatie umaarufu kwa Diamond. Click to expand... Gwajima anataka umaaurufu upi tena? Zaidi ya alionao tena, unaompeleke mpaka kurithi ufalme wa mbinguni!!
idawa said: Mbona hajamtaja kwa baya, Gwajima anahangaika tu....Anataka apatie umaarufu kwa Diamond. Click to expand... Gwajima anataka umaaurufu upi tena? Zaidi ya alionao tena, unaompeleke mpaka kurithi ufalme wa mbinguni!!
sanchez255 Senior Member Joined Jun 9, 2015 Posts 171 Reaction score 312 Apr 8, 2017 #118 Huyo anajiitaga mashine ya kukoboa na kusaga
Mkushi Da Gama JF-Expert Member Joined Jun 23, 2015 Posts 3,692 Reaction score 4,995 Apr 8, 2017 #119 Gwajima noma sana
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,243 Apr 8, 2017 #120 msumeno said: kama ni ya Zari mbona tunaijua? au ya baba yake Dai yote hayo twayajua, au ya Freemasn....mbona hayo pia tetesi twazijua? anyways kesho sio mbali Click to expand... Ngoja tuharibu brand kesho ndiyo mtapata akili.
msumeno said: kama ni ya Zari mbona tunaijua? au ya baba yake Dai yote hayo twayajua, au ya Freemasn....mbona hayo pia tetesi twazijua? anyways kesho sio mbali Click to expand... Ngoja tuharibu brand kesho ndiyo mtapata akili.