Najua ni mandishi ya kupachika kwahiyo?
Tusubiri tuone kama Gwajima atarespond au laa. Mara ngapi hata kwenye page yake hupost hivyo na baadaye huviongelea?
duuh sikutegemea, yaani season 1 imeisha leo saa 8 baada ya roma kupatikana. alafu haijapita ata siku tayari season 2 inatoka. ni mwendo wa drama tu sasa, viwanda baadae.