bleedingsouls
Senior Member
- Jul 16, 2015
- 123
- 108
Gwajima tapeli
Niliyoisoma kwenye Holy Bible haina hao watuwe mbingu unaijua?
Hii lugha gani mkuu.?First of all to me he just some of those wealthiest Macho evangelistic pastas!whon he kinder a host of a certain chit chat standup comedies which always lack a sense of humour! Whose church mandate and constitutions suddenly to Chambua one person daily and daily! Sometimes I wonder when will i be able to own a CHURCH of my own? And deliver thy sermon inside one of Kekos discarded corrugated rusted godowns! While i drive the latest ***Hammer/Escalades/Chervoletes/Vogues/choppers/Trams/cable cars/Jeeps**** in town and owning a helipad of my own,and my flocks poor+poorest+poorest and very loyal despite them realities! How they worship my God to a point of telling them to eat grass and they will eat100%%%%! Eat sponge and u go to haven and they eat! (kibwetere)indeed a man of mirracles very working miracles!
My sermon so massive to them so humble to thosE disillusion flocks of the farsaken ones! Expecting much from reverandest! Pastoralness! Pastoralism! PROPHESIER! Pro-pathetic! Bealiving in magic! From the MAGICIANS themselves! Such of Loliondos holy water rather the miraculous cup of babu wa loliondo!
oops i better stop before i would beg to be turned into Tanzanite kuliko to be turned into a zombie!
(HOW I DREAD TO BE A PASTA)
Kwa hiyo picha yako jinsi tumbo lilivyokuvimba inadhihirisha wazi kuwa wewe wakati wenzio wanakunya mavi we unakunya akili so zinapungua kila siku, hebu kapunguze hicho choo kwanza akili zibaki, ovaaaa!!Lazima na wewe utakuwa mbwiga maana umekazana kumhukumu
kumbe bado una ushamba wa kuamini kuwa ukiandika kiingereza ndiyo utaoneka una akili nyingi? kwani ungeandika Biblia Takatifu usingeeleweka?? Tafakari, chukua hatua.Niliyoisoma kwenye Holy Bible haina hao watu
Pole sana, usirudie siku nyingine kuliamsha dude!Kwa hiyo picha yako jinsi tumbo lilivyokuvimba inadhihirisha wazi kuwa wewe wakati wenzio wanakunya mavi we unakunya akili so zinapungua kila siku, hebu kapunguze hicho choo kwanza akili zibaki, ovaaaa!!
Unadhihirisha ni kwa kiwango gani wewe ni limbukeni!kumbe bado una ushamba wa kuamini kuwa ukiandika kiingereza ndiyo utaoneka una akili nyingi? kwani ungeandika Biblia Takatifu usingeeleweka?? Tafakari, chukua hatua.
Hapo hatuna mchungajiKama Diamond kaomba msamaha, sjajua wale waliokuwa wanamtetea watafuta kauli zao au wataendeleza u zombie
Unaonaje ukiwa mchungaji wewe mkuu?Hapo hatuna mchungaji
Mkuu mm sitegemei kabisaUnaonaje ukiwa mchungaji wewe mkuu?
Gwajima is fakewachungaji fake
Ndo maana nikasema inabidi ww ujifue ili umtoe unayemuona ni fakeGwajima is fake
Limbukeni ni wewe unayechanganya lugha,ongea unayoijua hayo siyo makande mama.Unadhihirisha ni kwa kiwango gani wewe ni limbukeni!
Mbona maisha sio magumu kiasi hicho, wewe unaishi wapi?Limbukeni ni wewe unayechanganya lugha,ongea unayoijua hayo siyo makande mama.
Bora gwajima sio mnafiki kuliko makanisa ya kama roman yamekaa kimya yanaona uozo unaendelea nchi yanakaa kimyaNi bora yasiyoonekana na kutamkwa waz waz kulik yeye Gwajima [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji58]
baba mchungaji hajawahi kuniangusha.