Mbona hujasema who say this?Yala! Yala! Jamani Mwenzenu nimeyatimba..... lakini mi nafkiri watu wanatakiwa waiskilize hii nyimbo kwa umakini sana tena sana na wataelewa nini ilikuwa maana yangu haswa... Hususani kama kipengele nilichomtaja mzee wangu @Bishopgwajima nilisema: "mara nasikia vya aibu Konda na Gwajima eti ugomvi umekolea....ila kuchunguza kwa karibu ni kuna binti mmoja tu ndio kwa mitandao anachochea..."
Point yangu ni kwamba licha ya kweli kuna yaliyojiri nyuma, lakini kwa busara zao ninazoamini wamejaaliwa na Mwenyez Mungu muda si mref wangekaa chini na kumaliza...nawote kufurahi kwa pamoja, lakini kwakuwa kuna dada mwingine alikua anachochea hawa ndugu zetu wazidi kufarakana...ikapelekea hadi kufikia hapa...asa hapo kosa langu mie liko wapi?
Chonde chonde mzee wangu @Bishopgwajima usinigeuze maji kesho , mana nakujua ukimuamulia mtu.... naweza jumapili ya kesho nikaiona chungu Mwaka mzima
DOMO KAONA AOMBE MSAMAHA MAANA DNA ZA WATOTO NA BABA ZAO WANGELETWA LIVE PLUS MACD YA PORN YA ZARI TAABU TUPUGwajimaaaaaaaa
DIAMOND MKUU NIMECOPY KUMBE HAIJATOKAMbona hujasema who say this?
Hata siku moja.baba mchungaji hajawahi kuniangusha.
Kaka tuombe uzima. Kesho patamu pale Ubungo mabatini.Nyoosha hao kenge wa Bashite
Nitakuwa pale Ubungo, saa ya makombora ikifika uniite!KESHO TUKUTANE UFUFUO Na uzima
Hata wewe ni FekiAskofu feki
Kati ya hawa watu wawili hapo juu ni nani maarufu zaidi?
Nauliza tu, ili nijui nani atakuwa anatafuta kick kwa mwenzie....
Kwa hiyo wamchokoze tu kwa sababu kuna andiko linalohusu kusamehe? Hata Mungu mwenyewe hayupo hivyo!!!!!Huyu naye anatumia kanisa vibaya. Visasi tu, Yale mafunzo yanayosema samehe anayafundishaje kanisani kwake? Du hii kali
we subiri muda si mrefu utatambua nani ni mpuuziacha kumlinganisha platnum na vitu vya kipuuzi
vipi wewe na safari yako fupi je umefika?Gwajima mpuuzi tu
Wewe mchungaji lakini kutwa kushadadia mambo yalipuuzi!!
Waumini wa Gwajima wanasafari ndefu!
Tehehehe hehe he we jamaa umenichekesha sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Walete babaaa, waleteee...
Yani show za gwajima ni za kipekee.
Kesho mapemaaaa, siti za mbele mbele
uko huru sasa eehIjue kweli na kweli itakuweka huru.