Gwajima Akifa, jeshi la Polisi linaweza ingia matatani

Nasikia aliambiwa na wapelelezi kwamba wanaenda kupekua sehemu zake zote yakiwemo maeneo anako fugia misukule ili baadae aseme kawafufua-ndipo akazimia. Sijui ni kweli?

Na wengine wanasema aligusiwa kuhusu lileeneo la wazi analofanyia ibada pale kawe kama anauhali wa kuendelea kutumia eneo lile la wazi network ndio ikakata.
 
ya juzi misungwi umeona kuna lolote limefanyika hadi sasa?
 
Sio jambo la kuombea ili litoke,lakini endapo ikitokea Askofu Gwajima akaiaga dunia ghafla,jeshi la polisi litakuwa kwenye wakati mgumu kutoa ufafanuzi juu ya kifo chake.
Siamini kama polisi walimdhuru gwajima ila kwa imani ndogo iliyopo kwa wananchi juu ya jeshi hili usishangae waumini wa gwajima wakahusisha kifo hicho na jeshi letu.
Mungu akujalie upone mapema askofu Gwajima na akuepushe na umauti urudi kuhudumu kwenye madhabau ya mungu,Na amani ya nchi yetu iendelee kudumu.

Malipo ya dhambi ni umauti km aliyoyatenda hayampendezi Mungu, basi kikombe cha umauti hakiwezi mwepuka na kwa muumini anayejielewa hatopata shida kujua kilichompata na si asikari polisi kuwatuhumu kumuua.
 
Sidhani km katika upeo na uelewa au nguvu za kibinadam mtu anaweza ijua siku yake ya kufa au kujiamulia kufa

Wafilipi 1: 22...Nawaza Sijui nichague lipi? 23Nakabiliwa na haya mawili yaliyo sawa. Natamani kuyaacha maisha haya nikakae pamoja na Kristo, jambo ambalo ni bora zaidi;24lakini ni jambo la maana zaidi kwenu kama nikiendelea kuishi.-25Nina hakika ya jambo hili, na hivyo najua kwamba nitaendelea kuishi pamoja nanyi nyote, ili nipate kuongeza maendeleo yenu na furaha katika imani.-
 
Hapo mtume Paulo km umeshaisoma sura nzima alikuwa anaonyesha matamanio yake ya kuendelea kuishi na si kuamua kuishi mana hakuna sehemu yoyote kwny biblia ambapo imeoneshwa mtumishi wa Mungu anaweza kuamua kifo chake, rudia kusoma tena!
 
Ndo hapo sasa anafikiri achague lipi
 
Alitukana huku anasoma neno la Mungu. Alijuwa Mungu ni wa kuhadaa. Alijilisha sumu mwenyewe. Afe tu na mbasha apumue.
 
Ila hakuonesha km anauwezo wa kuamua kufa au kuishi katika kuchagua kwake

Hivyo ni binadamu anavyoweza kuwaza, lakini Paulo tayari alikua anatembea ulimwengu mwingine sana, alivyosema kuchagua alimaanisha anachokisema, kwa maana nyingine akichagua, mbele za mungu imekua ombi lililojibiwa, Iwe mauti au kuishi
 
Lakini kumbuka Mungu hujibu kwa wakati wake na si vile tuombavyo kwa matamanio mana unaweza muomba leo ufe ukafa miaka 30 ijayo asa apo unakuwa umeamua au ukweli unabaki pale pale kuwa hayupo anayeweza kuona kifo chake au kuamua kuendelea kuishi. Ikifika tarumbeta zitapigwa tu.
 
Sio jambo la kuombea ili litoke,lakini endapo ikitokea Askofu Gwajima akaiaga dunia ghafla,jeshi la polisi litakuwa kwenye wakati mgumu kutoa ufafanuzi juu ya kifo chake.
Siamini kama polisi walimdhuru gwajima ila kwa imani ndogo iliyopo kwa wananchi juu ya jeshi hili usishangae waumini wa gwajima wakahusisha kifo hicho na jeshi letu.
Mungu akujalie upone mapema askofu Gwajima na akuepushe na umauti urudi kuhudumu kwenye madhabau ya mungu,Na amani ya nchi yetu iendelee kudumu.

Hakuna uhalisia kuwa jeshi la polisi lingeweza kumdhuru Gwajima. Ila kuna matukio ya ajabu ambayo yanatia mashaka na umakini au umadhubuti wa hili jeshi. Kulikuwa na haja gani kwa jeshi kuwaamuru wasaidizi na waumini wa Gwajima waondoke hospitalini usiku? Hao watu walijitolea kuwa karibu na mgonjwa wao bila kuvunja taratibu za hospitali. Wangelalamika hospitali ingeeleweka lakini polisi iliwahusu nini? Halafu mbaya zaidi wakafukuzwa usiku!! Hao watu walikuwepo muda wote na polisi waliwaona na kama hawakutaka wakae pale wangewaamuru waondoke mchana ule, kwa nini wasubiri usiku? Likitokea la kutokea ni rahisi mtu wa kawaida kudhani kuwa polisi waliwaondoa pale hospitalini ili waweze kutimiza njama za kumdhuru zaidi mgonjwa wao bila kuonekana
 
Tatizo wanafanya kazi bila weledi ndio maana wamewaukuza bila kufikiri upande wapili!
 
Gwajima akipona atadai ana ujumbe mzito kutoka Kuzimu . Atakua akijisifu yeye ni nabii pekee aliyekufa akafufuka baada ya YESU... Tuwe makini wakristo tusiupokee huu uongo kamwe, kwa mtu aliyemdhihaki mtu tunayemuheshimu.
 
Baada ya kupona sijui kama ataropoka ropoka tena hahahahahha bado Kakobe, watu wanatumia majukwaa ya dini vibaya, kumbe anaogopa POLISI, wapo wapi wale mabaunsa wake waliokuwa wakimgandaganda wakati akimtukana PENGO.

Naomba niweke sawa kumbukumbu.Kilichosababisha yote haya ni Nchi kutaka Kuwa yenye Heshima kwa Dini ya Kiislamu kuliko dini zingine.Mahakama ya Kadhi imeanza kuleta Madhara hata kabla haijajadiliwa na Bunge.Kwa kweli Udini utaliangamiza Taifa.
 
Ponda kapigwa risasi bado yupo fiti,yeye kuhojiwa tu,presha inapanda.
Aanze kubeba chuma.
 
Back
Top Bottom