Beaver hilo...so bongo to name is a we setup wapo
Hao wachumba au wanandoa??
Ndio nini sasa hii...
Bishop Hiluka jamaa word prediction hajaijulia, na hakuwa na muda wa kufanya edition ya post take kwahiyo matokeo yake ndo hayoSi wewe tu Khantwe, hata mimi nimetoka kapa! Nime-google patupu,
nimejaribu kutafuta kwenye dictionary ndo nikachanganyikiwa kabisa!...
Mmh hivyo hivyo...!!! Sidhani kama mpaka leo bado wapo wote
Hebu mtaalamu wa maumbile afafanulie neno sahihi. Kwa mwanamke, ramani ya kike ikijichora kwenye nguo ilobana ramani hiyo huitwa 'cameltoe'.Kwa mwanaume kama kwenye hii picha huitwaje?
hata mie mgeniMmh! Mimi mgeni...
busha asingevaa hivo mkuuBusha hilo.
busha asingevaa hivo mkuu
nimekupataNatania tu. Hata hivyo busha huanza taratibu. Hadi kufikia ukubwa wa kuvaa musuli linakuwa limeanza likiwa dogo.
hata mie mgeni