Uwe unatoka hata na 1m hivi ili usipate stress za hao rafikizo parasitesGuys if unajijua huna kitu unaenda bar kufanya nini??
Maparasite mmezide aisee,mtu unatoka na kilaki ila unakutana na viparasite inaboa sana..
Ndo hivyo huwezi kumyima mtu,guys tubadilike,kuomba bia sio ishu kabisa...
Karibuni tumoke,mbezi beach ...s.la..
Sasa si umesema ki laki kinakwisha kwasababu ya parasites..Dah!!mkuu utoke na mpunga wote kisa kuwatoa watu
Jeshini lazima kuwe na kikosi cha kupiga mizinga. Ndiyo hao jamaa.Guys if unajijua huna kitu unaenda bar kufanya nini??
Maparasite mmezide aisee,mtu unatoka na kilaki ila unakutana na viparasite inaboa sana..
Ndo hivyo huwezi kumyima mtu,guys tubadilike,kuomba bia sio ishu kabisa...
Karibuni tumoke,mbezi beach ...s.la..
Kwa maelezo yako ni kidogo sanaHivi ni kidogo sana kumbe??