Guys if unajijua huna kitu unaenda bar kufanya nini?

Zeus1

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
6,969
8,865
Guys if unajijua huna kitu unaenda bar kufanya nini??

Maparasite mmezide aisee,mtu unatoka na kilaki ila unakutana na viparasite inaboa sana..

Ndo hivyo huwezi kumyima mtu,guys tubadilike,kuomba bia sio ishu kabisa...

Karibuni tumoke,mbezi beach ...s.la..
 
Dah,huko mbali sana..

Ngoja tu nitafute dereva,ntakuja sanaaa huko
 
Guys if unajijua huna kitu unaenda bar kufanya nini??

Maparasite mmezide aisee,mtu unatoka na kilaki ila unakutana na viparasite inaboa sana..

Ndo hivyo huwezi kumyima mtu,guys tubadilike,kuomba bia sio ishu kabisa...

Karibuni tumoke,mbezi beach ...s.la..
Uwe unatoka hata na 1m hivi ili usipate stress za hao rafikizo parasites
 
Guys if unajijua huna kitu unaenda bar kufanya nini??

Maparasite mmezide aisee,mtu unatoka na kilaki ila unakutana na viparasite inaboa sana..

Ndo hivyo huwezi kumyima mtu,guys tubadilike,kuomba bia sio ishu kabisa...

Karibuni tumoke,mbezi beach ...s.la..
Jeshini lazima kuwe na kikosi cha kupiga mizinga. Ndiyo hao jamaa.
Halafu kazi ya ukuwadi wanaiweza sana.
 
Na wanajua kukufix....utasiki mdingi safari moja basi. Mdingi wapi wakati tunalingana....usinizeeshe mie mwenyewe baby
Yani mtu unampiga beer moja,anasepa ikiisha anarudi tena
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom