Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,808
- 11,483
Una umri gani? Na ww binafsi kwanini unahisi au kudhani wazazi hawakupendi? Tuanzie hapo.
To like like or to love?How do i learn to like me? I have no idea how to do that.
Help please
Acha tu my dear The Boss
hahaha duh we umemamalizaHow did you learn to hate yourself..? apply the same principles you used earlier but this time in opposite form.
Eg if you said to yourself that you are ugly now say you are a good-looking person and so on.....
ehee nimekupata sana mkuuMiss chaga hiyo we unaonaje? najua we mtt w tajir usha
Haikwepeki kwmba ubongo wa binadam unawaza asilimia kubwa mambo hasi ambayo asilimia kubwa hayapo.kumbuka ubongo hauna off switch na binadam anajijua kwmba haya ninayowaza hayapo na ni upuuz tatizo taepuka vp hapo ndo mtu anakuwa frustrated kuliko tatizo lenyewe analofkiria.just like put gas onto fire.ukitaka kukabiliana na mambo unahic unayawaza kupindukia kwanza usiyafkuze hayo mawazo wala usifanye kitu ili ujisahaulishe yatarudi tu.kikubwa we fkiria huo ujinga wote upuuz wote tena ukiona yanaisha yaite tena uyafkirie ila kikubwa dont react yaache yaje ila usifanye chchte kuyakabili au behave km n kweli hapo utayashinda na utaishi kw aman km hujaelewa kwa kiswahili niambieni niandike n english
sasa watakupendaje hutaki shule unataka kuwa modo.ushaur wa kwnza mzur bt unampendaje rafk familia icyokupenda hakujal?
Naunga mkono hoja... Wana tabia za kufanana sana, sa sijui ni ndugu?
Pacha wa baba mbali mbali na mama mbali... Sijawahi kuona wamepost kitu cha maanayaani wote wana akili za kuangalia katuni labda ni pacha wasiofanana sura
Pacha wa baba mbali mbali na mama mbali... Sijawahi kuona wamepost kitu cha maana
Haipiti wiki... Na kuna kipindi ni kila sikuha haa na haipiti mwezi bila post mpya...

Haipiti wiki... Na kuna kipindi ni kila siku![]()
![]()
![]()
HahahahahahaHa ha haa na yawezekana ni wazee wazima na wajukuu ndio wanamiliki hizo ID
inawezekana piawhateverTo like like or to love?
asante. jumapil ntaongea nae thnx againKama unaloongea ni kweli kijana ushauri wangu ni huu utakusaidia.
Mtafute baba ya ko akiwa ametulia mfuate ukiwa mwenyewe.Mwambie baba mimi najua nimewakosea sana makosa mengi nyie kama wazazi na familia kwa ujumla nimefanya hiki na hiki na hiki....taja makosa wanayoyajua na wewe uliona umewakwaza.. pamoja na makosa mengine ambayo nimefanya bila kujijua.
Najutia makosa yangu naomba mnisamehe kuanzia leo nahidi kubadilika na nitafanya kile unachotaka baba.Nyie ndo wazazi wangu siwezi kupata wengine kamwe kwani nawapenda sana.
Ukishasema maneno hayo babaako hata kama atakuwa mgumu kama jiwe atakushangaa sana.Baada ya hapo badilika kabisa kuwa mtoto mtiifu utaona matunda yake.Pia fuatana na marafiki wanaowatii wazazi.Nakitakia kila la kheri
thnx for ur adviceYou seem to have a psychological problem..may be you are humiliated with people in your family..but also it may be because you are self centered..you dont go out and share your experiences with others. If you are likely to have those traits, it may be the reason for who you are..above all if you do compare yoursef with others.
maa anajua lkn asemi ktu. thnx for ur adviceNakumbuka ulishwahi kiweka uzi kuhusu baba yako kwny odhu za shule...masaada wangu kwako ni kuongea na mama yako ili amweke sawa baba ako then ndo ukae pamoja na father ako umweleze tatizo lako...usiende direct kwa mara ya kwanza...lazima myu awepo kati yenu ndo mtaweza kusolve vizuri...
Mwenyez Mungu akujaalie uepukane na hayo matatizo..InshaAllah