Kwanini watoto wa matajiri wanapenda mwanaume maskini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini watoto wa matajiri wanapenda mwanaume maskini?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Feb 15, 2016.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2016
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  KWANIN WATOTO WA MATAJIRI WANAPENDA MWANAUME MASKINI.jpg
   
 2. Babu JP

  Babu JP JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2016
  Joined: Aug 5, 2015
  Messages: 2,179
  Likes Received: 1,279
  Trophy Points: 280
  Sio kweli
   
 3. P

  Pohamba JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2016
  Joined: Jun 2, 2015
  Messages: 14,465
  Likes Received: 21,434
  Trophy Points: 280
  Hiyo ilikuwa Zamani.siku hizi mtakutana wapi?
  Anasoma Feza girls wewe unasoma Kigogo fresh secondary
  Anaishi Seaview wewe unaishi Majohe kibeberu
  Shopping anafanyia Mlimani city wewe Soko Mjinga banana
  Likizo unaenda Machwechwe Sumbawanga kwa babu yeye anaenda Philadelphia kwa Uncle.
  Ukisafiri safari inaanzia ubungo bus terminal YEYE inaanzia Mwl nyerere AIRPORT
  Kanisani St Joseph wewe kanisa la ufufuo ukonga
  Club wewe unaenda Dar live yeye new Africa.
  Mapumziko Weekend wewe Mikadi au Coco yeye Ramada au Beach comber
  Zamani iliwezekana kwa kuwa tuli share vingi
   
 4. Chiwaso

  Chiwaso JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2016
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,583
  Likes Received: 1,744
  Trophy Points: 280
  ambaye hatakuelewa atakuwa na kichwa cha panzi.
   
 5. mmbangaya

  mmbangaya JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2016
  Joined: Jan 16, 2015
  Messages: 766
  Likes Received: 822
  Trophy Points: 180
  Ili akutawale anajua kama wewe ni maskini yeye ndo atakuwa na last say
   
 6. GIUSEPPE

  GIUSEPPE JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2016
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 4,489
  Likes Received: 4,503
  Trophy Points: 280
  natoa LIKE ya kwanza tangu mwaka huu uanze.
   
 7. Hatakama

  Hatakama Member

  #7
  Feb 15, 2016
  Joined: Aug 13, 2015
  Messages: 91
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 40
 8. Kim Il Kwon

  Kim Il Kwon JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2016
  Joined: Nov 13, 2015
  Messages: 1,172
  Likes Received: 952
  Trophy Points: 280
  duh umeandika kwa hisia!
   
 9. GENTAMYCINE

  GENTAMYCINE JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2016
  Joined: Jul 13, 2013
  Messages: 22,939
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  Nimeshajua Kwanini Diamond Anapenda Kuvaa Suruali Na Hapendi Kuvaa Pensi. Akhsanteni Kwa Mlioweka Hiyo Picha Tuweze Kuona Hizo " Ngoko " Kwa Umakini Wake ULIOTUKUKA.
   
 10. Totos Boss

  Totos Boss JF-Expert Member

  #10
  Feb 15, 2016
  Joined: Dec 30, 2012
  Messages: 4,615
  Likes Received: 660
  Trophy Points: 280
  Ubaguzi sio wa rangi siasa kabila na dini tu hata huu wanaotufanyia matajiri naona ni ubaguzi mambo leo.
   
 11. Totos Boss

  Totos Boss JF-Expert Member

  #11
  Feb 15, 2016
  Joined: Dec 30, 2012
  Messages: 4,615
  Likes Received: 660
  Trophy Points: 280
  Tena siokwei kabisa. Kwa utajiri wenyewe wa kuwaibia hao masikini halafu utampenda je?
   
 12. UncleBen

  UncleBen JF-Expert Member

  #12
  Feb 15, 2016
  Joined: Oct 27, 2014
  Messages: 9,095
  Likes Received: 9,704
  Trophy Points: 280
  Aisee nimecheka sana ,Majohe kibeberu ni kitongoji ndani ya Mpiji Majohe ??? Mbona kina Manji wapo Mbagala bana ,

  Na sie tunaoishi Pemba mnazi si itabidi tutembee na Fuko sasa
   
 13. miss chagga

  miss chagga JF-Expert Member

  #13
  Feb 15, 2016
  Joined: Jun 7, 2013
  Messages: 57,681
  Likes Received: 30,826
  Trophy Points: 280
  wasipoelewa basi tena aisee
   
 14. safaree13

  safaree13 Senior Member

  #14
  Feb 15, 2016
  Joined: Jul 22, 2013
  Messages: 135
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hunting Goose By Size
   
 15. fareed uziel

  fareed uziel JF-Expert Member

  #15
  Feb 15, 2016
  Joined: May 27, 2015
  Messages: 397
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  Umemalizq mkuu
   
 16. adden

  adden JF-Expert Member

  #16
  Feb 15, 2016
  Joined: Dec 27, 2015
  Messages: 2,756
  Likes Received: 3,027
  Trophy Points: 280
  Ni kweli as much as i know wanachopenda kw maskin hatamsumbua na atajifunza mengi na kila atapomuhitaj atampata na anaweza kupoteza nae mda mwingi kw kukaa na kuongea tofauti n tajir.
   
 17. Benny

  Benny JF-Expert Member

  #17
  Feb 15, 2016
  Joined: Jun 6, 2014
  Messages: 3,091
  Likes Received: 4,363
  Trophy Points: 280

  Hahaha...mkuu hii coment mbona kama yangu?
   
 18. Smart911

  Smart911 JF-Expert Member

  #18
  Feb 15, 2016
  Joined: Jan 3, 2014
  Messages: 14,425
  Likes Received: 11,067
  Trophy Points: 280
  Siku hizi inakuwa ngumu sana... labda akuone kwenye TV, kwenye kipindi cha matukio ya wiki...
   
 19. The Great Emanuel

  The Great Emanuel JF-Expert Member

  #19
  Feb 15, 2016
  Joined: Apr 3, 2015
  Messages: 1,361
  Likes Received: 1,713
  Trophy Points: 280
  Bhaaaaaaasi umemaliza yote
   
 20. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #20
  Feb 15, 2016
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,707
  Likes Received: 8,251
  Trophy Points: 280
  I miss the old coco beach...
   
Loading...