Guu la Matege maashaullah

mbona tunaona makanyagio tu.Pandisha huko juu tuone hayo matege bhana
 
muombe miss chagga ruhusa kwanza

huyu miss chagga ni wa aina yake kwa sababu kila mwanamke atakaye tokea tu lazima ni yeye makalio makubwa yeye, flat screen yumo matende hakosekani, matege mwake, vitambi yuko, nyigu ndo usiseme au kwake ndo everything is double double. Mshana naomba jibu kwa hii new brand.
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaaa Wapoti miss chagga ni taasisi iliyosheheni vyote hivyo ndo maana utaona kila idara hakosekani miss chagga ni sawa na popo(sio bawa) si mnyama si ndege....!!!!
 
Last edited by a moderator:
Wapoti unabahati nimezaliwa leo la sivyo ungejuta
 
Last edited by a moderator:
Mkuu utakuwa una makengeza....toka lini mchaga akawa na mguu kama huo......hiyo miguu ipo upareni, SINGIDA ,MWANZA......Lakini kishumundu hakuna..............Cc miss chagga Matege
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…