Guts mnazitoa wapi wababa..??

Guts mnazitoa wapi wababa..??

Huyo kama mimi kabisa, usipoomba ntajuaje kama unashida ya hela? Mpige mzinga wa laki tano uone kama hakupi!!
 
ss wa nn huyo!
Hapo sepa 2!
Mtu gani hata kwake hakupeleki kulikoni?hana lolote anakutumia 2......za mbayuwayu changanya na zako
 
Huyo kama mimi kabisa, usipoomba ntajuaje kama unashida ya hela? Mpige mzinga wa laki tano uone kama hakupi!!

Dah!ss na ww kwnn uctoe wakati una jua wanawake wanamatumizi mengi ya lzm!?......km mi nimeshakuacha ckunyingi coz cwez kuomba
 

Mnapata wapi nguvu hata ya kutaka hiyo tamu? Kama inakunogea, gharamikia basi.
Nikupe chakula cha bure na bado tamu ya bure!!! excuse me!!!!
Akina kaka na kina baba, mwenye tabia kama hii maana yake ni nini? maana kama ni ubahili wa huyu umepitiliza. hana aibu.

kwingine kote jamaa alikukosea sana dada yangu,ila hapo nilipo-bold sasa mama,................KWANI ULIMWAMBIA ''UNAUZA'' SHING. NGAPI!!!?kiukweli nimekwazika na lugha uliotumia hapa na ndio maana mnadharaulika!

kweli anakosea ila kutumia ''tamu'' (kama unavyoiita) kama ''bidhaa'' au ''sababu'' ya kufanyiwa karimu fulani ni kujitukanisha bana!zungumza nae kwa ukali kabisa kwamba anapaswa kuwa responsible kama ''uncle'' bana..ila usitumie ''tamu'' kama ngao,bidhaa,turufu plz!
A%20S%20angry.gif






 
yaani mnadate miezi 6 na watoto wanamfahamu anko?

Na analala? Mmmh, aisee maisha ni rahisi sana naona.

Huyo hana mpango wa maana, hawezi hata kuja na ukwaju?
 
nahisi umefanya haraka kuwatambulisha kwenye familia yako.hakuna mwanamume asiekuwa na kasoro.ila jamani ubahili uliopitiliza haufai.kwa nini usiongee nae na kumueleza jinsi unavyokwazika?ukiona habadiliki,weka maamuzi ambayo ni sahihi kwako.pima mazuri yake na mabaya yake,halafu amua mwenyewe
 
sasa wewe mwenyewe umejiraahisisha mwanaume afanye nini kama sio kumega bupa kwa raha zake...kwani umesikia wanaume tunapenda kufanyia kazi K zenu...pale unapoweza pata utamu kwa bure ndio unajikitaa hapo
 
kwangu hajawahi lala hajawahi lala hata siku moja, anakuja na kuondoka, faragha zingine ni out of my house. I am too matured to know this, huhitaji kunifundisha.

yaani mnadate miezi 6 na watoto wanamfahamu anko?

Na analala? Mmmh, aisee maisha ni rahisi sana naona.

Huyo hana mpango wa maana, hawezi hata kuja na ukwaju?
 
asante kisukari. anakuja kwangu kama rafiki tu wa kawaida, watoto wanajua ni mfanyakazi mwenzangu, ni uncle kama walivyo maa uncle wengine, hawana neno. nina marafiki wengi nafanya nao kazi ambao wako free kuja kwangu any time. sina uhusiano nao wa kimapenzi, lakini kwa vile kuna watoto hawaji kwangu mikono mitupu, japo ice cream atakuja nayo. nakwazika na huyu kwa vile yeye ndio alipaswa aje na magunia ya vyakula but he comes empty handed, na bado anategemea kula.
siwezi kuomba kama wanavyosema wengine, anapaswa asome alama za nyakati, kuwa chakula hakiji bure. kesho akikutana mlangoni na mwenzie kabeba mamichele na masukari, atauliza?


nahisi umefanya haraka kuwatambulisha kwenye familia yako.hakuna mwanamume asiekuwa na kasoro.ila jamani ubahili uliopitiliza haufai.kwa nini usiongee nae na kumueleza jinsi unavyokwazika?ukiona habadiliki,weka maamuzi ambayo ni sahihi kwako.pima mazuri yake na mabaya yake,halafu amua mwenyewe
 
nauza ndio, wewe unavyowajibika kwa mke wako, hua anakuuzia kumbe ndio maana unafanya majukumu yanayokuhusu.

kwingine kote jamaa alikukosea sana dada yangu,ila hapo nilipo-bold sasa mama,................KWANI ULIMWAMBIA ''UNAUZA'' SHING. NGAPI!!!?kiukweli nimekwazika na lugha uliotumia hapa na ndio maana mnadharaulika!

kweli anakosea ila kutumia ''tamu'' (kama unavyoiita) kama ''bidhaa'' au ''sababu'' ya kufanyiwa karimu fulani ni kujitukanisha bana!zungumza nae kwa ukali kabisa kwamba anapaswa kuwa responsible kama ''uncle'' bana..ila usitumie ''tamu'' kama ngao,bidhaa,turufu plz!
A%20S%20angry.gif



 
Dah!ss na ww kwnn uctoe wakati una jua wanawake wanamatumizi mengi ya lzm!?......km mi nimeshakuacha ckunyingi coz cwez kuomba

Sasa kama ninapokutokea unajionyesha una mahela kunizidi, si ntaogopa kukupa vihela nilivyonavyo? Nikikuweka class ya lakilaki wakati mi ninauwezo wa fifty fifty ntaanza vipi kukupa hicho kihamsini changu?
 
Nimejuana nae about 5 years ago, by then alikua na mkewe. Pamoja na jitihada zake sikutaka kuanzisha uhusiano wowote nae kwa sababu ya yeye kua na mke.
alianzisha mawasiliano na mimi mwanzoni mwa mwaka huu na kuniambia kaachana na mkewe. sababu nimesikia za kwake tu mkewe sijamsikia hivyo unaweza kupata picha kua lazima ajipendelee.
nilihisi ananaitumia kiaiana, ila kabla sijamhukumu nikaona wababa mnipe mawazo yenu.
Nashukuru nitalifanyia kazi hili. Ila nina sababu nyingi zinazonishawishi kuwa kweli jana mke, ila ni bahili aliyepitiliza.

..my dear, mwanamke kutunzwa......mwanaume kuwajibika....aonyeshe nafasi yake kama mwanaume...yaani hata akikuta umeme hamna kutoa 10,000 ya luku anaona ubahili wa nini huyo?

Na in reality mwanaume akikupenda na kukuthamini atakuhudumia......na atataka aclaim nafasi yake kama kichwa cha nyumba.....

Hapo anakutumia tena anakutumia haswaaaaa....shtukaaaa ..
 
Haloooooooooo!!!!! Nicheke Ninenepe!!!!!!Khaaaaaaaa!!!

Dada acha UCHOYO!!!! Wanaume wengi ndo walivyooooo!!!!!!!! NDOA 70% ZINAENDESHWA KWA HISANI NA UDHAMINI MZITO WA KINA DADA!! Usione watu wanangaa na PETE zao vidoleni. Wanaume wagumu kweli kutoa, HASWAA AKIJUA UWEZO WA KUTOA UNAO!!!!!!!!

As long as HE MAKES YOU HAPPY, HE DSNT CHEAT, HE LOVES YOU AND HE MAKES YOU HAPPY, Hayo mengine we just BULLSHIT!!! Ndio wanaume wengi walivo HADI UWAKABE KOO!!!!!

Umri umeenda usipoangalia U WILL END UP LONELY!!!!!! HAKUNA MWANAUME COMPLETE PACKAGE!!!!!!!! Wote wana m apungufu yao tu!!! KAMA HELA UNAYO JST BUY YOUR HAPPINESS!!! ITS WORTH IT!

Usiwe kauzu kama Mama Lara 1, pamoja na mshahara na biashara zake, Hata Kuku wakipitishwa ofisini LAZIMA AMPIGIE MUMEWE kuulizia achukue wangapi, na pesa yake atarudishiwa lini! Akigomewa ndo hatuli kuku hivooooo!!!!! Hata pesa ya chumvi akitoa lazima adai!!!!!! BE GENEROUS TO YOUR MAN BANA!!!!!!!!!

Duh, nimeipendaje hii?? Ama kweli ndio maana mie nakuitaga KUNGWI sijui la kizigua au la kibondei! Tutajua mbele ya safari, ila kama ni mwenye kufunguka basi hapa kafunguliwa macho. Haya kazi kwako Bmama.
 
sasa kama halali anakukeraje?

Anakuja kugonga menu anaondoka?

Kwa mtizamo wangu umemtambulisha mapema mno home.

kwangu hajawahi lala hajawahi lala hata siku moja, anakuja na kuondoka, faragha zingine ni out of my house. I am too matured to know this, huhitaji kunifundisha.
 
nauza ndio, wewe unavyowajibika kwa mke wako, hua anakuuzia kumbe ndio maana unafanya majukumu yanayokuhusu.

Kiasi gani(cha pesa) kinatosha kununua hicho unachouza? Mtazamo wa namna hii wanawake wengi wanao. Jipende usiwe unauza, uwe unatoa kutoka moyoni.
 
Haloooooooooo!!!!! Nicheke Ninenepe!!!!!!Khaaaaaaaa!!!

Dada acha UCHOYO!!!! Wanaume wengi ndo walivyooooo!!!!!!!! NDOA 70% ZINAENDESHWA KWA HISANI NA UDHAMINI MZITO WA KINA DADA!! Usione watu wanangaa na PETE zao vidoleni. Wanaume wagumu kweli kutoa, HASWAA AKIJUA UWEZO WA KUTOA UNAO!!!!!!!!

As long as HE MAKES YOU HAPPY, HE DSNT CHEAT, HE LOVES YOU AND HE MAKES YOU HAPPY, Hayo mengine we just BULLSHIT!!! Ndio wanaume wengi walivo HADI UWAKABE KOO!!!!!

Umri umeenda usipoangalia U WILL END UP LONELY!!!!!! HAKUNA MWANAUME COMPLETE PACKAGE!!!!!!!! Wote wana m apungufu yao tu!!! KAMA HELA UNAYO JST BUY YOUR HAPPINESS!!! ITS WORTH IT!

Usiwe kauzu kama Mama Lara 1, pamoja na mshahara na biashara zake, Hata Kuku wakipitishwa ofisini LAZIMA AMPIGIE MUMEWE kuulizia achukue wangapi, na pesa yake atarudishiwa lini! Akigomewa ndo hatuli kuku hivooooo!!!!! Hata pesa ya chumvi akitoa lazima adai!!!!!! BE GENEROUS TO YOUR MAN BANA!!!!!!!!!
lara 1 ni burdani tosha! Kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiii!
 
Last edited by a moderator:
jambo la muhimu kabka hujaamua kumuacha ongea nae jwa utulivu sana,mpe ukweli huu ya dosari zake zote.halafu muda wa mwisho ajirekebishe,kama hakuna mafanikio basi mpe kwaheri kwa amani tu
 
nauza ndio, wewe unavyowajibika kwa mke wako, hua anakuuzia kumbe ndio maana unafanya majukumu yanayokuhusu.

labda hukuwa umemwambia bei dadangu!mimi nawajibika sana kwa mpenzi wangu.LAKINI SIFANYI HAYO YOTE KWASABABU NAPEWA TAMU,NAFANYA KWASABABU NAONA NAWAJIBIKA KUFANYA KAMA MWANAUME KWA UMBALI AMBAO UHUSIANO WETU UMEFIKIA!haniuzii,sijawahi nunua popote....hata zamani nilipata shida kuombwa hela mmediately baada ya ''game'',siwezi!

na kama hivyo ndivyo....no wonder anakuchukulia kama hivy........ANAUJUA MTAZAMO WAKO!inawezekana hata unavyoongea nae ni tofauti na ulivyoandika hapa...badilika ili nae abadilike bana!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom