GUTA

Jesam

New Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
4
Reaction score
2
Jamani naomba kuuliza wenye uzoefu kuhusu guta aina ya KEVLA.

Naomba kujua kuhusu ubora wake wakuu
 
Nilijua labda ubora wake ni mdogo maana nimeona wengi wanasifia sana WANHOO ila nikiangalia Bei naona kama kevla wako juu kiasi kuliko WANHOO alafu pia kevla nyuma ni tairi 2 Kila upande JUMLA kushoto na kulia ni 4
 
Linapiga kazi tu masaa 24 hakuna cha ziada.
Nilijua labda ubora wake upo chini maana naona wengi wanasifia WANHOO akati Bei ya wanhoo Iko chini kidogo kuliko Kevla lakin pia kevla Ina tyre mbili kila upande nyuma
 
Guta ni sinoray 250cc q7 tu!,guta ina nguvu, inavumilia mikiki mikiki ya kila namna, na maisha marefu, Kevla shida yake kuua ringspiston pia yana maisha mafupi yanachoka mapema pia Wanhoo ngumu ni zile za 200cc ndo ngumu, nimechangia kutokana na uzoefu wa kuishi nayo maguta tofauti tofauti tangu 2017.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…