Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,163
- 5,766
Acheni unafiki nyie watoto wa gaza wanavyopigwa mabomu, watoto wa Libya wanapigwa makombora mbona uwa mpo kimya, walichofanya hao gunmen ni sawa kabisa.
Mkuu imani yangu na yako zinatofautiana.Mie naamini katika kusamehe na kutotumia falsafa ya Upanga kwa upanga. Wewe unaamini falsafa ya upanga kwa upanga,hivyo hatuwezi tukaelewana.