fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,543
Ukiwa na fikra ndogo sana na kama wewe siyo mtu wakufanya tafiti utapata shida sana adi utakapo ondoka ndani ya dunia vikundi vyote vyakigaidi wasisi wake ni hao hao ila kwa sababu akili zetu hazifanyi tafiti tutachukiana na kuuwana wenyewe kwa wenyewe wenye kutuendesha wakiwa wanashangilia kimya kimya !!Huwa sipendi kushiriki ktk mijadala hii lakini kwenye RED ndo kuna tatizo, Irani ambayo nafikiri wengi wenu mnasema mnataka iwe Islamic power ilituma wanajeshi kule Iraq kumsaka na mmoja wa Majenerali wake aliuwa huko hivi karibuni! ( Iranian General Reportedly Killed By ISIS Sniper In Northern Iraq : The Two-Way : NPR ) Sasa kama wote mnamtetea mbona Iran taifa la kiislamu linamsaka kumuua? Ama nao wamedanganywa na Marekani wakadanganyika (maana wenzetu kwa visingizio na kulalamika hamjambo). Sasa naelewa kwa nini watu wanadai kuwa kuna hatari na kuanza kuchukua hatua. Kama unajua lugha ya kiingereza soma maoni haya ya 'Patriotic Europeans against the Islamization of the West' protest in Dresden