Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Status
Not open for further replies.
Haya nawasubiri uproar ya Wafaransa kote. Wajerumani wamepata sababu zaidi za kutowaruhusu hawa kupe huko kwao.
L78, Kuwa mtulivu just calm down .... wewe hujui kadhia yao !! Sasa ya nini jazba na kupayuka ovyo fuatilia uzi huu ulivyoanza, Hata raisi Hollande wa Faransa mwenyewe hakutoa matusi !!! Na wa gerumany wenyewe wamegawanyika..

Na kwa kukuzidishia info na knowledge milango ipo wazi Ulaya, Canada,America kupokea mtu yyte !!
 
Daah! Wazee wa LiveLeak tayari wanayo tena laivu bila chenga.
Katia huruma kweli huyo polisi.
Alijaribu kunyoosha mkono nadhani kama kuashiria kuomba wasimdhuru lakini jamaa akamshindia shaba.

Katia huruma sana huyu polisi
 
Da Askari ameniuma sana.Mmmmmh!

Oooh Pole jamanii... pole sana usiumwe masikiniweee... Na hao walioua jumla ya watu millioni mbili bila hatia haikukuuma eenh ??!! au tukuwekee madhara na maafa waliyotenda mchana kweupee?!
 
Jamaa wakati wanawapiga risasi hao wachora catoon walikuwa wakipaza sauti na kusema ALLAH-AKBAR wakimaanisha mungu mkubwa
 
Katia huruma sana huyu polisi

Alijua ni scene ya kawaida ya kipolisi kumbe ni ugaidi! Na inawezekana alikuwa na bunduki ila akataka awakamate wazima wazima ilhali watu wana AK-47 na RPG.

Askari wa ufaransa wanazingatia human right bila kujua jamaa walikuwa very combantant.

Rest peace kaka Polisi!
 
Look at the almost universal condemnation of the protestors in Germany....

Algeria went through a similar situation where the Islamist won an election and them proceeded to dismantle the very democratic state that brought me to power. Same dynamic with morsi in Egypt.

You cannot compromise with those fueled by Saudi Wahhabism. Their brand of Islam is cancer carefully designed to enslave the people for the royal family using a higher power as justification.
 
Naunganisha dots na mandamano ya jana ya wajerumani. ..
Yes ni mwanzo tu wa harakati zao za kuwaondoa waarabu ulaya baada ya kukimbia vita walivyovianzisha us na Europe katika nchi za kiarabu.
Those Arabs can go back home. They are not needed in Europe.
 
Alijua ni scene ya kawaida ya kipolisi kumbe ni ugaidi! Na inawezekana alikuwa na bunduki ila akataka awakamate wazima wazima ilhali watu wana AK-47 na RPG.

Askari wa ufaransa wanazingatia human right bila kujua jamaa walikuwa very combantant.

Rest peace kaka Polisi!
Wamemfuata hapo chini akiwa injured.
gunman.:did you want to kill us?.(kwa kifaransa).
policeman:''no am good chief''.
kisha wakashoot.
 
Al Bagdad anasema baada ya Mtume Mohammed yeye ndie kiongozi wa Waislam dunia nzima, yaani ni makamu Mtume. Utaki unaacha , maana jamaa wakaona wavamie pale ili kumtetea makamu mtume

Alhadj Professor Sheikh Dr Caliph Ibrahim Abu Bakr Al-Bagidadi Makamo Mtume,Kiongozi mkuu wa Waislam wote ulimwenguni.

Anawasihi Waislam wote popote walipo duniani kumuombea na kumtakia heri. Kumkashifu yeye ni kukufuru unastahili adhabu ya kifo sawa na waliokua wanamkufuru mtume Muhammad walikua wanauwawa.

Kwa hiyo hao jamaa walichokifanya kwa gazeti hilo ni kumtetea Makamo mkuu wa mtume,Ali-Bagidadi.
 
KK, Kuwa mtu mwenye kutamakin (control emotion zako) FYI, kwa muislam aliye wa kweli na HAKI hawezi kuuficha Mapenzi yake/yetu kwa Mtume Muhammad SAW, wala hatuwezi mpotosha Mtume, kiongozi,Mwalimu wetu Muhammad SAW !!
Mwisilam hajifichi anakabiliana na chochote kinachohusu IMANI yake !! (hajali mali wala uhai wala urembo wa dunia) !!

Japo mnajaribu sana kutukejeli, kuktutukan kutuProvok, nk, na mengi yasiyo na faida NOTHING YOU CAN CHANGE au hata wakuu wa NCHI zote Duniani wakipandikiza chuki au wakitupaka matope siye Msimamo wetu hautatereka au kubadilika juu ya Mafunzo ya L habibu Muhammad SAW. (period)


Back to the Topic:- Al-Baghdadi hakujificha, alijitangaza openly na kwa kupituia viombo vya habari vyote uvijuavyo !! AU NIKUTAJIE ?!! Na kama urtetezi wa L Habibu Muhammad mbona waiSilamu wote tuna mtetea full time.... nijambo la kawaida kwetu bila nong'wa wa staha, tupo wazi kbs.!!
Ndugu KK, wewe badilisha mtazamo unaoshadidia mara kwa mara na utazame HAKI na UKWELI inapohitajika. Imani yako mwenyewe ina simama justice !!

Huwa sipendi kushiriki ktk mijadala hii lakini kwenye RED ndo kuna tatizo, Irani ambayo nafikiri wengi wenu mnasema mnataka iwe Islamic power ilituma wanajeshi kule Iraq kumsaka na mmoja wa Majenerali wake aliuwa huko hivi karibuni! ( Iranian General Reportedly Killed By ISIS Sniper In Northern Iraq : The Two-Way : NPR ) Sasa kama wote mnamtetea mbona Iran taifa la kiislamu linamsaka kumuua? Ama nao wamedanganywa na Marekani wakadanganyika (maana wenzetu kwa visingizio na kulalamika hamjambo). Sasa naelewa kwa nini watu wanadai kuwa kuna hatari na kuanza kuchukua hatua. Kama unajua lugha ya kiingereza soma maoni haya ya 'Patriotic Europeans against the Islamization of the West' protest in Dresden
 
461117472-1-300x225.jpg
Yule jamaa aliyemchora Mtume Muhammad nasikia alikuwa hayupo ofisini.
 
Kwa akili yangu nijuavyo Mimi MUNGU hapiganiwi na mwanadamu lakini hawa jamaa wa ISS wanasema wanampigania mungu,mi swali langu ni mungu yupi anaepiganiwa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom