Wanachofanya ni military manurver(sp?),na kinachowakawiza wafaransa kuwapata ni kuwa uzoefu wa kivita,wao wamezoea kuporomoa mabomu wakiwa futi 30,000 angani,hawana uzoefu na mambo ya field.
kaka nauliza hivi wao wanapenda kifo wala hawakiogopi kweanini wanakimbia?