Hao si nimeisha kujibu wana majina tu ya kislam, mwanamke wakislam hawezi kufanya hayo. Hivi we hujaona kuna watu wanatumia majina ya kislam, na wao wakristo. Umemuona huyo Mustapha Ourrad, proof-reader si unaona jina lake utasema ni Muislam tena ni mwarabu wa Algeria au Morocco, kumbe ni wale makafiri kama wewe, wanatumika katika gazeti hilo la ma cartoon.Kama ndivyo mbona wacheza Vigodoro uchi ni wanawake wa kiislam huku pwani? majina yao utakuta wanaitwa Hadija, Asha, na wanakwenda msikitini kama kawa
![]()
those killed (from left) include economist bernard maris, prominent cartoonists wolinski and cabu, charlie hebdo editor stephane charbonnier and cartoonist bernard verlhac
- charlie hebdo editor and cartoonist stephane "charb" charbonnier, 47, who had been living under police protection since receiving death threats
- cartoonists jean "cabu" cabut, 76, bernard "tignous" verlhac, 57, georges wolinski, 80, and philippe honore, 73
- economist and regular magazine columnist bernard maris, 68, known to readers as uncle bernard
- mustapha ourrad, proof-reader
- elsa cayat, psychoanalyst and columnist, the only woman killed
- michel renaud, who was visiting from the city of clermont-ferrand
- frederic boisseau, 42, caretaker, who was in the reception area at the time of the attack
Wapo machotara bana,hasa oman .na wala watumwa hawakwenda kwa wingi sana huko kwani ni jangwa hakuna mashamba wala hapakuwa na viwanda,sasa wangeenda kufanya nini?
alisema yeye ni mungu wa wayahudi kainchi kadogo kanawapaa taabu waarabu
Tena washikilie kabisa na MISALABA YAO ili Yesu ajuwe kama alisha watolea kafara za damu:biggrin:Haya sasa
waende wakachore kuzimu huko hizo katuni zao
Watumwa waliokwenda uarabuni walikuwa ni wafanya kazi za ndani, baadae waliuawa
Charlie Hebdo wanaandaa mazishi ya Charb sijui ataandika wapi tena hizo katuni.View attachment 216916
mcheki Mohamed,Charb bhana
Vicky, Vipi !! unanistaajabisha eeeeh... nani anamfaa nani ?? Aamka usingiziniiiii !!! Wa France ilikuwepo Algeria kwa Mika mia2 na kitu kama koloni katili !!
FYI, Rasilimali za Algeria ndo zinaifaa France !! Na Ges/Mafuta na umeme wa Algeria unapelekwa chini ya bahari hadi France na kunyanyua uchumi wao !! hao ALG-FRC wanajuana kwa CONFLICTS za kiCIVILIZATION mda mrefu na hata Uhuru wa Algeria umeweka rekodi kwa kupoteza wanamapinduzi, mashahidi millioni moja kuwaondoa wa Faransa!!
Kuchokodhana kuchokudha,chokodha watu ndiyo Mafunzo ya kanisaniii na utaratibu aliyo weka YESUUU..?? "Nauliza tu" ?
JAYJAY Copenhagen DN Kiranga Chinga One Victoire
Waendelee kuchokonoa chokonoa........
Hao si nimeisha kujibu wana majina tu ya kislam, mwanamke wakislam hawezi kufanya hayo. Hivi we hujaona kuna watu wanatumia majina ya kislam, na wao wakristo. Umemuona huyo Mustapha Ourrad, proof-reader si unaona jina lake utasema ni Muislam tena ni mwarabu wa Algeria au Morocco, kumbe ni wale makafiri kama wewe, wanatumika katika gazeti hilo la ma cartoon.
Sasa gazeti limekosa nini?
NA WALE WALIOCHUKULIWA NA MELI YA YESU VIPI MKUU???
MAANA NASKIA WENGINE WALIKUWA WANAULIWA PALE FORT JESUS MOMBASA,,AISEE NI HATARI SANA
AJABU WEWE NA WENZAKO MNAWASHANGILIA HAWA JAMAA
HIVI KWELI WEWE NA AKILI YAKO MUNGU GANI ANAWEZA KUWA MZUNGU KUTOKA HUKO ROMA AU VATICAN ITALY HUKO KISHA AONEKANE ALIISHI MAENDEO YA MIDEAST??
HUONI KIINI MACHO HIKO,,??
TEH TEH TEH
YULE MSELA MZUNGU ANAKUWAJE MUNGUN YULE:blabla::blabla:
Hii michoro walikuwa wapi kuichora kabla ya watu wa shoka hawajavamia.
Mfalme anazaliwa zizini !.............sick creature
Hii michoro walikuwa wapi kuichora kabla ya watu wa shoka hawajavamia.
Hao mabinti ni waislam, wanawake wa pwani ni waislam, pia ni wacheza ovyo. Naona unaanza kuwakana dada zako
Sasa gazeti limekosa nini?