Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

Status
Not open for further replies.
Terrorist!

Why all terrorists are not Hindus, Buddha, Confucius, atheists, freemansonry, Christians, orthodoxy, Jewish, illuminati, pagans ?
This world is on fire
Cc Bulldog MO11
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana mnaua watu huku mnasema ALLAH-AKBAR utafikiri huyo allah hana uwezo wa kujitetea yeye mwenyewe mpaka atetewe na NGURU-MBILI yaani Binadamu inashangaza na kusikitisha sana.
Mpaka naenda kulala uzi ulikuwa una page 16, Moderator kachomoa yale yanauyomkera kwa Dini yake ila kaacha yanayo mfurahisha juu ya kebehi na kejeli kwa Uislaam !
 
magazeti mbalimbali ya magharibi yanajiuliza kwa makini iwapo waiweke ile catoon husika front page ama vipi.
.
 
mourad kijana mdogo miaka 18 alietajwa kushiriki shambulio amejisalimisha polisi mwenyewe.


wakati wa shambulio alikua shule,darasani.

inaonekana gunmen waliacha ID card yake makusudi kwenye gari ili kuwapoteza maboya askari
 
Ni upuuzi kushangilia vifo vya binadamu wengine kwa sababu yoyote ile.
 
Islam is evil.
Angalieni watu duniani wanavyowapinga kwa fujo zenu
 
mourad kijana mdogo miaka 18 alietajwa kushiriki shambulio amejisalimisha polisi mwenyewe.


wakati wa shambulio alikua shule,darasani.

inaonekana gunmen waliacha ID card yake makusudi kwenye gari ili kuwapoteza maboya askari
Hawa jamaa vichwa sana na wanajua kucheza na mashine.
 
Jifunze vizuri chanzo cha kimbari ya KAGAME na chanzo cha KIMBARI ya CAR, uelewa wako bado niwa ki madrasa.

Hizi kimbari walikuwa wanakufa kuku au? Huko France ndo wamekufa watu?

Tunawaabudu sana wazungu...
 
Haoo ni waarabu wenye uraia wa france,jasiri haachi asili,waraabu wenye uraia wa ufaransa,hawaachi tabia zao za kiislamu,nawachukia kabisa hizo tabia zao,ingawa sio wote,ila wengi wao wana tabia chafu,madawa ya kulevya wao,uporaji wao,pocket pickers wao.

Wanampigania Allah sijui nimungu wa aina gani uyo anae piganiwa,.kuliko nimuamudu mungu ambae awezi chochote anategemea kupiganiwa na wanadamu ni heri nimuabudu ndovu.
 
Wewe jaa ni kiazi kwezi. Hao wa middle east waarabu wa kiislama wanauna wenyewe .. Ili wakawahi mabikra ndio maana hatuna time nao
 
Leo nimeshuhudia Unafiki wa ulimwengu huu kwa kias kikubwa sana.

Leo hadi UN Security council imesimama na kutoa tamko kwa kuuwawa kwa wale watu 12 weengi wao waliokawa vinara wa kukashifu iman za watu na maisha yao kwa ujumla.

Watu mamillion kwa mamillion huko mideast wanauawa hatuskii matamko..hatuskii kulalama ulimwengu huu.

Hivi hawa wanaokufa huku mideast sio watu??

Mnawachonganisha ili muibe mafuta kisha mnawatengenezea sectarian violences huku mkiiba mafuta hamna mnachojali.

Hatushabikii mauaji yoyote lakin hizi double standards ni za nin?

Mnavyoumia kwa kupoteza ndugu zenu ndivyo hivyo hivyo wanavyoumia wenzenu.

Mnawaprovoke makusudi kwa kuwachora makatuni na kuwatukana bila sababu.

Mnatengeneza EXTRIMINISM wenyewe...mambo yakiharibika mnaanza kunyooshea watu vidole.

HESHIMA LAZIMA IWEPO.

kumbuka ule usemi wa UKITAKA KUMUUA MBWA MPE JINA BAYA.
Middleast washapewa jina baya na ndio maana wao ni halali kuuliwa.
 
"all terrorists are muslims,bt not all muslims are terrorists"!
 
Nilikuwa natazama kwenye vyombo vya Habari ulaya, Sky news, nimeona Wanawake wa Kiislam wakiwa wamekaribishwa studio na wakaambiwa wawe huru. Kitendo hii kinatofautisha kati ya Mahubili ya upendo ya Yesu na Uislam. Jesus Forever
 
magazeti mbalimbali ya magharibi yanajiuliza kwa makini iwapo waiweke ile catoon husika front page ama vipi.
.

Ni upumbavu tu, hawa jamaa mbona wamelichora kanisa la Roma kuliko hata Uislam, na hakuna aliewagusa?, wewe unamini Mungu wa kweli anakubali watu kuuana?.

Anyway. Yesu anasema "watawatambua kwamba ninyi ni wafuasi wangu kwa Matendo yenu"

Pia alisema "Nabii wa uongo anakuja, na mtambua kupitia matendo ya Wafuasi wake"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom