Gunman kills 26 at Elementary School in Connecticut

Gunman kills 26 at Elementary School in Connecticut

Ha ha ha...wewe lazima utakuwa ni member wa NRA!.

Kila mtu anahaki kujidefend nwenyewe.my hubby owns 6 guns .He love guns ,mara ya kwanza nilikuwa naogopa akawa ananipa akanifundisha in case .saa zingine Mimi naendaga shooting range ni raha.msiogope bunduki
 
Sitashanga kubaini huyu dogo wa miaka 20 alikua anamiliki hizo silaha kihalali.
Mmmh, kwani wamesema muuaji ana miaka 20 au wamekufa wanafunzi 20? Naona kama wanasema wameuawa watu 26, kati ya hao ishirini ni wanafunzi na muuaji ni kama bado hajabainika. Wanahisia tu kwamba atakuwa ameuawa na polisi lakini ni kama bado hafahamiki. Anyway, story kama hizi kwa marekani si za ajabu. Miaka hata mitatu haijapita tangu yule dogo avamie chuo kikuu na kuanza kucharaza watu risasi huko huko marekani. Labda ni sehemu ya maendeleo pia.
 
Inauma sana' tena sana!
Umeisikiliza hotuba ya Obama? Kama hukupanga kulia unaweza kujikuta unatoa chozi. Maana yeye mwenyewe kila mara anakatisha hotuba kupangusa machozi. Anyway ndiyo hivyo tena. Kama kwenye nchi zilizoendelea kama hizi ambazo usalama upo wa hali ya juu kuna mauaji ya aina hii, je itakuwaje kwenye nchi zetu hizi ambazo vifaa vya usalama ni duni?
 
Last edited by a moderator:
Inasikitisha mno....

Utadhani wanashindana nani atachukua maisha ya watu wengi zaidi ya mwengine
 
Hii sasa ni more than too much, kwani USA ndio nchi pekee inayoruhusu kumiliki silaha kwa kujilinda?
Hivi kweli hakuna solution ya hili tatizo? tangu columbine 1999 hadi sasa mass kilings mlolongo, hapo huja jumlisha wale wanao shoot mmoja au wawili watatu. Too sad
 
Imagine nawe ndio umekumbwa na mkasa huu umewahi shuleni kumchukua/kuwachukua mwanao/wanao halafu unasubiri na wazazi wengine lakini wa kwako humuoni/huwaoni kisha unaambiwa statement kama hii, "if you haven't been reunited with your child yet then it's already over." utaangusha kilio kama mtoto.

Ohhh boy! Here we go again. Just imagine, umemuamsha asubuhi, ukampa kifungua kinywa asubuhi, halafu ukampeleka mpaka kwenye mlango wa shule. Halafu unakuja kupata taarifa kama hii. Kwa kweli my heart goes out to the victims families.

slide_269944_1885012_splash.jpg
 
...Kama umechoka kuishi si ujimalize mwenyewe tu inahusu nini kwenda kuwaua watoto wadogo chungu nzima na kuwaachia wazazi wao, ndugu na jamaa majonzi makubwa na ya muda mrefu? Halafu bunduki aliyotumia/alizotumia huyu kichaa zilikuwa ni za mama yake ambaye naye kauwawa na huyu lunatic.

Inasikitisha mno....

Utadhani wanashindana nani atachukua maisha ya watu wengi zaidi ya mwengine
 
...Kama umechoka kuishi si ujimalize mwenyewe tu inahusu nini kwenda kuwaua watoto wadogo chungu nzima na kuwaachia wazazi wao, ndugu na jamaa majonzi makubwa na ya muda mrefu? Halafu bunduki aliyotumia/alizotumia huyu kichaa zilikuwa ni za mama yake ambaye naye kauwawa na huyu lunatic.

Mawazo yako kama yangu!

Jitu kama limechoka kuishi ni bora lijiue lenyewe tu.

Ya nini kwenda kuondoa uhai wa wengine?

Nyambaaaf kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Umeisikiliza hotuba ya Obama? ...je itakuwaje kwenye nchi zetu hizi ambazo vifaa vya usalama ni duni?
itakuwaje lini? Kwa sasa hivi na miaka yote ya nyumba hakuna vitu kama hivyo kwenye "nchi zetu hizi." Marekani ndio kuna utamaduni wa bunduki, usilinganishe maembe na machungwa, Tanzania hakuna kitu hicho!

Na huyo Obama unaemzungumzia nadhani antics zake zinaweza kuwa ndio mara ya kwanza kutokea katika historia, kwa kujiliza hadharani. Kwenye matatizo tunategemea kiongozi wa "dunia huru" akija hadharani atoe masuluhusho, sio machozi!
 
Kumbe U.S.A ni kama Iraq na afghanistan tu, sasa kuna tofauti gani na suicide bomber anayejilipua sokoni katikati ya mitaa ya Baghdad?

So sad! R.I.P watoto!
 
Kumbe U.S.A ni kama Iraq na afghanistan tu, sasa kuna tofauti gani na suicide bomber anayejilipua sokoni katikati ya mitaa ya Baghdad?

So sad! R.I.P watoto!

Kuna Syria pia. Watoto na wengineo kila siku wanauliwa siku hizi. Na sijaona Obama wala Hilary wakilia. Pengine labda kwa vile wa-Syria hawawahusu...lakini bado nao ni binadamu vilevile. Juzi hapa nimeona footage ya sniper akitungua watoto kwenye moja ya mitaa huko Damascus. Inauma sana aisee.
 
A confused nation,full of confused heads so painful and touching!Haya yataendelea tu ndıo ishara za mwisho kukaribia,mpaka Obama katoa chozi ni hali yakuhuzunisha sana tu.
 
A confused nation,full of confused heads so painful and touching!Haya yataendelea tu ndıo ishara za mwisho kukaribia,mpaka Obama katoa chozi ni hali yakuhuzunisha sana tu.

Ni Hali ya kuhuzunisha kwa kuwa Obama katoa chozi?
 
Vichaa wako kila sehemu. Hata baadhi ya madereva wa mabasi nao vichaa. Si unaona kila mara wanavyoua watu humo njiani? Ule nao ukichaa ule.
Kitendo cha kuua ni "actus reus", ili uuaji huo uwe wa ukichaa, unatanguliwa na mghafiliko wa akili hivyo kupanga kushoot randomly. Kitendo cha kupanga kuua ni "mens rhea" na hapa ndipo penye ukichaa wenyewe!.

Madereva wa mabasi wanaoendesha kwa kasi na kusababisha ajali, hao nao wana ukichaa wao kwa kiwango chao, kifo chochote ni "actus reus", kwa vile hawakupanga kuua, hivyo hivyo ile "mens rea" ya mauaji kwao haipo!.

Utafiti wa hali ya ubongo kabla ya mauaji, umethibitisha kuna vifo vingi by the time vinatekelezwa, hali ya ubongo wa mtenda kosa inakuwa kwenye "sanity state", hata wengi wanao commit siucide, at the time of committing the act, wanakuwa "insane", wengi wakiokoka, akili zinawarudia na wanajutia vitendo vyao.

Nakuunga mkono kuwa vichaa kila mahali wapo hata humu jf wamejaa vichaa kibao ila tuu wanatofautiana viwango vya ukichaa wao!.

P.
 
Kila mtu anahaki kujidefend nwenyewe.my hubby owns 6 guns .He love guns ,mara ya kwanza nilikuwa naogopa akawa ananipa akanifundisha in case .saa zingine Mimi naendaga shooting range ni raha.msiogope bunduki
Kuona raha kwenye mchezo wa shooting nayo pia ni ukichaa fulani!, hata wanaipenda game za kuumizana, huona raha mtu anapouliwa, huu pia ni ukichaa fulani, hata wanaopenda horror movies nao pia ni ukichaa fulani!.

Rape ni kosa la jinai, wako type fulani ya wanawake wanaitwa 'masochic' wanao wana penda a bit of violance before they are done!, huu pia ni ukichaa fulani!. Ancient Romans walikusanyika kuangalia mtu akiraruliwa na simba pale kwenye ile Colosseum yao pale Rome.

Amini usiami, wakati wengine tunaumizwa na mauaji yale ya kiendawazimu, kuna wengine, wanasikitika, "they've missed the action!. Wakati CCN ikionyesha live hao Twin Tower went down on September 11, I was in one newsroom watching, kuna watu walishangilia!. Kama alivyo Osama, kwa wengine ni Terrorist kwa wengine ni 'hero', its all insanity!.
P.
 
itakuwaje lini? Kwa sasa hivi na miaka yote ya nyumba hakuna vitu kama hivyo kwenye "nchi zetu hizi." Marekani ndio kuna utamaduni wa bunduki, usilinganishe maembe na machungwa, Tanzania hakuna kitu hicho!

Na huyo Obama unaemzungumzia nadhani antics zake zinaweza kuwa ndio mara ya kwanza kutokea katika historia, kwa kujiliza hadharani. Kwenye matatizo tunategemea kiongozi wa "dunia huru" akija hadharani atoe masuluhusho, sio machozi!
Fake tears.politics si mchezo
 
Back
Top Bottom