Guninita sasa ni 'fomu wani'

Yanikumbusha ule wimbo wa, Dont know much ! Nafikiri tungeuimba hivi.

Dont know much about History, dont know much Biology
Dont know much about Science books, dont know what a slide rule is for
But I do know that I love you, and I know that you love me too
What a wonderful pair we would make (me and CCM).

Dont know much about Algebra, Dont know much Trigonometry
Dont know much about Geography, dont know much about French I took
But I know that one and one is two, and it is one to be with you
What a wonderful Tanzania it would be (of Ufisadi).
 
ha ha ha ha .....
Ila 0-level haina calculus (integration na differentiation) kwa syllabus ya Tanzania. Hizo ni mpka A-level

Alah! kumbe hawafundishwi Calculus? Okay...unajua sisi wengine tumekuja majuu baada ya kumaliza la saba...
 
Ama kweli wonders shall never end!
Yes, especially in Africa, in Tanzania!Tunamshangaa Guninita, ukifahamu educational status ya viongozi katika kada mbalimbali you will be shocked!Africa hata mapresidaa wapo ambao elimu zao ni mahututi....lakini siku zinaenda!God bless Africa!
 
No, seriously, wewe unadhani kweli jamaa kichwani zinapanda? I'm willing to put my 7yr old daughter against his big azz and see who's smatter.

i hope watasema akifeli,ama akiacha shule(which is most likely)
 
Ama kweli ndani ya CCM utapata kila aina ya vioja; hivi yule mbunge aliyebainika wazi kuwa amefoji vyeti vya shule sakata lake limeishia wapi?

Ukichunguza kwa makini kuna watu wengi sana ndani ya CCM ambao wana wasifu kama wa Guninita....,

MUNGU IBARIKI TANZANIA NA TUEPUSHE NA GADHABU YAKO JUU YA UJINGA WETU AMBAO UNATUSABABISHIA MATATIZO YASIYO YA LAZIMA.
 
mtu ambaye ameishia darasa la saba halafu ni kichwa maji + mtu mzima atawezaje kusoma kwa mpigo form 1 & 2
lazima atapasishwa tuuu
 
Sijawahi kucheka kama leo;ndiyo naelewa sasa kuwa Guninita kumbe alimshambulia sana Spika wa Jamhuri ya Muungano kwa sababu ya uwezo wake haba wa kufikiri!

Guninita naweza kukupa bure vitabu vya English kama vile "Think Fall Apart"na vinginevyo ambavyo alikuwa anatumia mwanangu kwani yeye sasa kaisha vuka O level na kuingia mchepuo wa sayansi A level,na kwa hiyo vitabu hivyo havitumii!Naomba tuwasiliane.

Bytheway for this kind of credibility,Guninita hafai hata kuwa Mwenyekiti wa Vijana wa CCM wa ngazi ya kijiji,na sijui ilikuwaje hadi akashinda Uenyekiti wa CCM-Taifa!Mhitimu wa darasa la saba tena aliye feli anakuwa Mwenyekiti wa Jumuia yenye nguvu ya vijana ya CCM-Taifa?Haya ni maajabu na lzm yaingizwe kwenye "guiness book" na Masatu tueleze kama una lolote ilikuwaje Guninita akashinda!

Mkuu Guninita,nakutakia masomo mema hasa ya kukokotoa "Length and width" na baadae kufundishwa"vowels".
 
Majitu kama uninita yako mengi CCM, kumbuka bwana Choya alikuwa ameteuliwa na rais kua DC mahali fulani lakini ni form 4, lakini angalau form 4 ila kinachouma tuna watu wenye degree hawana cha kufanya lakini form 4 au std 7 anankuw DC. Kikwete nadhani ana matatizo ya akili pia au naye alighushi vyeti kwa sababu hata mkapa anamzidi ktk uteuzi.

Magezi

All is good lkn kauli zako zipunguze ukali hasa hiyo ya kumshuku Mkuu wa Nchi kuwa huenda HANA akili timamu!

Tunaweza kum-challenge Mkuu wa nchi bila lugha zisizofaa;maana kama yeye anashukiwa kuwa HANA akili basi ina maana kuwa WATZ millions waliompa kura wao ndiyo wendawazimu kabisa?
 
Sijawahi kucheka kama leo;ndiyo naelewa sasa kuwa Guninita kumbe alimshambulia sana Spika wa Jamhuri ya Muungano kwa sababu ya uwezo wake haba wa kufikiri!

Guninita naweza kukupa bure vitabu vya English kama vile "Think Fall Apart"na vinginevyo ambavyo alikuwa anatumia mwanangu kwani yeye sasa kaisha vuka O level na kuingia mchepuo wa sayansi A level,na kwa hiyo vitabu hivyo havitumii!Naomba tuwasiliane.

Bytheway for this kind of credibility,Guninita hafai hata kuwa Mwenyekiti wa Vijana wa CCM wa ngazi ya kijiji,na sijui ilikuwaje hadi akashinda Uenyekiti wa CCM-Taifa!Mhitimu wa darasa la saba tena aliye feli anakuwa Mwenyekiti wa Jumuia yenye nguvu ya vijana ya CCM-Taifa?Haya ni maajabu na lzm yaingizwe kwenye "guiness book" na Masatu tueleze kama una lolote ilikuwaje Guninita akashinda!

Mkuu Guninita,nakutakia masomo mema hasa ya kukokotoa "Length and width" na baadae kufundishwa"vowels".
Tanzania ya Wakina Tabwe Hiza na Wakina makamba yote yanawezekana kabisa
 
Sijawahi kucheka kama leo;ndiyo naelewa sasa kuwa Guninita kumbe alimshambulia sana Spika wa Jamhuri ya Muungano kwa sababu ya uwezo wake haba wa kufikiri!...

Mafisadi nao sio wajinga nadhani walitafuta CV za wajumbe kwanza kabla ya kuwapa "majukumu" walijua watu smart wasingeweza kulishwa huo uzandiki. Jamani tupeni na CV za wajumbe wengine walioshikia bango issue ya Sitta (hasa wa visiwani) ili tuwatendee haki humu jamvini!

Hongereni mafisadi kwa kuwa smart ktk hili, at least!
 
Sidhani kama Guninita ana akili ya kutosha kuelewa Trigonometry, Algebra, na Calculus.

Mkuu hayo hayana msaada wowote kwa Bongo. Kuna jamaa yangu alianza kusota baada ya kupata MSc. Alikuwa mwanafunzi bora kwa kiwango cha kitaifa lakini alikosa kazi! Kwa hiyo Bongo ukiwa kipanga unajipalia mkaa. The best brains cannot "Boot lick or worship the Kings makers". Hawa hawana nafasi katika utawala wa vihiyo! But the smart guys like Guni wanatesa tu!
 
Hivi hawa watu wanaweza kuelewa ma geopolitics kweli? Wanaweza kusoma ma 1,000 report summary ya hali ya Tanzania? Wanaweza kuongea NEPAD na MKUKUKUKUTA sijui? Wanaelewa globalization na world market?au ndio mambo ya marede tu?

Maana hawa ndio Vikwete wenyewe, tusipoangalia mtu ana rise through the ranks, ana charm watu na vitabasamu pamoja na non performance (non-performance is a virtuous merit in bongo, ask Kikwete himself what got him to Ikulu) tusipoangalia kesho keshokutwa wanagombea urais, wanapiga political machinations (for some reasons wasomi hawawezi machinations, the more learned a person is the less inclined he is to master machinations, angalia Mkapa ambaye ilibidi asaidiwe na Nyerere, angalia Mbeki amepigwa ngwala na Zuma ngumbaru mwingine, angalia Kikwete kilaza wa Manzese alivyowapiga mieleka kina Dr. Salim na Prof Mwandosya etc, maybe it has to do with some Socratic ethics ambazo hawa ngumbaru hawazijui au kuziheshimu ambazo eventually ndizo zinakuwa undoings za wasomi)

Kwa hiyo tuwe makini sana na hawa watu, kwa maana wanajua sana ku rally populism na kuitumia (huyu Guninita anaweza kuwa si book smart lakini lazima amejua vitu fulani ndiyo maana kaweza kupanda ranks za CCM, sadly hii knowledge inaweza kuwa about backstabbing and appeasement more than what we need)

Kwa hiyo tuwaanike wazi wote hapa, kesho keshokutwa tusije kupata Kikwete squared tukabaki midomo wazi.
 
Back
Top Bottom