Gunia 10 za mpunga

Gunia 10 za mpunga

Alieserious anicheki tuongee biashara bei inapungua

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Kakutana na wataalam wa Mchele sasa sjui nani anasema ukweli hapa
 
Sasa mchele Utauza sh ngapi kama mpunga tu ni 120k haupo serious
 
Kwa msimu huu wa mavuno ni kawaida kabida bei kushuka. Ila bahati mbaya kwa walaji na bahati nzuri kwa wakulima waliopata mavuno ni kwamba mwaka huu wa kilimo mavuno kwa ujumla ya mpunga si mazuri kabisa. Kwahyo hata ww unayeuza kama unaweza subiri walau miezi3 hv uone soko litakavyokubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana mchele wa plastic huyo,Sirro njoo huku unaitwa chap!
 
Back
Top Bottom