Aisee wewe ni Nouma. Zile sura mwanzo hata sikuzionaPicha ya mwisho hamna ubao wa kukalia, picha 3 kutoka juu ya huyo jamaa aliyebeba begi, kwenye hayo majani makavu chini kuna sura za watu.
Yes nimemuonaYa kwanza kuna mtu mrefu ajabu kuleee mwisho kwenye goli la basketball
Kavaa nyeusi
Kweli lakini sio binadamu wa kawaida ni ghostPicha ya 4 yule wa mishoni ni mrefu kuliko wote![]()
Wa kwenye goli ni picha ya kwanza ila picha ya nne msichana wa kulia ni jinn piaWe nomaaaaa
Yule kwenye goli eti?
I'm always sweet dear....Nimiss tu aisee.
Afu hata bila ban sijakujua aisee.😛😛
But you sound like a sweet person.
I'm always sweet dear....