Gundu...!

Gundu...!

Sio kweli, ts an assumption

Ni assumption kweli ila ukiichukulia na positive attitude kweli ina effect....
"Nshawahi gegeda halafu nikaamkia kwa paper... paper ilikuwa ya kawaida saaana but nili supp" sasa sijui ni lucky ya mtu?
 
tangu zaman iman ya babu na wazee wetu waliamin kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu na hvyo ni rahsi kushawishka au hata kuangukia ktk maovu ndio maana hata mashetan huwaingia zaidi wanawake, hata ng'ombe hamuogopi mwanamke.... Kwahyo ile mikos ya mashetan inaweza kupitia kwa mwanamke kumwingia mwanamme...... Ni mtazamo tu lakin
Niko pamoja na wewe mkuu

Ndio uzuri wa kuwepo kwenye wengi kwa kweli tunajifunza mambo tofauti tofauti ambayo huyapati darasani

Nashukuru sana kwa darasa na kama kuna nyongeza wewe ongezea mkuu
 
Hata nyani hamuogopi mwanamke sijui ndo humohumo ?
 
Uonevu tuu na mfumo dume kutawala
Hapa kwenye mjadala huu sitapingana wala kubishana na yeyote sababu najifunza kutoka kwa michango tofauti tofauti

Asante sana
 
Hii ni kweli. Niliitwaga intavyuu ya kazi mkoa flani nilijianda vya kutosha, Nilivyokua hotelini nikaona kulala peke yangu soo. Nikatafuta demu nikalala naye hadi monie, nikaenda intavyuu room, Maswali ya kawaida tu yaloulizwa lakini yalinishinda asee. Nikakosa na kazi yenyewe.
 
kufaulu interview na kupata kazi ni vitu viwili tofauti lakini pengine huyo mdada alichangia hata hivyo pole
 
Ni assumption kweli ila ukiichukulia na positive attitude kweli ina effect....
"Nshawahi gegeda halafu nikaamkia kwa paper... paper ilikuwa ya kawaida saaana but nili supp" sasa sijui ni lucky ya mtu?

hahahha yani a night b4 UE badala ya kukaa unasoma na kudiscuss umeenda kupata 'hapiness by the body' huoni ndo chanzo cha ku-supp...???hukusoma usilaumu kulala na a woman
 
Hii ni kweli. Niliitwaga intavyuu ya kazi mkoa flani nilijianda vya kutosha, Nilivyokua hotelini nikaona kulala peke yangu soo. Nikatafuta demu nikalala naye hadi monie, nikaenda intavyuu room, Maswali ya kawaida tu yaloulizwa lakini yalinishinda asee. Nikakosa na kazi yenyewe.

mhh wanaume jmn...wasn't that supposed to make you feel 'mwepesiii'....mana me nikiwa na genye ndo sina raha,ila nikishatulizwa yani mwepesiiii tena nakuwa very sharp na kazi nk..
 
Jamani hata haya nayo unahitaji notes? Its obvious ukilala na mwanamke kabla ya mambo haya muhimu utakuwa umepungukiwa nguvu kidogo. Hata wachezaji wakishaweka kambi ya mashindano fulani huwa wanazuiwa sex kwa sababu nguvu zao zinahitajika sana. Watu wa zamani walijua hizo habari ndo maana wakawa wanasema ni gundu ili wanaume wasifanye hivyo

wazamani wana akili we acha tu, walikua hata watoto wanawakataza baadhi ya vitu indirect
 
Ni assumption kweli ila ukiichukulia na positive attitude kweli ina effect....
"Nshawahi gegeda halafu nikaamkia kwa paper... paper ilikuwa ya kawaida saaana but nili supp" sasa sijui ni lucky ya mtu?

Hio imani tu..mimi semesta ya pili mwaka wa kwanza nimekuwa nalala, kupika na kupakua na mwanamke mpaka mwaka wa nne na tumemaliza wote na mapembe.
 
Ila inategemea na lucky ya mtu... kuna wengine kweli wanagundu..... ila hata mm huyu niliamini hivo coz wengine niliopiga hata kama na paper nilichomoka na A au B+...
 
hahahha yani a night b4 UE badala ya kukaa unasoma na kudiscuss umeenda kupata 'hapiness by the body' huoni ndo chanzo cha ku-supp...???hukusoma usilaumu kulala na a woman

wewe umeme naujua vizuri na course work ilikuwa inaruhusu mtihani wa kawaida ulikuwa how nilisupp may be gundu la papuchi ya bishosti.... nilisoma sana labda yalievaporate five years ago badiebey
 
Last edited by a moderator:
hii ina ukweli mazee! Asiekubali ajaribu kulala na demu siku unakwenda kwny interview ya job
 
Ni imani ya kikale isiyo na ithibati kisayansi kuwa
usiku wa kwenda vitani usilale na mwanamke
Siku ya kwenda kuwinda kurina au kuvua usilale na mwanamke

Kwamba kuna wanawake mlango wa 8 ukimuoa kila kitu kinapukutika
Kwamba ukipata balaa lolote unaulizwa kwani jana ulilala nanani ?
Kwamba mashetani majini na mizimu hupendelea kuweka makazi yao milini mwa wanawake hivyo kuwafanya wawe na nuksi au gundu
Nikitafakari haya yote na mengine pia naona mwanamke anabebeshwa mizigo mingi na mizito asiyostahili kubeba

hayo yanahitaji uwe na nguvu...wala hakuna uchawi hapo. Ukilala na mwanamke unaishiwa nguvu unapoamka unakuwa na hali ya udhaifu. hata wachezaji wa mpira huzuiwa kufanya mapenzi angalau siku moja kabla ya mechi.
 
Basi wazee walituongopea sana kwakweli
 
hii ina ukweli mazee! Asiekubali ajaribu kulala na demu siku unakwenda kwny interview ya job

Ni aina fulani ya nguvu ambayo ni hasi au chanya towards you aliyo nayo huyo mwanamke kwa wakati huo! unakua kuna vital energy inafanya kazi positively au negatively kutegemeana na mtu na hicho ndio huitwa nuksi/ gundu au bahati/ ngekewa
 
gundu ni maneno ya loosers tu ila hayana maana yeyote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom