Fanya yafuatayo atarudi ndani ya siku 2
1. Kwa aliye kimbiwa / achwa na mke: Nenda kariakoo nunua vyupi kama 15 vya rangi tofauti, zianike kwenye kamba nje. Kila siku chache na rangi tofauti. Mtu akikuuliza usijibu. Kwa jinsi anavyo fatilia atarudi kumtimua mwanamke hewa.
2. Waliopigwa vibuti: Tafuta mrembo hata feki , wakutanishe, lazima atamwakia tuu mrembo wako feki na kujifanya yeye ndoo mmiliki na atamtimua tuu akidhani amekukomoa
wekend njema.
Mkuu you are as funny as your avatarFanya yafuatayo atarudi ndani ya siku 2

Loh huyo wa kutishiwa na vyupi si mpaka atishike?! Labda kama alikuwa anatikisa kiberiti! Kuna wengine tunaachana nao huku ukimweka kwenye maombi apate bibi mwingine aache kukusumbua!

najihisi kama vile sielewi maana kama mke kakimbia hizo chupi anazionaje au unaanika barabarani?
kama ndivyo inategemea una umri gani labda teenager watu wataona akikua ata acha, lakini vinginevyo
haijakaa vizuri. utashangaa ndugu wamekusanyika wanachangishana wakuwahishe milembe.
Hata mimi nashangaa..hiyo itakuwa mitaa gani mkuu ya kuanika vyupi hadharani, manzese, tandika au kwa mtogole?
Ishu ni mwanaume kuonekana umeamka asubuhi 'unaanika chupi za kike'....
sijui utajitetea vipi kwa jamii....na hasa masuala ya hisia watu huwa hawakuulizi...
wanaambiana tu na kushtuana kimya kimya ukipita 'yule shoga mwenyewe si ndo huyo anapita'...
lol