Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,108
- 18,325
Fanya yafuatayo atarudi ndani ya siku 2
1. Kwa aliye kimbiwa / achwa na mke: Nenda kariakoo nunua vyupi kama 15 vya rangi tofauti, zianike kwenye kamba nje. Kila siku chache na rangi tofauti. Mtu akikuuliza usijibu. Kwa jinsi anavyo fatilia atarudi kumtimua mwanamke hewa.
2. Waliopigwa vibuti: Tafuta mrembo hata feki , wakutanishe, lazima atamwakia tuu mrembo wako feki na kujifanya yeye ndoo mmiliki na atamtimua tuu akidhani amekukomoa
wekend njema.