Guide kwa walio kimbiwa na mke / mchumba

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,072
18,258
Fanya yafuatayo atarudi ndani ya siku 2

1. Kwa aliye kimbiwa / achwa na mke: Nenda kariakoo nunua vyupi kama 15 vya rangi tofauti, zianike kwenye kamba nje. Kila siku chache na rangi tofauti. Mtu akikuuliza usijibu. Kwa jinsi anavyo fatilia atarudi kumtimua mwanamke hewa.

2. Waliopigwa vibuti: Tafuta mrembo hata feki , wakutanishe, lazima atamwakia tuu mrembo wako feki na kujifanya yeye ndoo mmiliki na atamtimua tuu akidhani amekukomoa

wekend njema.
 
najihisi kama vile sielewi maana kama mke kakimbia hizo chupi anazionaje au unaanika barabarani?
kama ndivyo inategemea una umri gani labda teenager watu wataona akikua ata acha, lakini vinginevyo
haijakaa vizuri. utashangaa ndugu wamekusanyika wanachangishana wakuwahishe milembe.
 
Mkuu you are as funny as your avatar

Yani hii imenifanya nitamani kukuona aisee.................... LOL:lol:
 
Fanya yafuatayo atarudi ndani ya siku 2

1. Kwa aliye kimbiwa / achwa na mke: Nenda kariakoo nunua vyupi kama 15 vya rangi tofauti, zianike kwenye kamba nje. Kila siku chache na rangi tofauti. Mtu akikuuliza usijibu. Kwa jinsi anavyo fatilia atarudi kumtimua mwanamke hewa.

2. Waliopigwa vibuti: Tafuta mrembo hata feki , wakutanishe, lazima atamwakia tuu mrembo wako feki na kujifanya yeye ndoo mmiliki na atamtimua tuu akidhani amekukomoa

wekend njema.

haya ni matatizo ya kiroho...................huwezi kupambana nayo kimwili na ukayashinda...................
 
Loh huyo wa kutishiwa na vyupi si mpaka atishike?! Labda kama alikuwa anatikisa kiberiti! Kuna wengine tunaachana nao huku ukimweka kwenye maombi apate bibi mwingine aache kukusumbua!

kuna utashi hapa.................................
 
hajui chura ukimpiga teke haumii,umempunguzia safari,lol!
Loh huyo wa kutishiwa na vyupi si mpaka atishike?! Labda kama alikuwa anatikisa kiberiti! Kuna wengine tunaachana nao huku ukimweka kwenye maombi apate bibi mwingine aache kukusumbua!
 
hainiingii akilini kwa mawazo haya ..sijaona mantiki yoyote
 
Fanya yafuatayo atarudi ndani ya siku 2

1. Kwa aliye kimbiwa / achwa na mke: Nenda kariakoo nunua vyupi kama 15 vya rangi tofauti, zianike kwenye kamba nje. Kila siku chache na rangi tofauti. Mtu akikuuliza usijibu. Kwa jinsi anavyo fatilia atarudi kumtimua mwanamke hewa.

2. Waliopigwa vibuti: Tafuta mrembo hata feki , wakutanishe, lazima atamwakia tuu mrembo wako feki na kujifanya yeye ndoo mmiliki na atamtimua tuu akidhani amekukomoa

wekend njema.

Inategemea na mwanamke mwenyewe aisee!! Hio number moja hio... Mie personally haiwezi nigusa... Mie ni mtingishaji saana viberiti BUT i am telling you kama my Man is worth it nitatingisha njiti zooote lakini hata siku moja sio ya kumuambia namuacha hali simaanishi.... Yaani when i choose i choose carefully so that niwe na Mtu ambae nimeridhika nae... Hio hunifanya kua siku nikisema Naachana nae.... sitanii wala sirudi nyuma hata kwa njia gani.... ndo maana ni nadra kwangu kuchukua maamuzi ya kumuacha Mpenzi wangu... For i hate majuto... Hasa kama yanahusisha kua I still Love the Man....
 
najihisi kama vile sielewi maana kama mke kakimbia hizo chupi anazionaje au unaanika barabarani?
kama ndivyo inategemea una umri gani labda teenager watu wataona akikua ata acha, lakini vinginevyo
haijakaa vizuri. utashangaa ndugu wamekusanyika wanachangishana wakuwahishe milembe.

hiyo itakuwa mitaa gani mkuu ya kuanika vyupi hadharani, manzese, tandika au kwa mtogole?
 
Ishu ni mwanaume kuonekana umeamka asubuhi 'unaanika chupi za kike'....

sijui utajitetea vipi kwa jamii....na hasa masuala ya hisia watu huwa hawakuulizi...

wanaambiana tu na kushtuana kimya kimya ukipita 'yule shoga mwenyewe si ndo huyo anapita'...

lol
 
lol! na shida ya uswazi nyumba haina fensi na wajuba wanalala nje shauri ya joto! kama umepania sana na kasura kako kanalipa hivyo,unaweza kuvaa kanga mbili uanike vishida usiku. sasa sijui kama sio ushoga tena,lol!
Ishu ni mwanaume kuonekana umeamka asubuhi 'unaanika chupi za kike'....

sijui utajitetea vipi kwa jamii....na hasa masuala ya hisia watu huwa hawakuulizi...

wanaambiana tu na kushtuana kimya kimya ukipita 'yule shoga mwenyewe si ndo huyo anapita'...

lol
 
mhhh hii haijakaa vizuri hasa namba moja, kuna njia za kumtia mtu wivu, nyingi tu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom