Guest za Uswahilin Najuta.....

Cha moto ulikiona,ila na ww c ungefanya malipiz?
 
kuna gesti manzese..we ukishalipa na umeingia na mzigo
watu wengine wanakuja kulipa kushuhudia mambo..
wana matundu maalum....kazi kwenu lol

Chabo hiyo mkuu wanasema ukihamia tundu la pili utawasikia wote wakishangilia ewaaaaaaaa
 
guest za bei rahisi zina visa siku zote yani!
Vya bei chee vina gharama yake,na gharama Yake ndo kama ivoo!
 
Duh, hii ilinibidi niirudie mara mbili mbili lakini nilipogundua ni chit chat, nilicheka sana.
 
mkuu pole sana ila hongera sana maana kama unavuta hisia kwa jirani mpaka antena zinasiama bila TV we mkali
 
Du lakini nini mwisho wa huu upuuzi?
Au ndio tuiache boti ivuke maji bora tuvuke ng'ambo?
This is bad.
What do you is the solution?
 

wanao watakuja kukupiga chabo ukiwa unamfaidi mama yao
 
Hapana sio maneno ni boxer nimekununulia nakuletea kule tunakutanaga
 
Kwanza guest zenyewe hguwa ni chafu san!! Magodoro yananuka nyuchi tu, maana yanabeba watu wa kila aina kila siku ipitayo!!

Mkuu si ungetoka tu nje ukajituliza na kamzigo kako na ww?!! tehe tehe teheeeee....
 
Mi huwa sitaki huo upuuzi wa kusave 5000 unahangaika usiku kucha wakati kuna Motel za maana unaangalia TV, kiyoyozi juu, bafu safi na choo safi ukiingia umeingia hadi kesho yake.
Maisha ni pamoja na kujipenda mwenyewe jamani, labda kama huna hela hapo inakuwa special case.
 
kuna gesti manzese..we ukishalipa na umeingia na mzigo
watu wengine wanakuja kulipa kushuhudia mambo..
wana matundu maalum....kazi kwenu lol
kaka,tena wakitoka hapo nao ndio wanakuwa na stimu ya kufanya..
wengine hawawezi anza safari peke yao mpaka wapige chabo..lol,dunia hii kazi ipo
 
Wakuu kwa ujumla "guest house" kwa Bongo huwa hapafai japo ziko nzuri kutegemea na mahali. Niliwahi kwenda kikazi Musoma wana guest houses nzuri sana kama Hotel vile na sijawahi kuona mkoa wowote wa Tanzania nilikowahi kufika. Mbali na karaha hizo za makahaba guest house pia usalama wake ni mdogo sana. Rafiki yangu alinusurika kuvamiwa na majambazi yaliyokuwa yanaingia chumba kwa chumba yakikusanya pesa za waliomo huko Arusha.
 
vya bei chee huwa vina madhara.
 
Umenikumbusha kitambo sana nimeharibikiwa usafiri, ikabidi nitafute pa kujilaza, yaliyojili dah kama hayo. Network search bila mafanikio
 

usiusingizie utoto we jamaa,tabia zenu zilikua chafu,mbona wote tumepitia utoto lakini hatukufanya upuuzi huo.hadi sasa waweza kuwa mpiga chabo maalufu hapo mtaani kwenu.
 
Kwa vile ni story, basi acha iwe stori lakini haina jipya!!!
 
Mkuu posts zako huwa zinachekesha sana!
 
Nakumbuka form III na IV tulikuwa tunakaririshwa definition moja ya tamthiliya sijaisahau mpaka kesho: "Literature is an artistic reflection of social reality." Yani mtu anatengeneza hekaya inayofanana fanana na yanayotokea kwenye jamii na ukisoma unajua kabisa hii ni kazi ya kisanii lakini unatuma ujumbe fulani mzito kama vile kukemea ku rape watoto n.k.

Okay, ujumbe wa tamthiliya yako ya Life Around Friend's Corner umeifikia jamii. Ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…