Guest na mvua hizi

Guest na mvua hizi

Wasi wasi wangu ni ongezeko la mimba za kipuuzi na maambukizi ya magonjwa ya ngono.
 
Kipi haswa kinachokusumbua hapo maana umesema vitu viwili...1.Guest kuchafuliwa, 2.Wake za watu kugegedwa...Kwa maana ingine wake za watu wasipo kuja hapo wewe utaendelea na kazi? Na wewe huwa unatambuaje kuwa huyu ni mke wa mtu na huyu siyo?
Nafikiri wateja wengi hawatoki maeneo ya mbali na guest anayohudumu.
 
Fua tu mashuka mkuu maana hakuna namna. Joto likianza utaacha kazi, sasa unavyofikiria ukiacha kazi kipindi hiki wenzio watafuliwa mashuka yao na nani???
 
motisha napewa chumba kila siku cha kugegeda
 
motisha napata chumba kila siku cha kugegeda
 
watu kweli wamedata yaani na ukali huu wa maisha wa Magufuli bado wanashinda gesti kutiana...wengine hawasimamishi hata dushelele kwa mawazo na hofu ya kutumbuliwa
 
bo
Kipi haswa kinachokusumbua hapo maana umesema vitu viwili...1.Guest kuchafuliwa, 2.Wake za watu kugegedwa...Kwa maana ingine wake za watu wasipo kuja hapo wewe utaendelea na kazi? Na wewe huwa unatambuaje kuwa huyu ni mke wa mtu na huyu siyo?
ra tuu umeuliza
 
kipindi iki cha mvua mimi ni muhudumu wa guest yani wateja wameongezeka mara dufu, kero zimezidi kutuchafulia mashuka.. wake za watu kugegedwa yani ni kero mpaka nataka niache kazi.
Ww hufanyi kazi guest maana kipindi cha mvua Ndio guest hazijai kabisa kwa kua Kila mtu anaogopa kuroa n asilimia kubwa ya wabongo ni wazeee WA daladala n sio magari binafsi au taxi ila Kila mtu anaogopa kutoka n kuroa
 
kipindi iki cha mvua mimi ni muhudumu wa guest yani wateja wameongezeka mara dufu, kero zimezidi kutuchafulia mashuka.. wake za watu kugegedwa yani ni kero mpaka nataka niache kazi.
Unatakiwa ushukuru hizi mvua, inasaidia economy. Mvua imeleta wateja, wateja wameleta biashara guest, guest imeingiza hela na kulipa ushuru na kukupa wewe ajira, wewe umepata mshahara, umerudi nyumbani ukampa nusu wife, wife ataenda guest baadae....
 
Hii ndo adha ya Ku sex guest za uswazi .. yaani wafanyakazi wote wa ndani wambea.
Siji tena guest yenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom