Guest/Lodge Mwanza

Wewe Ndiye Unajishushia Hadhi Kuuliza Guest Ya Kulala Humu Wakati Sehemu Uliyoko Kuna Watu Wengi Wakuwauliza Kama Ni Mgeni
Kuuliza siyo ujinga kajishushia hadhi gani tatizo akiri zako zinawaza uzinzi ndo mahana unasema amejishushia hadhi acha ushamba kama uwezi kumsaidia lala
 
Kuuliza siyo ujinga kajishushia hadhi gani tatizo akiri zako zinawaza uzinzi ndo mahana unasema amejishushia hadhi acha ushamba kama uwezi kumsaidia lala
yanii ,na guest /lodge ni kwa ajili ya wasafiri ndio maana wanaita guest house.
hii kazi ya uzinzi tumeihalalisha sisi.. nashangaa anaweka mawazo hasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…